Monday, 31 March 2008

Ni zaidi ya Ngono!

Kuna vitu vidogo vidogo ambavyo huwa wengi hatuvitilii maanani kwa maana kuwa tunavidharau kwavile tunadhani kuwa havina umuhimu wowote ktk uhusiano wetu wa kimapenzi iwe ktk ndoa au “ushirika” kuishi pamoja bila makaratasi ya kisheria/kidini kwa tafasiri yangu binafsi usije ukainadi mtaani, sawa!

Sehemu kuwa ya jamii inafikiri kuwa ukiwa msafi wa mwili ofcoz, mazingira (mahali unapoishi/ulipo), mpanga bajeti mzuri, mpishi wa uhakika na mshiriki mzuri wa tendo la ndoa/ngono basi uhusiano wako unakwenda ktk njia iliyonyooka nikiwa na maana hakuna kona wala mabonde na “mupenzi” kamwe hatolalamika.

Heheheh in ur dreams! Asipokulalamika basi atalalamikia huko kwingine akirudi nyumbani anajifanya kama vile hakuna jambo linalomsumbua/udhi which is good kama wewe sio msikilizaji mzuri, mana’ke atakuwa amejisaidia kuepusha mzozo ambao unaweza kusababisha mihangaiko ya akili na mwili (stress).


Kuna vitu vidogo kama vile muonekano wako ukiwa nje ya nguo, mana’ke sote twajua nguo zaficha vingi atii…..sasa je umependeza na jeans yako ukiiondoa utabaki umependeza au ndio vile? Hilo mosi.


Pili ni swala dogo kama kubadili shuka kitandani na uchaguzi wa rangi hizo au hata kubadili mpangilio wa kitanda kutoka ukutani kuwa katikati, kuongeza mito midogo n.k.


Aina ya manukato unayotumia, kale ka mchezo ka kubadili na kujaribu kila manukato yanayoingia mjini ni ushamba…….(unless ofcoz umeachana na jamaa na hutaki kumbukumbu yake kwa vile alikuwa akivutiwa na manukato Fulani), sasa basi jaribu kuwa na aina mbili tofauti hasa kama wewe na mpenzi wako ni watu wa “outings” moja iwe ya kila siku na nyingine iwe ya jioni siku unayoamua kuwa-sexy au unapotoka.


Nitakupa mfano well, ndio nazipenda na nizitumia mimi…..Eden (harufu yake imechangamka) ni ya kila siku/kazini na Organza (harufu yake imetulia) ni ya jioni/kutokea/tayari kwa mambo Fulani…..sikutumi ukanunue hizi ila nimekupa tu mfano unaweza ukanunua zile unazozipenda. Hili basi ni la tatu.


Na nne, ni kubadili aina za mitindo ya chupi unazovaa, haijalishi una umri gani au unaumbile kubwa kiasi gani siku moja-moja unampigia kale kadogo alafu kama vipi wewe unapenekua tu kidogo kitu na box…..kuanzia siku hiyo anaweza akawa anakutaka ukivaa kachupi kadogo badala ya bukta ulizo zoea, na wewe uliezoea “tudogo” jaribu kumpigia boxer yake….hahahaha, siku moja moja piga zile zinazofunik matako yote au zile za ki-boyish.


Usifunike kichwa chako kila unapokwenda kulala, natambua kuwa kunamtindo mingine ya nywele inakubidi ufunge tambala ili isivurugike na pia najua kuwa vitambaa vya satini vinasaidia kutuza unyevy-nyevu wa asilia wa nywele nakuzifanya ziwe na afya lakini, sio mbaya kama ukiziachia nywele hizo wazi siku moja moja ili mume/mpenzi akiamka aone ulivyo mzuri bila lemba ambalo amelizoea kila siku. Hilo ni la tano.Na sita ni kupunguza vipodozi ikiwa wewe ni mtu wa kuongeza urembo mpaka ile sura yako inabadilika unakuwa kama mtu mwingine vile, kumbuka lengo la vipodozi kuboresha urembo wako au kuficha tatizo Fulani unalodhani unalo na halikufurahishi/linakuharibia kujiamini kwako (chunusi, ukavu wa ngozi, huna nyusi, mdomo mikavu, macho madogo/makubwa .nk)…….na ikiwa wewe sio mtu wa vipodozi basi sio mbaya ukipitisha ka-bulashi na kauwanja bila kusahau hata lipgloss kama vipi paka futa lako zito la Rays (Naila naku-miss mama).

Tafadhali ongeza mamabo ambayo ni muhimu ktkuhusiano zaidi ya niliyoyataja.

Karibu sana.

Friday, 28 March 2008

Penzi huimarisha ngono au ngono huimarisha penzi?

Well kwa wanaume Ngono inaweza kuimarisha penzi lakini kwa sisi wanawake Penzi huimarisha Ngono. Si unakumbuka niliwahi kusema kuwa mwanamke anachojoa nguo na kuwa huru kungonoana na wewe(mwanaume) ikiwa nahisia juu yako, na the more unamtia vizuri the more anakudondokea.


Tafadhali usichanganye kuhimarisha penzi na kuhimarisha uhusiano wa kimapenzi, hivi ni vitu viwili tofauti kwani kuimarisha uhusiano wa kimapenzi unahitaji mambo mengi +ngono yenyewe wakati kuimarisha ngono unahitaji penzi (kwa wanawake) na Penzi huimarika ikiwa ngono iko kwenye kiwango fulani (kwa wanaume).


Mwanamke anajiamini au anakuwa "relaxed" zaidi wakati wakufanya mapenzi akitambua au kuwa na uhakika kuwa mpenzi wake anampenda,anavutiwa na umbile lake. Kama hujiamini ukiwa mtupu huwezi kufurahia ngono to the fullest ujue?, kwa sababu akili itakuwa ina hofia muonekano na kusahau kinachopaswa kufanyika ambacho ni "mizunguuko".


Vilevile mwanaume akikupenda na unajua kuwa anakupenda unakuwa huru kucheza nae, kumchezea jinsi utakavyo kwa mapenzi yako yote na ujuzi wako wote (u can creat on spot pia) hali inayoongeza "chachu" ktk kungonoana na sio hivyo tu bali unafikia mshindo vema kabisa au niseme ile "orgasm" inakuwa yenye ubora na tamu kuliko maelezo na hapo ndio tunapata ngono bora ambayo imeimarishwa na penzi.

Huu ndio ukweli wa Ijumaa ya leo, nakutakia mwisho mzuri wa wiki.

Thursday, 27 March 2008

Nifanye nini mume wangu anipende-asiniache?


Hilo ni swali nililolipokea few min kutoka kwa msomaji wa D'hicious, natoa maelezo yangu na wakati huo huo nitafurahi ikiwa itapata mchango wa ko kuhusu hili kwa sote tunajifunza hapa kwa uwazi wetu na ushirikiano. Asante na mimi naanza hivi....

Kabla hujaanza kuhofia kuachwa au kuhisi hupendi unatakiwa kujibu maswali haya (1)kwani mnapendana ama wewe ndio unampenda?

(2) nini asili/chanzo cha ndoa yenu nikiwa na maana mlifunga ndoa kwa vile mnapendana? mlifunga ndoa kwa vile Baba yako alikuchagulia ama yeye alichaguliwa wewe na wazazi wake? malioana kwa vile baadhi ya marafiki zenu wamefunga ndoa(mkumbo),ulifunga ndoa kwa vile ulifikiri umri wa kuolewa ulikuwa unakaribia kupita (hakuna kitu kama hicho siku hizi kila mtu anamipangilio yake kimaisha na ni vyema kuolewa pale unapokuwa tayari kuolewa) au je uliolewa kwa sababu za kiuchumi?

Nauliza hivyo kwavile ikiwa alikupenda na wewe ukampenda(naturally) tangu mwanzo na mkaamua kufunga ndoa ili kuishi pamoja mapaka mwisho wenu hakuna haja ya wewe kuwa na wasiwasi.


Natambua kuna wakati unaweza kugundua tofauti fulani katika ndoa yenu labda kwa vile hafanyi vitu fulani ama hakuambii mambo fulani kama ilivyokuwa hapo awali lakini hiyo haina maana kuwa hakupendi?


Hali hiyo wakati mwingine husababishwa na shida/taabu(stress) zinazotokana na mlundikano wa kazi, huwezi kujua mambo ya kifamilia(kwao/kwenu), ama kuna watu wabaya wanamueleza mambo machafu/uongo kuhusu wewe, mambo hayaendi kama alivyokuwa akitegemea na wakati mwingine utakuta hapati vitu fulani kutoka kwako ambavyo hapo awali alikuwa anapata n.k.


Niliwahi kusema zamani kidogo kuwa uhusiano wowote yafuatayo ni muhimu na bila haya hakuna maana ya kusema "mnapendana" ushirikiano (katika nyanja zote yaani kiuchumi, kimwili, kimawazo n.k), mawasiliano(hufurahishwi,unawasiwasi n.k mueleze mwenzio),kuheshimiana,kusikilizana(kusiwe na kiburi wala ubabe no matter how educated u are) na makubaliano (sio kwa sababu wewe unapesa basi ndio mwenye uamuzi wa mwisho! hapana hatuendi hivyo).


Swala la "asiniache" litategemea zaidi na penzi/ndoa yenu ime-base kwenye nini, kama penzi limeegemea (base) kwenye ngono basi ongeza chachu hapo, ikiwa penzi limeegemea kwenye uchumi basi kuwa mpanga bajeti/mchumi mzuri na mbunifu wa miradi ili kuendeleza kipato, ikiwa penzi limeegemea kwenye kuwa na familia kubwa basi jizalie tu si unataka kum-keep (hehehehe) n.k.


Ninachojaribu kusem ahapa ni kuwa anaglia penzi lime-base kwenye nini na wewe boresha hapo kwani hatohitaji kwenda kutafuta mpya wakati wewe unampa kile anachokitaka.


Penzi halina dawa na wala penzi halihusiani kabisa na kufanya mapenzi/ngono(hivyo kubinuka aina nyingi za mibinuko haina maana ndio utapendwa zaidi au huachwi kwani huenda sio anachokita japo anafurahia kungonoana) penzi huja "naturally" huitaji kulazimisha wala kwenda kwa Mganga. Raha ya mapenzi ni nyote wawili kupendana na sio vinginevyo.

Kila la kheri.

Wednesday, 26 March 2008

Haya sasa lete uzoefu wako ktk hili....

"Kuna jamaa yangu mmoja alioa karibuni. Katika mazungumzo yetu akawa ananiuliza maswali mengi ambayo nilihisi yanamhusu ingawaje alijaribu kuficha ukweli, hadi nilipombana sawasawa. Sikuwa na nia mbaya ya kuchimba mahusiano yao ya ndani, lakini nilitaka nijue nini shida yake hasa ili ikiwezekana tusaidiane. Nami nikaona niyawakilishe hapa kwa dada Dinah.

1.Eti ni vizuri kufanyia mapenzi ndani ya shuka, mkiwa mumejifunika, (kichwani nikaongezea, ndani ya neti, chumba kimefungwa mlango, huku kajifunga shuka)! Na kuna ubaya gani kuangaliana nyeti zenu? Wapo watu tangu waoane mpaka wanazeeka hawajaangaliana nyeti zao,wakati wa mapenzi.

2.Kama mumeoana na mnaishi nyumba ambayo haina siri, iwe nyumba ya kupanga au ya kwenu mtafanyaje mapenzi yenu, na huenda hamna jinsi nyingine ya kupata chumba mahali kwingine.

Chukulia mpenzi wako ni yule anayepiga makelele wa kati wa majambozi, chukulia wewe unafanyakazi mchana kutwa na unarejea nyumbani usiku!Na kwanini wanawake wengine hata baadhi ya wanaume wanapiga sana kelele wakati wa kufanya mapenzi? Ni utamu gani huo, ambao wengine hufikia hatua ya kulia? Na mkimlaiza ukimuuliza kulikono anasema yeye hakumbuki kuwa alilia?


3.Ni kweli kupendana kwa hasa ni kufanya mapenzi. Yaani ili mpenzi wako ajue kweli unampenda au anakupenda, mapenzi (kungonoana) ndio ushahidi wa kweli, je kweli kuna ukweli huo.Yapo maswali mengi, lakini hayo kwa leo yanatosha."

Anony @ 2:49:00 PM, jana. Toa uzoefu wako ili sote tujifuze na mimi nitakuja kuweka mambo sawa au niseme ukweli kuhusu swali 1-3...asante!

Jawabu: Swali # 2-Kitendo cha kufikishwa au kifika kileleni ni kizuri sana na hisia zake ni za pekee hasa kama anaekufanyia hivyo unampenda kwa dhati, unapofika kileleni inakuwa kama vile unahama hapa duniani na unakuwa mahali pengine ambako raha yake haielezeki na akili zinapokurudia hakika huwezi kukumbuka ila mtu wa pili.


Kuna kilele kinaitwa “emotional Orgasm” hii hupatikana kwenye G-spot wakati mwanaume anakufanya taratiiibu na polepole na kwa mapenzi makuu, mimi huwa naita “kifo cha mende passionate love making”….yaani hapo huwa kuna lots of touching, kissing,looking, talking kutoka kwa mwanaume, anajieleza jinsi gani anakupenda, anapenda kuwa hapo na wewe, anavyovutiwa na mwili wako na wait huohuo anasukuma mboo nje na ndani taratibu kufuata rythim ya kuongea kwake nakushika kwake yaani hapo lazima chozi la furaha lililochanganyikana na utamu litakutoka tu. Kuna wanaume wajua wajibu wao aisee! Hehehe masionee wivu nimebahatika hahahaha!

Pssssst: Mwanamke pia unaweza ukafanya hivyo ukiwa juu ya mumeo/mpenzi wako…….Ikama hujui jinsi ya kujiweka juu yake na kufanya yote hayo niandikie nitakupa maelezo ya kina. Usione noma, sote tunajifunza.

Monday, 24 March 2008

Aah unaweza kabisa


Kama unakumbuka niliwahi kuzungumzia swala la kujichua kwa wanawake na nikaeleza kuwa kwa kufanya hivyo utakuwa umeujua mwili wako vema na hivyo kujua wapi panakunika….nia na madhumuni haikuwa kujiliwaza ukiwa mpweke tu bali kutumia “tekiniki” hizo na kumuongoza mpenzi wako wakati mnafanya mapenzi.


Lakini natambua wazi kuwa pamoja na kufanya hivyo na kufanikiwa kujifikisha ukingoni(kilele/mshindo) baadhi ya wanawake wanashindwa kuwa wazi kuhusu “uvumbuzi” waliovumbua mbele ya wapenzi wao kwa vile bado wana ile kasumba kuwa mwanaume ndio anaepaswa “kulianzisha” na ni wajibu wake kugundua wapi panamfurahisha mwanamke wake hali inayofanya wanaume wengi kubahatisha.


Inaudhi au niseme kuwa inachosha, ebu wewe mwanamke jiweke kwenye viatu vya mwanaume na uniambie ungejisikiaje, niha hakika kabisa kama sisi wanawake tungekuwa tunategemewa kuwafikisha wanaume zetu kileleni kila tunapofanya mapenzi nafikiri kesi za kuumwa migongo au misuli ya matako, mikono na miguu zingekuwa nyingi sana miongoni mwetu. Thank God hawa jamaa (wanaume) wamejaaliwa kuwa wanauwezo wakafika kileleni/kumaliza hata usipojishughulisha sana.


Hapa sina maana uchukue nafasi ya mwanaume la hasha! na wala sio kwamba nasisitiza swala la usawa kwenye ngono bali najaribu kusema kuwa ni vema kusaidiana ili kuokoa muda na wakati huohuo kufurahia kile mnachokifanya kwa wakati huo ambacho ni mapenzi/ngono.


Linapokuja swala la kufanya ngono wewe na yeye mnatakiwa ku-share nusu badala ya kumuachia yeye kazi ya kukufikisha kileleni, hivyo wewe mwanamke baada ya kujua wapi panakupa raha/kunyegesha/utamu basi muelekeze mpenzi wako, akipatia mwambie hapo-hapo au aendelee kufanya afanyavyo kisha sema unavyojisikia sio unaishia kuhema au kugeuza macho tu…..pia kumbuka kujishughulisha/kumsaidia ili lengo lifikiwe vema.

Nakutakiwa J'3 ya pasaka yenye furaha.

Friday, 21 March 2008

Maisha ni kujipangia!

Nilikatiza kwa Michuzi few days ago kwenye ya "nyumbani kwa akina..." niliposoma "comments" za watu wengi walimwandama sana Jide kuwa nyumbani kwake kuko kimya wakimaanisha hakuna mtoto/watoto. Nilisikitishwa sana na kuona asilimia kubwa walikuwa kirudia swala hilohilo.


Nikajiuliza hivi tunapofunga ndoa tunafanya hivyo ili kuzaa au tunafanya hivyo kwa vile tunapendana na tunataka kuwa karibu, pamoja na kihalali/kisheria incase of anything na swala la kuzaa ni uamuzi wetu kwamba is got nothing to with the rest of the world?


Swala la kuzaa kwa wanandoa ni uamuzi wao wenyewe kwani wao ndio watakao kabiliana na malezi ya mtoto/watoto wao, mwanamke aliyeolewa ndie atakae kabiliana na mabadiliko na misuko-suko inayohusiana na swala zima la kuzaa na hakuna hata mtu mmoja kati ya wale wanaolalamika kuwa "ndoa" fulani haina mtoto toka ifungwe atakae kuja kusaidia.


Hivyo ni vyema jamii ya kibongo hasa wanawake kuondoa kasumba kuwa as soon as ukifinga ndoa basi kinachofuata ni mtoto. Swala la kuzaa ni uamuzi wa wanandoa husika wawili "kumimbana" na kupata mtoto.

Unapozaa mtoto unafanya hivyo kwasababu ninyi wawili mmekubaliana na sio kwa vile jamii inayokuzunguuka inataka mfanye hivyo.

Ukileta swala la vitabu vya dini vinasema "tufunge ndoa na tuzaliane tuijaze dunia" hakikisha unafuata kila jambo lililoandikwa kwenye vitabu hivyo vitakatifu......vinginevyo waache wanandoa waishi maisha yao kwa kufuata mipango yao kwani maisha ni kujipangia!

Hii kitu sio Utamaduni bali ni kasumba ya kipuuzi ambayo ambayo haina tofauti sana na ile kuwa mke hapaswi kufurahia tendo la ndoa bali mumewe.

Huu ndio ukweli wa Ijumaa ya leo, nakutakia long weekend njema.

Thursday, 20 March 2008

Kaza misuli ya uke wako

Unajua unapokunya (toa haja kubwa) ile ngumu au hata ya kawaida huwa huliachii mpaka liwe reefu kama na mara nyingi unakata kimba hilo, ukilikata lile "javi " sehemu yako ya nyuma (mkundu) inakuwa kama vile ina "hema" au "inamwenyua-mwenyua" samba-mba na ile ya mbele....sasa unatakiwa kufanya hivyo mara nyingi uwezavyo ukiwa mahali popote na sio wakati unakunya. Lakini kumbuka ku-hold na kuachia....sio unafanya haraka-haraka ili uwahi kumaliza.


Hali hiyo ya mkundu na K "kuhema" pia hujitokeza wakati ukisikilizia utamu wa kufanya mapenzi mara tu baada ya uume unapotolewa haraka ukeni pale unapofika.....hasa ikiwa Mpenzi anataka kumaliza lakini kwa nje.

Vilevile unaweza ukalifanya zoezi hilo kila unapokwenda kukojoa, jaribu kuzuia mkojo usitoke kwa kutumia misuli yako ya uke kwa muda wa dakika fulani....kwamba uzuie kisha hesabu 1....2....3....4...5...6 kisha uachie na rudia tena mapka mkojo wote uishe.


Zoezi hili halifanywi na wenye uke mpana na wenye maji-maji mengu tu bali na mwanamke yeyote ili kuboresha maisha yake ya kingono na mpenzi wake.


Ikiwa unafanya haya mazoezi mara kwa mara yatakusaidia kumpatia mpenzi wako kilele cha maana kwa kubana-vuta na kukamua uume wako kila unapo ingia deep inside na vile vile kunaendeleza mnato wako naikiwa wewe ni kati ya wale wanawake wenye maji-maji mengi basi unaweza kutumia misuli yako hiyo kuubana uume na kumpatia utamu na raha mpenzi wako amabyo hajawahi kuipata toka umaji-maji ujitokeze.


Nitajuaje kama nimepatia?

Ni rahisi, ingiza kidole kisha fanya Kegel na utahisi kidole chako kikibanwa na kuachiwa.

Fanya zoezi hili kila siku, mahali popote na utapata matokea(utaona mabadiliko) ndani ya miezi miwili hadi minne kwa wale wenye uke mpana.

Ikiwa wewe uke wako uko sawa (sio mpana)na unafanya Kegel ili kuongeza raha ya kufanya mapenzi basi itakuchukua wiki moja. Hakikisha unafanya zoezi hili kila wakati unapofanya mapenzi na hakikisha anapokaribia mbane-mwachie na kamua "cream" yote.

Pia Kegel inaweza ikafanywa kwa kulala chali, weka mikono huku nahuku ksina ipumzishe kwenye sakafu alafu kunja miguu yako sehemu ya magoti na vikanyagio viwe samba-mba kwenye sakafu kisha inua kiwili-wili chako kwenda juu baki hapo juu (huku ukiwa umebana msuli ya uke kama vile unazuia mkojo usitoke) kwa muda kisha rudi chini na rudia tena kadiri uwezavyo.


Maulidi njema!

Tuesday, 18 March 2008

Mazoezi ya kukaza misuli ya Uke.

Kama ilivyokuwa kwa baadhi ya wanawake kuwasema na kuwacheka wanaume wenye “vibamia” hali kadhalika na wao huwa wanacheka na kusema wanawake wenye “K” kubwa/pana wakidai kuwa hawafurahii kwa vile haibani na kupoteza ule msuguano ambao ndio chanzo cha raha na hatimae utamu.

Natambua kuwa ni jambo linalotia aibu kama ilivyokua kwenye suala zima la ngono lakini hili ni tatizo ambalo linasumbua wanawake wengi na sio tu Bongo bali Duniani kwa ujumla. Hili tatizo mara nyingi hutokea au kujitokeza mara baada ya kuzaa watoto 2 na kuendele.


Hakuna sababu ya wewe kuona aibu ikiwa unatatizo hili hasa pale unapokwenda kumuona daktari wako kwani wanatambua kabisa nini huwa kinatokea baada ya kuzaa.

Ukiwa mtu wa kufanya mazoezi au ulikuwa mtu kwa kufanya mazoezi kabla hujapata mtoto huwa rahisi kurudisha u-tight wa misuli ya uke wako kwa kufanya mazoezi ya kukaza misuli ya tumbo pamoja na yale maalimu kabisa yanayoitwa Kegel.


Zoezi hili limepewa jina la Kegel baada ya Dr.Arnold Kegel ambae ni “Obstetrician” alietambulisha zoezi hili kama sehemu ya kuwasaidia akina mama wajawazito kuboresha na kukaza misuli ya uke ambao huwasababishia kuvunjwa kwa mkono pale wanapocheka, kohoa, piga chafya n.k. mara baada ya kujifungua.


Baada ya miaka michache imegundulika kuwa zoezi hilo lijulikanalo kama Kegel husaidia kutudisha “mnato” wa uke pia na wengi hufanikiwa kurudisha ule “u-tight” wa uke hali inayowafanya wajiamini wanapofanya mapenzi na vilevile kuwafanya wapenzi wao na wao wenyewe kufurahia kama ilivyokuwa awali (kabla ya kuzaa).

Misuli inayofanyiwa zoezi hili ni ile iliyozunguuka uke, njia ya mkojo na sehemu ya aja kubwa(mkundu).

Jinsi ya kufanya zoezi hili…..
Endelea sehemu inayofuata..

Friday, 14 March 2008

Kutongonolewa vema

Kunakusababishai mood mbaya ewe mwanamke!

Sote tunatambua kuwa ngono ni muhimu ktk maisha yetu hasa wanawake, mwanamke anaefanya ngono angalau mara mbili kwa wiki "immune hu-function vema kabisa.

Mwanamke anaepata mziunguuko mingi huwa na furaha na kujihisi anavutia kuliko yule ambae anafanya mara moja kila baada ya wiki mbili kama sio mara moja kwa mwenzi.

Vilevile mwanamke asiepata ngono vizuri....hafanyi vema kutokana na sababu tofauti (yaani sex life yake mbaya) husumbuliwa na chuki/hasira bila sababu ya msingi na pia huichukia ngono hali inayomfanya aendelee kutokufurahia kwa vile ana negative thought kuhusiana na tendo zima.

Huu ndio ukweli wa Ijumaa ya leo.

Ikiwa unaswali, maoni au maelezo kujazia yangu usisite kuongezea ili tujifunze sote....

Nakutakia mwisho mwema kabisa wa wiki hii ambayo kwangu ilikuwa ngumu kidogo na ninafuraha sana imeisha.
Ty.

Tuesday, 11 March 2008

Minguu na kungonoana


Najua uko a bit bored hahaha usijali leo ni mwisho wa maelezo kuhusu mpangilio wa vitu/viungo ambavyo huwa tunavitumia kila tunapofanya mapenzi nikimaanisha, nywele, macho, masikio, pua, midomo, matiti, tumbo, sehemu nyeti na leo namalizia na miguu.

Tunatembea tofauti kutokana na jinsia zetu, hii ni kutokana na sisi wanawake kuwa na "nyonga" pana kuliko wanaume ambayo hutusaidia wakati wa kujifungua.

Utumiaji wako wa miguu unaweza kutuma ujumbe tofauti wakati unatembea kama vile umeshoka, unaumbwa, mvivu, unajisikia "sexy" au unajiamini na bila kusahau ukumtaka mtu au kutomtaka.

Miguu ya kukanyagia(feet) hutumiwa kabla (kama sehemu ya romance/kuchezeana/nyegeshana) na wakati wa kufanya mapenzi.

Unapofanya mapenzi mwanmke ukiwa chini unakunja miguu yako nakuipumzisha makalioni mwa mpenzi wako aliye juu aykiendelea na "shughuli" na kisha jaribu kupiga au kukanda makalio ya mumeo/mpenzi wako hali inatakayo muongezea raha (inategemea na mwanaume), pia unaweza kuitumia miguu hiyo kumkanda sehemu za miguu na mapaja wakati mnatiana, hivyo ni muhimu kuitunza miguu yako ili iwe katika hali nzuri, laini na yenye afya.

Wanawake unavutia zaidi tukitembea juu ya viatu vyenye visigino virefu...unajua ni kwanini?

Kwa sababu unapovaa kiatu kirefu (kisigino kirefu) utahitaji ku-balance uzito wa mwili wako kwa kukaza misuli ya miguu hasa sehemu ya chini(feet) hali itakayo sukuma nguvu kwenye misuli ya miguu (legs) hali itakayofanya miguu yako iwe na umbile fulani hivi ambalo litakwenda sambamba na kunyoosha mgongo wako-kifua kwenda mbele-mabega nyuma kiasi, kiuno na makalio kubinuka kwa nyuma kiaina alafu "speed" ya kutembea itaongezeka kitu ambacho kitahashiria kujiamini kwakoo hali ambayo ndio u "sexy" yenyewe.

Sote tunatambua jinsi ya kutunza miguu yetu sio? Kama hujui niandikie nikupe tips.

Miguu (feet na legs) hufanyiwa mazoezi ambayo hukusaidia kui-shape up miguu yako na kuifanya iwe na nguvu hali kadhalika kuwa- flexible. Mazoezi haya hayaongezi ukubwa wa miguu (get rid of vingoko) bali inajaza misuli itakayo fanya miguu yako ipendeze na kuvutia...sizungumzia "ving'isi" a.k.a vigimbi.

Asante kwa ushirikiano wako.

Uume a.k.a Abdalah kichwa wazi a.k.a kibamia/Tango


Sina maelezo mengi kuhusu hisia inayopatikana na utofauti wake kwenye hii sehemu ya mwili wa mwanaume wakati wa kufanya mapenzi/ngono kwa vile mimi ni mwanake, hivyo maelezo yako ya kina ewe Kaka/Baba ya tatusaidia wengi hapa.

Kama mwanamke najua jinsi ya kucheza na sehemu hiyo ikiwa ndani ya uke, nje, wakati wa kutoa HJ (hand job 4 u hahahaha), kuikanda, kuiamsha na kuinyonya (BJ 4 u).

Nijuavyo mimi uume kama zilivyosehemu nyingine za mwili wa wako inapaswa kutunza vema, kusafishwa, kupakwa mafuta/lotion kama unavyopaka sehemu nyingine za mwili ili kuilainisha kwani ikiwa kavu inaweza kusababisha majeraha ukeni au maambukizo ikiwa ni pamoj ana NGOMA.....fikiria kitu kikavu kina "magwambala" au niseme ngozi ngumu/mipasuko kinaingizwa ukeni amabo ni kulaini kuliko ngozi ya mtoto!

Vilevile "Abdulah kichwa wazi" hufanyiwa mazoezi ili kuimarisha misuri, kukuza misuri (kwa wale wenye kujihisi kuwa mboo zao nyembamba ukifanya mazoezi yanayokwenda sambambana kujichua inasemekana kitu kinanenepa).

Pia mazoezi ua uume husaidia kuweza kujiuzia na kwenda mwendo mrefu zaidi kuliko ile "ukigusa umecheka", mazoezi hayo husaidia kumuongezea raha mpenzi wako ikiwa utachezeza uume wako wakati uko ndani hasa pale anapokuwa anamalizia kufika kileleni (kutokana na uzoefu).

Misuli ya uume ikizoea mazoezi basi unaweza kabisa kufanya mapenzi bila kutumia misuli ya sehemu nyingine za mwili wako kama vile matako na tumbo wakati wa kusukuma kiungo (mboo) ndani, mikono, mapaja na miguu ku-support uzito wako wakati upo juu ya "mamsap".

Nasubiri maelezo kutoka kwa Mandingo, Chris, Jii kyuu(GQ), Edo Ndaki, Si Kitururu na wewe mwanaume ambae hujawahi kuweka jinalako hapa.

Shukurani.

Saturday, 8 March 2008

Happy Int'l women's day!

Leo ni siku kuu ya wanawake Duniani, seems like wanawake tumependelewa less than a month is all about us....unakumbuka "Valentino", Mother's day naleo ndio hivyo tena.

Sote tunatambua kwamba siku hii ni maalumu kwa kusheherekea mafanikio na maendeleo ya wanawake duniani lakini kwa vile hapa ni mahali pa mambo fulani basi ujumbe wangu tuakuwa wa mambo fulani pia ktk kusheherekea siku hii.


Nachukua nafasi hii kukutakia kila la kheri ktk shughuli zako na mafanikio kama mwanamke na kumbuka kubakiza thamani ya uanamke wako, usijaribu ku-take over men's place kwa kisingizio cha usawa.

Vilevile napenda kuwaambia wale wanawake wanaojikuta kwenye mapenzi na waume wa watu (na heshimu ur choice) ila kumbuka kuwa ikiwa wewe ummempenda basi na yeye kapendwa na mkewe na hivyo heshima ni muhumu kwa mke huyo hata kama sio yeye basi iwe kwa watoto wake.....ni mwanamke mwenzio hivyo ukimsababishia usumbufu na maumivu kumbuka na wewe siku moja itakuwa hivyo...moja.

Ikiwa ummempenda kweli huyo m-baba hakikisha unajiheshimu na kujali afya yake na ya familia yake kwa kutokuwa na mwanaume mwingine, kama umeafanya huamuzi wa kuwa nae basi na awe yeye tu kama huwezi basi leave him alone na go with the other one please.

Usiwe mkali kwa kusoma hayo maelezo yangu hapo juu kwani hata kama hutaki ni hali halisi hasa pale ambapo kuna matatizo, alilazimishwa kuoa, alikuoa kwa sababu zake binafsi, alidhani kafika kumbe bado nakadha wa kadha....na kwa bahati mbaya hawezi kukutaliki kwa sababu zozote za msingi kama vile watoto, kuhofia kufirisika, heshima kwa jamii/kazini au wewe hutaki(hahahahaha) n.k.......hey they do do spread their love.....i mean men, hilo la pili.

Tatu naomba kusisitiza kuwa unapokuwa ndani ya uhusiano usikubali kubadilishwa au kujisahau kwa kudhani kwa vile umemuweka ndani basi ndio imetoka hiyo....hapana! Hakikisha unabaki vile ulivyo kama mlivyokutana au ongeza "chachandu". Kwani kuwa ndani ya uhusiano au kuolewa sio mwisho wa urembo wako kama mwanamke bali mwanzo.

Furahia siku yako.

Friday, 7 March 2008

Ukipendwa na kupenda haina maana...
When you are in love your heart knows......hulazimishi, hung'ang'anizi na huwezi kukataa ukweli!

Sote tunajia jinsi gani penzi huwa tamu, yaani nina uhakika asilimia 75 ya wasomaji wangu hapa mmewahi kupenda na kupendwa na mioyoni mwenu mnajua jinsi mnavyowapenda wapenzi wenu.

Ni raha ya ajabu kwakweli tunapokuwa "in love" na wakati huo-huo "we are loved" au tunahisi kuwa "we are loved by tumpendao" na mara nyingi tukifikia hatua hiyo huwa tunaamua kuwa pamoja kama wenza/pea/couple.

Lakini ukweli (wa Ijumaa ya leo) ni kuwa unapopenda na kupendwa na hatimae kuwa pamoja kama mke na mume au "partners" haina maana mmoja wenu hawezi kupendwa "the same" way au zaidi na mtu mwingine baki.

Nakutakia mwisho mzuri wa wiki, jaribu kuwa muangalifu ktk kila jambo ufanyalo.

Tuesday, 4 March 2008

K a.k.a mbunye a.k.a sambusa a.k.a kidude....

Bado niko kwenye ule mpangilio wa viungo vilivyo juu ya mwili ambavyo tunafitumia sana ktk kufanya mapenzi/ngono na leo nimefika mahali panaitwa Nyeti na nyeti nitakayozungumzia leo ni ile ya kike.


Uke ni mwanzo wa kuwepo kwetu navilevile ni mlango wa sisi sote kuwepo hapa Duniani……sina shaka ndio maana wanaume wakiwa wakubwa wataka kurudi walikotoka kwa njia hiyohiyo kupitia wapenzi wao (natania tu hehehehe lakini kama kweli vile mana’ke kuna njemba wao bila kuzamia hapaeleweki)

Baadhi ya wanaume wanafananisha sehemu hii na mdomo kwa kusema kuwa usipokuwa muangalifu wakatiunacheza na “lips” mdomo hufunguka na kutoa makali yake (ute) na kisha kukumeza mzima-mzima.

Kwa kawaida mwanamke huamini kuwa yeye ndio anachukuliwa na mwanume linapokuja swala la kuingiliana kimwili au kufanya mapenzi/ngono , lakini katika hali halisi mwanamke wewe ndio unaemchukua/mmeza/mla mwanaume pale anapokuingizia uume nakisha kuubana/kamua na hatimae anatoa “chakula” au mbegu (manii/shahawa) zinazokufanya ushibe (kuwa mjamzito).

Hivyo kile kitendo cha mwanaume kumwaga alafu uume unapoteza “uhai” wake ni sawa sawa na wewe kummaliza/ua(kumla).

Uke unamaeneo matano ambayo yanamfanya mwanamke apate raha n ahatimae utamu ikiwa yatafanyiwa kazi ipasavyo, na maeneo hayo ni kisimi, mwanzo wa uke, kuta za uke, kipele G na eneo la mwisho wa uke.

Bofya hapa ili upate maelezo ya meneo hayo kwa kirefu zaidi.


Kila eneo lina utamu wake wa kipekee ambao unatofautiana na utagundua hilo ikiwa wewe ni mtu unaependa tendo hili (hulifanyi kama wajibu), ikiwa unafurahia kufanya mapenzi, mdadisi na mwepesi kujifunza (kama mimi) basi unaweza ukajaribu kuchezea maeneo hayo kwa kushirikiana na mpenzi wako……utapata uzoefu mzuri ikiwa utajaribu maeneo yote kwa siku moja ili kutofautisha vema.


Uke unatunzwa kama yalivyo maeneo mengine ya mwili au pengine zaidi, uke unafanyiwa mazoezi ili kubaki umekaza, uke hupakwa mafuta/lotion kuondoa ukavu kama sehemu nyingine ya mwili ika usijaribu kuyaingiza ndani bali paka sehemu ya juu ya uke (pale mavuzi yanaota na maeneo mengine ya karibu), uke husafishwa kwa ndani kuondoa utoko na mabaki ya damu wakati wa hedhi.


Sehemu hii ya mwili wa mwanamke hutanuka na kujirudi lakini ikumbukwe tu kuwa unapojifungua zaidi ya mtoto mmoja kwa njia ya asili uke huo huongezeka upana na kupoteza hali yake ya kukaza, kwamba misuli yake hulegea na hivyo kuhitaji mazoezi ya ziada ambayo wazazi huelekezwa mara baada ya kujifungua.


Uke pia hupoteza hali ya kukaza ikiwa mwanamke alianza ngono mapema kabla misuli yake haijakomaa (inasemekana chini ya miaka 20), ktk umri huo mdogo the more unatiana the bigger uke wako will get na unapofikia umri mkuwa sasa, kwamba mwili wako umetengenezeka na mabadiliko yameisha uke wako utabaki kuwa vilevile mpana kwani mabadiliko na ukomavu wa misuli umetokea wakati tayari sehemu hiyo imepanuka (umeizoesha hivyo) na mwili wako utaitambua sehemu hiyo kama ilivyo (pana) na sivinginevyo.


Baadhi huamini kuwa watu huzaliwa hivyo lakini ukweli ni kwamba, mwanamke kuwa na uke mpana kabla hujazaa kuna uhusiano mkubwa na ngono kabla ya muda…..Kuna mahali nilisoma kuwa wachunguzi wa mambo haya wanadai utafiti unaonyesha kuwa wanawake Ulaya wana K kubwa/pana kwa vile ngono wanaianza wakiwa na umri wa miaka 13 au chini ya hapo……

Je unauhakika unaijua K yako? Au wewe ni mmoja kati ya wale wanaoambiwa jinsi walivyo huko chini na wapenzi wao?

Acha hizo, ni mwili wako usijiogope, chukua kioo jichunguze, jishike, jifunze, tafuta na kuhakiki kama vile vitu ulivyosoma kwenye elimu viumbe (biology) kuhusu Uke kweli unavyo…..

Siku njema XXxx

Saturday, 1 March 2008

Kwa wanawake waoga "Kulianzisha"

Mimi nilikuwa napenda kuwauliza akina dada(wanawake kwa ujumla), mfano mume wako(hasa wale walioko kwenye ndoa) kaja kukutaka, na wewe hujusikii, kwasababu zisizo za lazima.

Na mume wako ndio mambo yamekuwa mambo, na wewe mwenyewe unaona, utafanyaje ili muridhishane?Nazungumza hivi nikiwa na maana kuwa kuna ndoa nyingi zimeingia mtegoni/matatani kwasababu ya hili, kwamba mwanaume au mwanamke hapati tendo hilo kila anapohitaji.


Tukirejea kwenye mistari tunaambiwa mke au mume ni mashamba yenu....msinyimane nk, sasa je hali hiyo ndio hivyo mnanyimana iweje?Nilisikia mwanamke mmoja akilalamika kuwa mume wake siku hizi akirudi nyumbani anaangalia ukutani/ anampa mkewe mgongo, sababu hasa haijui!


Anahitaji tendo, anahamu ya mapenzi na mumewe lakini mumewe anarudi hoi, sabau ya kazi ngumu, au ndio hajisikii, au ndio sijui kwanini(Na wanawake wengi hata wale waliopo kwenye ndoa hwajui kumtamkia mumewe kuwa ninahitaji tendo...au sio)!


Halikadhalika wapo wanawake wengi wanamna hiyo, ambao hawapendi mara nyingi kufanya tendo la ndoa mara kwa mara, na wakifanya wanafanya kama wamelazimishwa!`kila siku kila siku...aaah, mimi nimechoka...'

Sasa je hii inasababishwa na nini hasa? Hatuoni hii ndio inayochangia nyumba ndogo, na matokeo yake ni kuleteana magonjwa!Nimelielekeza hili swali kwa wanawake, je mume wako akikufanyia hivyo utafanyaje ili atimize wajibu wake?

Ndio hata kwa wanaume linawahusu, je na wanaume watafanyaje ili mwanamke atimize wajibu wake. Najua kwa wanaume wengi wanatafuta njia ya mkato-nyumba ndogo!Lakini nafikiri ipo njio njema na kama wengi tungekuwa tunafuatilia mafunzo tunayopata hapa tungefurahia mapenzi, lakini sidhani wote wanapita kwenye hii blog!

Swali hili lipo kwenye Topic ya matiti na ngono,nimeliweka "peupe" kwa vile nadhani ni muhimu sana ikiwa wasomaji (hasa wanawake) wakalifanyia kazi na kutoa maoni au majibu.

**Usione aibu kuniuliza au kuomba ushauri kwangu ikiwa unadhani maelezo ya huyu bwana yamegonga Ikulu (wewe ni mmoja wao)......karibu sana.