Wednesday, 24 December 2008

Kukojoa kwa mwanamke ndio kukoje?

"Mimi ni mwanamke wa miaka 30 tatizo kubwa linalonitatiza ni kuwa wakati wa kungonoka na mr. Nitajuaje kama nami pia nimekojoa??ebu nijue shosti coz huwa napata mtihani mkubwa sana sijui kama nishawahi "kukojoa" au la!

Kuna siku nyingine huwa napata raha up to the maximum yaani hadi nalia machozi kabisa sasa sijui huwa huko ndio "nakojoa" kwenyewe au ni mautamu tu?
Please i need the tips za kuniwezesha kutambua "kukojoa"thanx mumy! yours raht!"Jawabu:Raht asante kwa kuwa wazi kwenye kuuliza swali lako. Natumaini majibu mazuri ya wasomaji wangu yatakuwa yamekusaidia kujua nini tofauti ya kufika kileleni, raha ya ngono na kukojoa kama matokeo ya kufika kileleni. Maelezo yao hakika yamejitosheleza na nimefurahi kuona watu wako wazi na huru kusaidia watu wengine....bomba sana. Mimi nitatoa mfano na maelezo kiasi tu kujazia yale yaliyokwisha elezwa.


Utamu unaousikia Raht to the maximum ndio kufika kileleni kwenyewe au unaweza kusema kukojoa japokuwa hutoi maji mengi kama baadhi ya wanawake, Ikiwa unasikia huo utamu, ukalia na kupiga kelele na kuhisi umajimaji umekuzidi ukeni na kutotaka kuendelea kwa muda yaani unakuwa too relaxed huku misuli ya uke ikimwenyua-mwenyua(kubana na kuachia) basi ujue umekojoa yaani umefikia mwisho wa safari.....na hongera sana!


Kama ilivyo kwenye kufika kilele sio wanawake wote wamejaaliwa kufikia Mshindo hali kadhalika sio wanawake wote wanaofika kileleni na kumwaga kama kama bomba. Sasa kama unataka kujua kama na wewe unauwezo wa kukojoa kwa kusikia utamu wa ngono na kumwaga ka' bomba mumeo atahitaji kufanya kazi ya ziada kufanikisha hilo.....mimi kama mwanamke sina tips.


Kuhisi kutaka kukojoa-Sehemu kubwa ya wachangiaji wamefananisha au kulinganisha hisia za kutaka kufika kileleni na zile za kuhisi kutaka kukojoa. Hivi ni vitu viwili tofauti kabisa lakini kama wewe ni mwanamke ambae hujawahi ufika kileleni na hujui hisia za utamu wa ngono ni wazi kuwa utadhani hisia hizo za kutaka kukojoa (mkojo wa kawaida yaani empting your bladder) ndio kufika kileleni kwenyewe lakini sio.


Baadhi ya wanwake huwa wanahisi hisia hizo za kutaka kukojoa mara tu uume unapoingia na hapo ndio huwa wanadhani kuwa huo ndio utamu wa Ngono unaopatikana kwa kusuguliwa kipele G, vilevile wapo ambao wanapata hisia hizo tendo likiendelea kwamuda mrefu na kudhania sasa wanafikia mshindo na kuachi makojo (kwa kawaida).....hufurahia wakihisi "nafuu" lakini unapofika kileleni au kukojoa kutokana na utamu wa ngono husikii "relief" (nafuu) kama ile ya ku-empty bladder, unasikia utamu wa hali ya juu yaani unaweza kutamani mchezo uendee tena na tena na wakati huo huo utahisi uke wako ukimwenyua mwenyua yaani kama unafunga na kuachia(kama unavyokaza misuli ya uke) which huwezi kufanya hivyo unapokojoa.....


Kama umewahi kuchezewa kisimi kwa ulimi na mumeo au hata kujichua kunahisia fulani za utamu unazipata sasa hisia hizo za utamu unazaozipata pale kisimini ndio ambazo unapaswa kuzipata unapoingiliwa ukeni na mumeo lakini itakuwa tamu zaidi kama vile mara tatu ya utamu wa kisimini.


Utamu huu wa ngono hauelezeki na wala huwezi kuufananisha unless unauzoefu na utamu huo via kisimi ndio utaelewa jinsi ulivyo.....kuhisi kutaka kukojoa na hatiame kuachia mkojo sio kukojoa kwa maana ya kufika kileleni, vinginevyo tusingehitaji wanaume wa kututia na badala yake tungekuwa tukinywa maji mengi ili kubanwa mkojo na kukojoa ili kuhisi utamu wa ngono.


Unajua wakati mwingine ngono ya kuingiliana (uume ndani ya uke) huwa ina-irritates the bladder(kifuko cha mkojo) na kukufanya wewe uhisi kutaka kukojoa kila unapofanya ngono nitakushauri ukamuona"Gynecologist" ili kuhakikisha kuwa huna tatizo la kitibabu ambalo linaweza kabisa kuwa Saratani au inawezekana una tatizo linaitwa Orgasmic dysfunction kwamba hujawahi kupata Kilele kwa namna yeyote ile (kama nilivyosema awali) hivyo basi upata hisia za kutaka kukojoa na unaweza kufurahia hisia hizo ukidhani ndio unafika kileleni lakini sio kilele bali kibofu chako kimejaa au kimesumbuliwa na kusababisha hisia hizo.


Kwa wanaume huenda wakawa wanahisi kukojoa kama wanavyokojoa mkojo wa kawaida kwani inasemekama (nitahakiki hili) kuwa manii/shahawa zinapita kwenye mrija ule ule ambao mkojo wa kawaida unapita hivyo kwao kuhisi kukojoa kama kukojoa as ku-empty kifuko cha mkojo haina maana na wanawake tuko hivyo, kwani kitundu cha mkojo kiko kwa nje katikati ya uke na kisimi(chini ya kisimi).


Hii huwafanya wanume wengi kudhania kuwa hisia za utamu wa kilele ni kama kutaka kukojoa lakini ukweli (kutokana na uzoefu) ni kuwa utamu wa kutombwa hauelezeki na haufananishiki na kitu chochote sio asali wala sukari.....ila utaelewa kama unajua utamu wa kisimu alafu ongeza mara 3.....au utamu wa kunyonywa kichwa cha uume kwa ustadi sasa utamu huo uwe mara 5 ndio utamu wa kilele cha G-spot! Unaweza kuzimia......

Natumaini utakuwa umepata majibu uliyotarajia.....kila la kheri.

15 comments:

Anonymous said...

Mh
hayo nayo makubwa,hujui kukojoa kwa mwanamke,hiyo raha unayoipata ndo inaambatana na kukojoa,

Anonymous said...

yaani dada hadi leo umri uliokuwa nao haujui jinsi ya kukojoa kwenye kungonoana sasa kumbe siku zote ulikuwa unafanya nini ok. sikulaumu sana inawezekana wengi hawajui dada dina yupo kwa ajili ya kuelimisha kwa wasioelewa ucjali utajua tu.dada dina kazi kwako ya kumpa darasa huyo dada.ili aelewe akiwa anangonoana.nafkiri utawapa faida wengi wasio elewa.its mlimbwende

Anonymous said...

pole sana dada. kukojoa ni kukojoa ka mumeo kunakoambatana na kuongezeka kwa maji ukeni na kisha kushuka kwa hamu ya kuendelea na tendo.kulia zaidi ,kuuma meno,musikia raha iliyopitiliza huendana na kukojoa.hata hivyo sio wanawake wote hukujoa.kitaalamu ni kwamba 45% hufika mara zote wafanyapo,20% hutokea baada ya mapenzi ha haja hasa,25% hufika sio kwa kuingiziwa uume bali kwa kunyonywa na kuchezewa,kuingiziwa hakuwakojoleshi kabisa, na 10% hawa hawafiki kabisa maishani mwao. kumbuka kufika kunategemea unavyotengeneza hisia zako ktk tendo na kulikubali.

Anonymous said...

kweli huo ni utata nami pia nahitaji kujua ili nijue kama nishawahi kukojoa,kuna mmoja hapo juu amesema kuwa kutoka majimaji ukeni ndio kukojoa kwenyewe kwa mwanamke na wakati huohuo mwingine anasema kuwa si wanawake wote wanaokojoa na ni kazi kumkojoza mwanamke plz wajuzi lets us know.

Anonymous said...

Ok mrembo. ngoja nijaribu kukueleza kwa kadri ninavyofahamu ingawa mimi ni mwanamume.

Kwanza kabisa ili ujue kukojoa ni muhimu pia ukafahamu kufika kileleni kukoje. Hii itakusaidia kufahamu tofauti ya kukojoa na kufika kileleni. Pia uelewe sio wanawake wote wenye uwezo wa kukojoa. Hii ina maana kwamba kufika kileleni haimaanishi kuwa umekojoa. Na pia level ya kukojoa inatofautiana kutoka kwa mwanamke mmoja hadi mwingine.

Nikianza na kufika kileleni. Utajua kuwa umefika kileleni kama mojawapo ya mambo yafuatayo yatatokea.

1. Mapigo ya moyo kuongezeka.
2. Mwili kusisimuka
3. Kubana kwa misuli ya Uke, Mkundu na Tumboni(Hii lazima itokee kwa mwanamke yoyote)

Ukija kwenye upande wa Kukojoa. Utajua kuwa umekojoa kama utasikia hali hii wakati unangonoka au kama unafanya oral sex(Kunyonywa clit wakati kidole kikipapasa ndani ya uke upande wa juu(Ukiwa umelala chali) wenye mikunjomikunjo(G-SPOT).

1. Ukisikia hali ya kutaka kukojoa wakati unauhakika kuwa haukuwa na dalili zozote za kujisikia haja ndogo wakati unaanza kungonoka ua wakati wa tendo la kungonoka. (Wanawake wengi wanaogopa kukojoa pindi wasikiapo hali hii wakidhani kuwa ni mkojo wa kawaida na pia wanahofia mwanaume ataichukuliaje hali hii kama akikojoa. So wengi wana-hold back ejaculation kwa sababu tu ya hofu). So dada yangu kama unataka kujua kuwa umekojoa cha muhimu sana ni kuwa katika hali ya kungonoka kwa asilimia mia moja. Hii itaweza kufikiw tu kwa kuaandaana na mpenzi wako kwa kipindi kirefu(Mfano:- Unaweza kungonoka jioni lakini maandalizi yakaanza asubuhi. Mkiwa kazini mnatumiana msg za mapenzi na kuonyeshana jinsi gani mlivyo na hamu ya kuwa pamoja jioni hiyo. Mkumbushane mambo mazuri mliyo-enjoy pamoja hapo siku za nyuma. Kwa kufanya hivi kutavuta hisia zako kimapenzi mapema hata kabla hamjafika kitandani. So by the time mkifika kwenye kungonoka utakuwa kimwili na kiakili uko tayari. Ukiwa kitandani ondoa mawazo mengine yasiyohusu furaha unayoisikia. Pia muelekeze Mr pale unapokunika zaidi akikuchezea au akitumia uume wake(just go with the flow). Hii ni kwa sababu wewe unaufahamu mwili wako zaidi kuliko mpenzi wako. Na pia ujiachie kwa hali yoyote utakayoisikia wakati mkifanya mapenzi. Usijizuie kwa chochote. Huyo Mr. ni wako.

Kwa kufanya hayo nadhani utaweza kusikia kukojoa kulivyo(But this is not a guarantee coz sio wanawake wote wanaokojoa) na orgasm(kufika kileleni) kulivyo.

Hii ndio experience yangu niliyopata kutoka kwa wanawake tofauti niliokuwa nao hapo kabla.

David.

Spanish said...

David ur right man,
unajua nini tatizo lako mamy,utakua unakojoa sana tu ila ujajijulia wapi unakojoa na wapi wasikia maraha ila kama ulivosema mwenyewe wakati mwingine mpaka chozi latoka mwingie adi kuongea ashindwa maji aita mma basi ili mradi upo katika ulimwengu mwingine na unapoona kwamba raha inazidi unajisikia tofauti na mwanzo eb jipe hisia kali jiachie mwenyewe jifeel ndo unakojoa yani unajisikilizia kabisa mpaka unamaliza baada ya hapo lazima uheme kwanza adi nguzu zinakuisha unatamani umwambia tupumzike kwanza kama bao la nguvu,

Spanish.

Anonymous said...

mr David hongera sana, nimeshindwa cha kuchangia just bcoz ulichochangia ndicho ninachokijua kutokana na uzoefu anapo fika,mapigo ya moyo huongezeka,maji huongezeka maana kama round ndefu yalikauka so yanarudi kiaina sio sana so utelezi unarudi kama kawa,anapokaribia anaweza kupiga kelele kwa sauti, baadae anakuwa kama amezirai, from there ana baki kimya hata vile viuno hakuna tena,k inabana na kuachia, actually ukiuliza kilitoke nini mbona alikuwa kama kazimia hawez elezea na possibly ukaboa ukiendelea kwa muda mrefu baadae,na aidha mengine dave kashasema ingawa ni ngumu wengi hawajui hiyo hatua either huwa ninini or inatokeaje,wengine
hawakumbuki raha ilizidi.so wengi hawajui hata kama huwa inatokea. SHARE XPERIENCE WADAU,MIDAMIDA BASI BYEE

LAJK!

Anonymous said...

Mimi ni mwanamke na nimebahatika kuwa mmojawapo wa wanwwake wanaokojoa wanapofikia koleleni japo si kila siku/si kila mara.
Wachangiaji wa hapo juu japo ni wanaume lakini wamepatia kabisa. Yaani mimi siku ya kwanza kabisa, ambapo nilikuwa nimejifungua mtoto wa pili, ndio tu tumeanza tena kuvinjari kwenye mahaba. Unajua tena inavyokuwa tamu baada ya kile kipindi cha mfungo wa uzazi. Mme naye anakuona mlaiiiiiiiiini. Basi bwana, alipokuwa ananichezea kiaina, nilijihisi mkojo. Nikataka kuubana. Lakini nilitoa sauti iliyochanganyikana na kulalamika kwa utamu. Nasikia mkojo, nasikia mkojo darl wangu. Kumbe jamaa anajua maanake. Ndio akakazana zaidi kuchezea sehemu zote alizokuwa amegusa muda huo. Ghafla yaliruka maji maji na nikasikia relief ya hali ya juu. Naye kwa furaha kubwa akanikumbatia saaaana. Alifurahi kupita kawaida. Mimi baadae nikaanza kujisikia vibaya kwamba nimekojoa kitandani. Jamaa akaniambia kuwa hiyo ndio yenyewe na kwamba amefurahi sana kuniona nafikia kilele cha aina hiyo tangu tuoane.
Nilishangaa sana na nikagundua kwamba huko ndio kukojoa kwa kufikia kileleni kunakosemwa. Sasa hali hii haikujirudia tena mpaka baada ya miezi 2 hivi. Nikaiona tena kwa mtindo huo. Sasa muuliza swali, hali hii inahitaji mtu uwe huru sana, mwanaume pia akujengee mazingira ya kuwa huru ana aku-appreciate sana. Otherwise utakuwa unaogopa kuwa atanionaje.
Mme wangu siku hizi anamiss sana kilele changu cha kukojoa. Na mara nyingi ninapokuwa huru, na kuweka fikra zangu kwenye tendo la ngono na kuvuta hisia zote za ngono huwa inatokea nakojoa.
Na kwangu mimi nikichezea kisimi ndio hukojoa kwa urahisi. Mme wangu amejaliwa kuchezea kisimi huku uboo pia unaendelea kushughulika, yaani sijui huwa anakuwa ametengeneza umbo la 0 hivi, au G. Yaani, akichezea kisimi kwa kidole cha katikati kwenye mkono, mdomo uko kwenye chuchu, uboo ukiwa ndani ya kuma na miguu yake ikinipapasa kwenye wayo. Basi mimi ni kasheshe tupu. Wanaume mnaopenda kujaribu nimeandika hii kwa ajili yenu. Kwa kweli ni tamu mnoo! Unajikuta umekojoa bila kupenda na inahitaji kama dakika 5 ndio uendelee tena na mzunguko mwingine.
Siku nyingine nisipokojoa huwa lazima niende uani nikajikamue hako "kamkojo" katoke. Yaani nahisi kuna kamkojo kamenibana.
Wapenzi mpendanao sana Mungu awajalie katika kuridhishana.
Cheers!

Anonymous said...

Mchangiaji wa hapo juu yangu, mwanamke ndio umemamliza kabisa. Mke wangu huwa na hisia za mkojo na hujaribu kuzizuia kwa kuhofia kukojoa kitandani. Siku moja nikamtoa uoga kwa kumchukua bafuni na kufanya shughuli huko mpaka akakojoa. Alipoona jinsi alivyokojoa akajua kumbe tofauti na jinsi alivofikiria nami nikamsifu na kumpa hongera zote. basi tokea siku hiyo mambo ni bambam tu kitandani....

Anonymous said...

mh nikisoma nasikia vijinyege vianakuja,mhh ngoja nimuwaha mpenzi wangu,leo nitajikoki mpaka nikaone hako kamkojo,maana mi hua naishia kusikia utamuuuu yani kuelezea ni ngumu,ila automatically hua najikuta napiga kelele namwambia honey wangu leo mboo ilale kwenye kuma yangu,yani aunt we ule utamu yani rahaa ya ajabu mi nauna ndio kupizi kwenyewe,maana hua inakuwa tofauti kabisa,tena mkifika kileleni wote pamoja ndio wee raha unaweza ukamngata mme ati!Namshukuru Mungu kwa kutupa utamu wakati wa kutombana,kama hujawahi kuupata muombe Mungu uweze kuupata,na mi pia nakuombea maana utakuwa unamiss kitu kizuri sana.

Anonymous said...

JAMANI NAM IE NAOMBA MNIJIBU PLZ NAFANYA SANA NA BWANA WANGU, HUNINYONYA KUMA MPAKA UMAJI AKIANZA KUSUGUA HASA AKINICHANUWA MIGUU KONA YA KITANDA HUWA NDIO MH, MWILI WANGU HUTETEMEKA NATAMANI NIMSUKUME THE TIME NYENGINE KUMA YANGU INATOKA ROJO MWEUPE JE HIYO NIMEMWAGA AU NI UGONJWA? Na Kunasiku Nilirusha Mkojo mpaka raha na yeye akazidi kuendelea akapiga bao zikafanya kama kugongana. Ila Kuhusu Kutoka Urojo mweupe Inatokea sana plz Dinah nifahamishe.

Dinah said...

Anony@6:37:00 PM, hakikisha unasoma Makala za nyuma kabla hujauliza swali.

Huo Urojo mweupe ni uchafu ambao unaitwa Utoko. Tafadhali soma Makala isemayo "jinsi ya kusafisha uke au jinsi ya kujiswafi uke" unaweza ku-google moja kati ya sentensi hizo.

Ikiwa urojo huo unatoka ukiwa na rangi ya kahawia au njano basi kamuone daktari haraka kwa matibabu kwani inawezekana ni maambukizo ya zinaa.

Shukurani.

Anonymous said...

DInah Ahsante nimeenda kwa daktari kaniambia sababu ni urojo mweupe hauna njano wala kahawia daktari huku nchi za nje kaniambia ni kitu cha kawaida anasema ikitoka rojo jeupe nimeguswa sehemu nzuri wengi anasema haitokei kasema ingekuwa rangi zengine ingekuwa hatari, ila akasema ni vizuri nifanywe vipimo vya swipe ndani ya kuma wanachukuwa kutizama Result zimerudi kila kitu safi wamesema na bwana wangu katizamwa kila kitu naye safi na damu. sababu mie huwa kabla ya kufanya tendo lazima nioge na nikimaliza lazima nioge tunaita janaba. ila ahsante kwa ushauri. ila nilitia wasiwasi huwa muda mwengine inatokea muda mwengine haitokei ila mkojo zamani pia nilikuwa nikibana nikijuwa mkojo wa kweli ila ukiruka ni raha sana au mkija wote ndani kwan dani.

Anonymous said...

Aisee nashukuru sana wanajukwaa mmenisaidia kweli kujua raha inakuwaje, mimi ni mwanamke, ila hali ya kusikia kubanwa mkojo wakati wa tendo la ndoa uwa nalisikia sana ila sikujua kama ndio ni kukojoa kwenye kuleta raha, kwani mara tu nimalizapo kusex naenda kujilazimisha kukojoa

Anonymous said...

Mh! Mmenigusa sana. Maana mm nlikua sijielewi kabisa, ngoja namm nifanyie kazi