Monday, 1 December 2008

Alinibuti,Sasa niko Mbali anaonyesha kunipenda-Ushauri

"I have been going through a lot since my girl left me,
but i need ur help right!!


She was my girl, we went though a lot 2gether, but we broke up a month b4 she
went to Unuversity. 6months after that I moved to California USA from Tanzania
and she is still their(Tanzania), she found my contact and she has been texting me
and emailing me.


For real dinahicious I love her so badly to this day, and she said
she still loves me, but the thing is I'm very far from her so she is, and I dont know when I'm gonna be back to Tanzania.


She send me some photo damn! she still looks great. I dont know wat to do sis, should I just forget about it (love) and be friend with her, or I should consider that 1day she will be my girl again?

I will real appreciate ur respond!!
Thanx, Mart"

Kidokezo: Msomaji wangu mpenzi, unaweza kumshauri kwa lugha uipendayo kati ya Kiswahili na kiinglishi.
Asante.


Jawabu: Hello there, You didn't say why she left you, even though is not the case but it would help me to help you. You broke up a month before she went to Uni then after six months you left the country....that means you went different ways (split up) for seven months.....enough time for both you to move on with your lives. Anyhow...

When you broke up with a person you truly deeply love for whatever reason you'll want them back within 3 months, but she has not put the effort in to rekindle your relationship when you were there (Tanzania).

What happened almost a year ago that caused her desire for you to go down and not want to try again? Have you changed or something? It sounds like she wants you back because you are in the USA unapeta (having good life).

I'm not sure as to whether this girl of yours has expressly said she wants you back or you are just thinking she does because she said she still love you and may be beacuse of how you broke up . You are both in limbo right now (you don't know what you want) and that is never a good place to be in.

Consider the reasons you split up then weigh up whether you are emotionally strong enough to go through long distance relationship, to make it work there are 3 important things you must do (1)- forgiveness, (2)-trust, (3)-Communication. Can you happily do those and with hand on heart say, you know for sure she wont ever hurt you again?

Since you don't know when you'll be going back home I think it's best for you to stay friends with her and (as you said) forget about one day having her as your lover kwa sababu it wont work.

Asante for being open, take good care of yourself.

9 comments:

sabrina said...

mh pole kaka yangu bt hayo ndio maisha ya kimapenzi ila ninachokushauri kaka yangu kama kweli unampenda kutoka moyoni mwako ni sawa ila chakufanya inabidi ukapime nae kwanza HIV then muanze maisha mapya sina mengi nakutakia maisha mema

Anonymous said...

I feel so sorry for u
evethough what ua going through with now is the same as mine,i had a boyfriend when i was in Tanzania and i moved to America and left him there and we broke that time but he is texting me that he still loves me,u know what lets wait and see what people they gonna say about this ,cos still i dont know what to do
ok Ngoja tusikie toka kwa dinnah pia

Anonymous said...

Hakuna kisichowezekana kaka yangu,,kama kweli unampenda na yeye anasema anakupenda u can always make it,najua ugumu upo kwene distance.Long distance relationships ni ngumu sana kuhandle kwa watu wengine,cha kufanya ni kuwa na mawasiliano ya mara kwa mara na uaminifu pia hicho ndo kikubwa,naamini kama mnapendana na mnataka kuwa na future pamoja basi mtafanikiwa,ni malengo tu!
Kila la heri!

Anonymous said...

Piga kibuti...huyo amejuwa we upo mbele ndo maana kajifanya kurudisha majeshi, beside hujui lini utarudi bongo...kwa ufupi wadau wataendelea kujilia kisela huku wewe ukijipa imani umemuacha future wife kumbe kimeo.
Mimi nasema ivyo coz in my entire life niliisha acha kuamini distance relationship hasa izi za boyfriend galfriend labda niwe kwenye ndoa isyo na doa coz wameniumiza saana.

Anonymous said...

yani usijaribu kurudiana nae huyo malaya!me yameshanikuta hayo!!wanawake wakibongo akisikia umeyapatia ndio anajifanya anakupenda hawana espocius walisikia mtu kasafiri wanajua umeshayapatia ndio anajifanya kurudi anataka kukuweka kitega uchumi huyo

Anonymous said...

Eh yani hapo ni wazi kabisa anataka kukuibia huyo dhahiri hiyo yani hai hitaji kumuiza kichwa kabisa coz ameona mambo yatakuwa fresh ndio mana ameamua kukutega hakupendi anaependa kweli haonyeshi udhaifu wa kijinga kiasi hicho uko hapa amekushit uko huko anajionyesha kwamba anataka kurudisha majeshi..anapenda kitu kuliko utu huyo. sasa akili mukichwa mtu wangu!

Anonymous said...

I'll tell you what is the hardest part in your case. Does she love you or she love the American thing?

I'm in US, i found so hard to date someone back home sababu huwezi jua kama anakupenda kweli au anapenda idea ya wewe kuwa US.

Litimus taste ni mmoja tuu, ask her Why now and not then? Kisha angalia majibu yake.... you can tell kama mtu ni mwizi.

Anonymous said...

Hujawa wazi ni kwa nini alikuacha? Kama hakuna sababu ya msingi ujue ameona mambo yako yanaanza kuwa safi ndo anajigonga, i dont think kama anakupenda kweli, na be careful unaweza kuwa reserve, yani akikosa anakotaka anajua upo reserve, bt anakotaka kukitiki anakumwaga, au alikokimbilia baada ya kukumwaga kumeanza kuchacha ameona kuliko kuwa alone bora akutafute na still kama ni huvyo, utaendelea kuwa reserve. I advice tulia tafuta mtu anayekupenda. Just pray, Mungu atakusaidia.

Anonymous said...

Mi sioni sababu ya kuanza kuhojia liachwa kwa sababu gani.Huyo dada baada ya kwenda university, sijui chuo gani alijiona much know sana tu, si unajua ulimbukeni..sijui jamaa kabla ya kwenda kiwanja (USA) alikua ana elimu gani.Ila tu kwa ufupi, mademu wengi hubadilika wanapokua chuo kikuu, kuishi maisha ya tamthilia na maigizo.Hivyo jamaa kipindi hicho hakua classic hata kidogo.Ila sasa hivi full kipupwe, mshakji ndani ya nchi ya ahadi kwa kaka Barry Obama, dada kachanganyikiwa kinoma.Ukweli wewe mshkaji usijidanganye kwamba anakupenda sijui kwa dhati au those or whatever, mawazo yake ni kwamba ndege umetoka tunduni, mambo mteremko, anajua unaweza mvuta akaja kwa Obama, au ukienda, dola za kumwaga.Achana naye, kama unataka kuoa mtanzania, angalia mtanzania ambaye tayari yupo hapa marekani, otherwise angalia internationals hapahapa kwa Obama, then engage mapenzini.

Naamini kabisa, kama alilimbuka alipokwenda chuo tu ukapigwa kibuti, je akija huku USA atakufanya nini??Atakupa chaga ya mbavu, sawa na wimbo wa Proj Jay, nikusaidieje..umemtoa kijijini (bongo) unamleta mjini (USA) then anakupiga kibuti, much know unarudi tena.Utajuta mno mkuu.

We unataka kuniambia kwa kitambo chote hicho hajakuwa mapenzini na watu wengine?Na kutafuta contacts zako na mara baada ya kusikia upo huku marekani.Laiti ungekuwa Kyela, Kibondo, au vijijini, hata kama angepata namba yako ya simu asingekupigia hata siku moja.Umuhimu wako umeonekana baada ya wewe kuwepo huku tu.

Hii nakupa fact kaka.Fanya testing moja tu, angalia msichana ambaye uliachana naye kabla ya huyo, mpigie simu mara kwa mara, mwambie unampenda mno, umemkumbuka mno,..kama vipi urudishe majeshi, na umwambie uko kwa Obama, uone kama naye akwambii anakuzimika kinoma.Hakuna jipya hapo, vuta ustaarabu mwingine.Au umeshindwa kutongoza mademu wa kiwanja unatafuta justification ya kumrudia huyo??

Mdau hapa
US