"Hey dada dinah...mi ni msomaji wako sana wa hi blog yako. Mie ni msichana wa miaka 23 na nimejifungua miezi mitatu iliopita. Nilikuwa na normal delivery(ya kiasili) ila nilichanwa kidogo mtoto alikuwa mkubwa, namshukruu Mungu baada ya kama mwezi ivi nilikuwa nimepona kabisa.
Nilichofanya ni kuwa najimwagia maji ya moto ukeni ndani nilikuwa naweka vile vidonge vya GV vinavoyeyuka ili ku disinfect. Unaweza pia kutumia Dettol au Roberts au any other disinfectant.
Sasa dada yangu mimi kabla sija shika ujazito nilikuwa bikra. So siku ya kwanza tu kitu na boxi, nilikuwa sijawahi kuskia ule utamu wa ngono, je sasa kwa kuwa nimezaa ntasikia huo utamu?
Swali lingine ni je natakiwa kufanya mazoezi flani kuifanya kuma kuwa firm? ni mazoezi gani?nimeshaanza kunyegeka..i cant wait kurudi kwa mume wangu kuendeleza libeneke..shukrani.
Mama Tatiana."
Jawabu: Ungetumia Condom basi Mama Tatiana, Alafu huyo mumeo alikuwa mbinafsi sana hiyo siku loh! Hata hivyo haijalishi kwa vile tayari umejifungua kabinti kako mwenyewe.
Hakuna sababu itakayokufanya usisikilizie na kuujua utamu wa ngono ailimradi tu mume wako ashirikiane na wewe, asiwe mbinafsi kama ile mara ya kwanza na wewe mwenyewe kuwa msomaji mzuri wa D'hicious(utajifunza mengi hapa).
Unaweza kufanya mazoezi ya kukaza misuli ya tumbo ambayo husaidia pia kukaza misuli ya Uke vilevile unaweza kufanya mazoezi ya kukaza misuli ya uke ambayo Daktari anaweza kukuelekeza au unaweza kuisaka makala kuhusu mazoezi hayo kwenye makala zilizopita....ngoja nikuwekee link, haya bofya hapa alafu hapa.
Kumbuka kutumia njia asilia za kuzuia mimba au ukishindwa Condom ili usimimbwe tena, ni vema kuwa na uzoefu na kuutambua mwili wako kingono kabla hujazaa watoto wengi.
Kila la kheri.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



5 Wamechangia Mada, bonyeza hapa kwa mchango wako.:
Dada Dinah, ama kweli una kazi ngumu.Mungu akusaidie kuwapa hao jamaa vipande mahususi.
haya Mama Tatiana, mambo?Hebu fafanua kidogo kufanya kuma firm ndiyo kuifanya nini?Hilo neno"FIRM" naona limenitia ujinga kidogo nashindwa nichangie vipi hapo.
Kama umeanza kunyegeka na wewe una mume kwani taabu ya nini mama?Kweli kwenye miti hakuna wajenzi.Usianze kufanya vitu vya ajabu wakati una mtu wako wa kupooza hayo manyegeko yako.Lakini chunga sana usije kudaka mtoto wa pili ndani ya miezi mitatu ya mtoto wa kwanza.
Unaonyesha huna uzoefu sana wa ngono, maana umesema mimba ya mtoto wako ndiyo uliojifunzia ngono na right away ukadaka mbegu zikaotesha malkia wako Tatiana.Bila shaka dada Dina hapa atachukua nafasi yake kukupasya, lakini fanya taratibu utaendelea kuyaona hayo unayoyataka.
Nakutakia kila la heri katika kulea huyo mtoto ambaye ni zawadi nono kutoka kwa Mungu wako.
Ndio matatizo ya wanaume wengine, yaani hawajali kabisa wenzao waona wanachojali ni kumiliki mke. Kama ungepata matatizo ya uzazi inamaana usingeweza kujua utamu wa ngono katika maisha yako yote.Mshukuru Mungu bado unahisi nyege wengine zilikufa baada ya kuzaa.
Mshukuru mungu sana kuitwa mama, binafsi nakushangaa unavyo lilia mambo ya kusikilizia utamu, mwenzio nalilia mtoto i'm 25yrs now na sijui hata ujauzito nini. masuala ya utamu ni ufundi wako wewe na mumeo yaani wewe ujishughulishe na mumeo kadhalika mambo yatakuwa shwari tu wala usitie shaka. Tena kama una nyege mbona huna haja ya kuumiza mtima wako?
Niombee na mimi niwe na Tatiana kama wako!
kila la kheri!
super!
Dada Dinah uko juu sana! hongera kwa kutufundisha vitu adimu!
Mama Tatiana, huyo ni mumeo jadiliana nae wala usihofu ila chunga sana usijepata mtoto mwingine mapema sana kabla ya wakati. All the best & enjoy baby!
asanteni sana kwa ushauri. kwa mtu wa hapo juu nilimaanisha kuifanya kuma kuwa imara nilienda hospitali daktari akaniambia niwe natembea sasa nikajiuliza kama kutembea kunaweza kufanya kuma yangu iwe firm..mhh! anyway asante sana dada dinah nitaongea na baba taty na bidii yangu ikizaa matunda ntakujulisha asante sana and love you so much.
mama Tatiana
Post a Comment