Monday, 27 October 2008

Kujiswafi baada ya Mzunguuko-Ushauri!

"Mimi niko kwenye relationship mpya - (si bikira maana nishakuwa kwenye mahusiano mengine huko nyuma). Sijawahi bado kungonoana na huyu mpenzi mpya, tuna miezi sita sasa na ninaona ni wakati muafaka wa kumuachia mambo (amekuwa akibembeleza muda haswa lakini nilikuwa nikimsoma nione kama yuko serious). Nataka hiyo siku ya kwanza iwe special. Sasa dada ni mambo kadhaa yanayonizungusha kichwa:

1. Je mara ya kwanza ni vizuri uvue nguo mwenyewe au umuache mzee akuvue? Na je unapaswa umvue yeye au ajivue mwenyewe?

2. Habari ya kutomaliza ufundi ulishaiongelea huko nyuma (ulishauri usimalize manjonjo yote siku ya kwanza) lakini swali langu ni je nimuache shughuli yote aifanye yeye tu au? Nina nia ya kumu-impress hasa ukitegemea muda alionisubiri kufanya maamuzi.

3. Nina shida ya kukauka ute wa k--- baada ya kungonoana kwa muda kiasi (round ya pili na kuendelea) hasa nitumiapo condom na nimekuwa nikitumia KY, sasa je ni vizuri jamaa ajue ninayo au niifiche na kuitumia kwa uficho itakapobidi?

4. Kuna hili swala la kujiswafi baada ya round, watu huongelea kuhusu kitambaa na kumfuta jamaa. Kwenye uhusiano wangu wa nyuma kwa kweli mie sikuwa nakaa na kitambaa ila ilikuwa ikitegemea na kila siku inavyokuwa. Niliyokuwa nikifanya ni haya:

Kuna wakati tulikuwa tunamalizia kwa style ya ubavu hivyo tunalala hivyo mpaka jamaa akishtuka inaanza kuwa ngumu humohumo ikiwa tayari anaitoa anabadili condom na tunaendela na round 2.

Wakati mwingine mie huwa nimechoka sana basi tukimaliza yeye huamka na kwenda bafuni na kujisafisha na kisha hurudi na taulo alilolilowesha na maji ya uvuguvugu na kunisafisha mie.
Wakati mwingine mimi nilikuwa nikiamka na kwenda kujisafisha na kisha kurudi na taulo na kumsafisha yeye.

Na kuna wakati tulikuwa tukiamka pamoja na kwenda bafuni kujisafisha wote. Sasa swali langu linakuja je ni njia gani ambayo ndio haswa inatakiwa dada Dinah? Maana wenzetu waliofundwa wanadai kuwa ni wajibu wa mwanamke kuhifadhi kitaulo laini na kumfutia bwana mnapomaliza shughuli.

Naomba msaada kwenye hili sitaki kuchemsha shosti. Nimepekua sana post zote za nyuma sijakutana na inayoongelea kuhusu swala hili. Nitashukuru sana kwa msaada wako.

Yours,Lily"

Jawabu: Asante sana Lily, Naamini kuwa wewe nampenzi wako mna afya njema ili kuzuia maambukizo ya Ngoma. Siku ya kwanza mara nyingi inapendeza kama hakuna maandalizi yoyote, yaani kuacha kila kitu kinatokea chenyewe tu na wewe unakwenda na flow.....hiyo pekee itakuwa " extra special" na hutoisahau siku hiyo. Hata hivyo nitakujibu kama ulivyouliza.


Suala la kuvua nguo linategemea zaidi na mlivyozoeana, mazingira mtakayofikishana au inategemea zaidi ya nyege zako wewe/yeye. Siku ya kwanza kama nilivyoelezea kwenye makala zilizopita mwanamke unatakiwa kutulizana lakini kufuata "mkondo". Tumia uzoefu wako pia. Hilo mosi.

Pili, suala la kufurahia ufanyaji wa mapenzi ni kushirikiana. Pamoja na kuwa hutokuwa naonyesha manjonjo yako yote siku hiyo vitu vidogo vidogo kama kukata kiuno ukipata nafasi ni muhimu, kumshika-shika kiufundi/stadi na kum-busu na kumuonyesha kuwa unampenda na unafurahi anachokifanya pia ni muhimu. Ukimuachia shughuli yote afanye yeye anaweza kupoteza hamu ya kuendelea na vilevile kama kwake ngono ni muhimu kwenye uhusiano basi ujue hatokuwa wako tena.

Tatu, K kuwa kavu baada ya mzunguuko wa kwanza ambao ulipelekea wewe kufika kileleni ni kawaida hasa kama ni kupitia kisimi, mpenzi wako anapaswa kucheza na mwili wako na kutafuta mbinu nyingine za kukunyegesha ili unyevuke tayari kwa kuendelea na mzunguuko wa pili, Ikiwa mpenzi anaujua vema mwili wa mwanamke sidhani kama utahitaji kilainisho.


Sio busara siku ya kwanza kubebelea tyubu au mkebe wa Kay na badala yake chukua Condoms tu. Huyu bwana hujui ufanyaji wake na wala hujui ni vipi anajua kuecheza na mwili wake inawezekana kabisa usihitaji kilainisho hicho ktk uhusiano wenu. Kumbuka wanaume wanatofautiana linapokuja suala la kunyegesha mwanamke.


Nne, Hii inategemea zaidi na ufanyaji wenu(mtindo/mkao), uwingi utokanao na mchanganyiko wa mafuta ya condom na ute au majimaji (kuna baadhi ya wanawake wanatoa maji mengi), Afya zenu (hamna magonjwa ya zinaa) na namna gani mnachukulia tendo hilo na matokeo yake (mnalipenda kiasi gani). lakini kwa vile hamjuani kiundani basi unapaswa kuwa taulo dogo au Tissue karibu kwa ajili ya kufutana (manii/ute).

Kila la kheri na furahia uumbaji wake Mungu.

6 Wamechangia Mada, bonyeza hapa kwa mchango wako.:

shamim a.k.a Zeze said...

mh!! shost naona maswali mengi umejijibu hapo ..ila iyo ya kutembea na ky mpya iyooo nami ndo umenipa ushauri mie ningekushauri uiweke kwa muda wako maana mie najuaga ky hutumika kwa mambo tigooo.....lol jamaa asije jua ndo unamuhabarishaa kuwa ruksa

Hiyo style ya kujiswafisha zote nazo naona umezifafanua vizuri sasa itategemea na siku hiyo nani atakumuwahi mwenzie kama wewe au yeye ...ila mie ningekushauri uwe na kakitambaa kako around in case jamaa atakuwa na ukame msije chafua shuka uji(SHAHAWA) ukizidi...na baada ya masuala yabidi pozi kidoogo za kujilaza kitandani , sio wakurupuka elekea bafuni kunawa unless kama umwanafunzi ...mengine atamalizia DA DINAH mama wa MALAVIDAVI.

Anonymous said...

dada lily,kwanza kabla ya kuchangia chochote hapa ,kwanza mkapimane HIV, kama hamjafanya hivyo,then mdogo wangu ,ndio uanze mapenzi,maana huwezi jua,pili kuhusu kufuta baada ya shughuli,nivizuri ww uwe na kitambaa,tena waswahii wanasema shuri kiwe na haruf nzuri hata ukiweka manukato ,ndio umfute nacho ,kuna utalaamu pia wa kufuta ,mm huo sina,mengine nitakuja nayo ,baadaye.naingia class mama.

Anonymous said...

Ama kweli umepania kumuweka sawa huyo jamaa, mana maandalizi hayo, si mchezo!

Kuhusu swali lako la kwanza juu ya wewe kutangulia kumvua nguo au yeye akuvue nguo, mimi naona ni swali ambalo unalo jibu, kama huna jibu, hebu nijibu hili.Je, katika mahusiano yako ya kwanza ulianzaje na ulifanyeje katika hilo?

swali la pili ni nini hasa kilifanya mahusiano yenu ya kwanza yakatike na yule jamaa yako wa kwanza?
Miezi sita ya urafiki wenu ni mingi sana katika kujaribu kufahamiana na rafikiyo, je, huyo jamaa anataka kutombana tu au mna mpango wa kujenga unyumba(kuoana)?Nini hasa azma yenu na katika urafiki huo, do you have any plan for marriage?.

Nashangaa mno mnarukia zaidi kuuliza maswali ya kungonoana badala ya kuhitaji msaada wa namna ya kujenga mahusiano yanayopelekea mtu kujitunza na kujilinda katika mahusiano ili uweze kupata mtu anayekusudia kabisa kujenga unyumba nawe.Kungonoana kumeleta maafa mengi kwa warembo/wasichana wengi ambao wamejiingiza katika mahusiano ya ngono zaidi ya kuelekeza mahusiano ya uaminifu na kufikisha hatua ya kuoana.

kama umeweza kustahimili kumdhibiti huyo jamaa kwa miezi sita, je, imebaki nini kuamua muoane baada ya kuthibitishana kuwa wote mna afya nzuri?

nafiki mkioana, utakuwa kwenye hali nzuri sana ya kujiweka sawa na kumweka sawa mumeo katika tendo la kungonoana.Maswali yako yataleta maana kwani yatalenga kukusaidia na kumsaidia mumeo kuwa katika mahusiano mazuri na yenye mvuto na mpevuko ulio makini.

unapotaka kumweka sawa mpenzio kingono, so what?what do you think it will help you?are you tired of getting married?au unataka tu kuendelea kungonoka? je, akikuacha naye kama huyo wa kwanza itakusaidia nini hata kama ulimpa ufundi wote wa kungonoka?mimi nafikiri umefanya vema kutongonoka naye. endelea hivyo, ila mwambie kuwa una uzoefu wa awali ulingonoka na sasa umeachwa kwenye mataa.Hivyo sasa ni nafasi yako kuoana naye kama he is serious to establish your relationship. If it is just to have sex, please exit from that temptation for it is not safe.mpe Mungu wako utii ili uwe mama mwema wa mumeo na watoto wako.

stay reasoning before puting anything in action.

Anonymous said...

aliyetoa maoni ya pili jamani sassa mbona hujatufafanulia huo utaalamu wa kufuta na kitaulo...

aliyetoa maoni namba 3 asante sana nimependa sana ushauri wako...kusema ukweli vijana siku hizi ni kama vile wanaangalia style za sex kama ndio njia ya kumfanya mtu akae nae mda mrefu which is not true...nimeona wasichana wengi uhusiano wao ukiishia baada tu ya kungonoka na wapenzi wao kwani wengine hutaka kutest tu na kujizolea sifa...

Anonymous said...

jamani dada dinah nakuomba saana tuelimishe kuhusu utaalamu wa kufuta na kitambaa mie sijui mi nina miaka 22 na bikra bado.naomba mnielimishe ili siku y siku nsichemshe

Anonymous said...

mi naona wa2 mnatumia neno kutombana hii ni makosa maana hasa ya neno kutoomba ni kuingiza uume ndani ya uke sasa kutombwa ni uke kuingiziwa uume mnaposema kutombana inamaana kuingiziana hapo nashindwa kuelewa ni demu pia anaingiza kidude chake ndani ya men au men nae anaingiziwa.elimu sahihi pia huja kwa lugha sahihi.kuhusu kuvuana nguo mi naona men ndio aanze kumvua demu kwanza tena kwa ufundi mwingi