Ndoa ya mkataba....

Dada Dinah, unajua wakati mwingine najiuliza inakuwaje mambo kama haya yanafanyika na je yanauhalali gani kwa huyu na kwa mwingine isiwe hivyo!Wikiendi hii nikiwa nimejipumzisha kuvuta muda, unajua tena `funga’, ukiwa nyumbani inavyonoga.

Akaja binti jirani. Sikumuelewa awali, kwani alivyojistiri kinamna usingeweza kujua kuwa bado ni `mtoto wa watu'.`Nilikuja kumuona dada, nilikuwa na shida naye' alianza kujieleza kwa aibu, na niligundua kuna tatizo ambalo limemkwaza.

`Akija nitamuambia, kama ni lazima yeye' nilisema nikichelea nisije nikateleza na kuiathiri swaumu yangu.`Aaah, unajua ningemueleza mwanamke mwenzangu ni rahisi kunielewa, lakini hata wewe unaweza kunisaidia kwa ushauri, ingawaje najuwa wanaume mnalindana kinamna’.

Haya dada Dinah, kaa mkao wa kusikiliza kisa chenyewe. Binti huyu ni miongoni mwa wale mabinti wanaoolewa kwa kupitia mtu mwingine, anaweza akawa kaka mtu kamuolea mdogo wako, kwa hiari ya mdogo mtu.

Mwanaume muoaji ni wenzetu, wanaosoma na kubeba maboksi huko Ulaya, akaona asivunje taratibu na adabu za kwao. Aliomba wazazi wake wamtafutie `kimwana' huku bongo akirejea asisumbuke, kwani umri nao ulishaenda.

Na kweli wanandugu wakaifanya hiyo kazi barabara, na binti mrembo mwenye adabu na aliyekulia katika maadili akapatikana. Na akakubali kwa hiari yake mwenyewe kuolewa.Sasa ni mwaka wa tatu tangu ndoa ifanyike.

Bwana wanawasailiana na mkewe kwa barua na simu lakini hajafika, na `hawajaonana' na binti. Lakini mawasiliano, matumizi na mapenzi ya`telefoni' yalishamiri utafikiri walijuana kabla.Taarifa nyepesi nyepesi zikaja kuwa jamaa anaye mwanamama wa kizungu akipitisha naye muda kwa mkataba, kuwa akimaliza `masomo' yake wasijuane tena (nasikia hii ipo sana).

Na jamaa anawaambia rafiki zake kuwa ana mke home na huyu huku ni wa kupitisha muda tu, `rijali lazima uwe na kitu...'Binti kuipata hiyo akaona `anaonewa' kwanini iwe hivyo, kwanini kama ni hivyo naye asipate wa kupoteza naye muda kama mwenzake?


Yeye aliuliza na kuongeza, `sio kwamba nataka kufanya hivyo, sitaki kabisa machafu hayo, lakini nahisi sitendewei haki'Anaomba ushauri je upo uhalali wa namna hiyo? Zipo ndoa za mikataba? Je hata kama akija kutakuwa na mapenzi ya kweli, ili hali mwenzake keshaonja mapenzi ya kizungu?(akiwa na maana wenzetu `wadhungu’wanayajua mapenzi zaidi kuliko sisi, hivyo yeye ataonekana si kitu.Majibu niliyompa nayahifadhi kwanza, nisikie wenzangu mnasemaje na hili.

Na hasa hili jipya la `ndoa ya mkataba' je ipo ndoa ya namna hii.

Nawasilisha.emu-three

Jawabu: Hehehehe asante M3 ulivyoandika nimeburudika sana, nilifikiri nasoma liwaya. Uandishi wako unavutia kusoma. Shukurani kwa kuweka suala hilo hapa.

Nijuavyo mimi ni kweli kabisa kuwa kuna ndoa za "makaratasi" ambazo ndio tunaweza kuziita za mkataba japokuwa upande wa pili huwa hawajui kua ni ndoa ya "Muda", kwamba watu huamua kufunga ndoa na watu wengine ili baada ya muda fulani wapate haki ya kuishi nchi husika na muda huo unapokwisha basi talaka hutolewa kisheria na kila mtu anachukua ustaarabu wake.


Lakini ndoa hii inapokuwa imefunga ule upande wa pili (mara nyingi huwa wadhungu ) huwa hawajui kuwa wanaoa au kuolewa kutokana na Utaifa wao na sio mapenzi hivyo mapenzi hutolewa kama "ifuatavyo" na kila kitu kina kuwa kama uhusiano wowote ule wa ndoa mpaka hapo "mtaka makaratasi" anapopata Utaifa kama wa "mke/mume wake".


Huyu binti alihitaji kueleweshwa tangu awali kitu gani kinaendelea huko Ulaya na kwa uwazi kabisa kwanini kuna hiyo ndoa ya "mkataba" kisha angefanya uamuzi wa busara kabla hajafunga ndoa na "hewa" au Picha.

Huyu binti inaonyesha hamnazo kabisa au alibabaika kwa vile Jamaa yuko Ulaya, alikubali vipi kuolewa bila kujenga mapezi kwanza na "mume wake"? Anauhakika gani kuwa ataweza kuishi maisha yake yote na huyo "mume wake" na kuvumilia mapungufu yake? Tuyaache hayo.

Huyu binti kama mwanamke anaejiheshimu hapaswi kulipiza kisasi maana kuwa umbile la mwanamke linakuwa "ruined" kwa kungonolewa ovyo, pili matunda ya kungonoka ni magonjwa ya Zinaa na kumimbwa na hilo likitokea ni wazi kuwa atapoteza maisha yako kizembe na kijinga, pili akishika mimba na kuzaa ni wazi atakuwa amepoteza ndoa yake na wakati huohuo utakuwa na mtoto ambae huna uhakika kama baba yake atamuhitaji yeye kuwa mke wake.

Suala muhimu kwa huyu Binti ni kuzungumza na "mume" wake na kuomba kueleweshwa kwanini ndoa ya Mkataba ipo, faida yake ambayo bila shaka itamfaidia yeye pia na ukweli wa ndoa hiyo kuwepo kwa muda gani, kama mke basi ajaribu kumuwekea mipaka mume wake in terms of kutowa na familia ya "mkataba", ikiwa mume atakubali basi aendelee kuvumilia mpaka "mkataba" utakapokwisha.

Vinginevyo ni kutoa talaka ili awe huru kuendesha maisha yake nahatiame kukutana na mwanaume mwingine ambae atajenga mapenzi ya kweli na hatimae kukubaliana kufunga ndoa.

Suala la ujuzi wa kufanya mapenzi halina Uzungu ni mtu mwenyewe tu, uwezo kwa kufanya mapenzi, utundu wake, hali ya kutaka kujifunza na kujaribu mambo mapya, kuujua mwili wake, kuwa muwazi na mdadisi juu ya mwili wa mume wake......hey Dinah sio mzungu lakini niko juu zaidi ya wazungu wengi hehehehehehe.

Msalimie....

Comments

Anonymous said…
ipo ndoa.mimi niliolewa kwa style inayofanana na hiyo na mapenzi yapo ingawaje ni vigumu kuzoeana lkn kama mmeamua kupendana mnaishi kama ndoa zingine.kama wanawasiliana is a good sign avumilie tu.ukiolewa na mtu wa nje ya nchi ndinyo inanyokuwa unasota sana.mimi ilinikuta lkn sasa tupo pamoja,
Anonymous said…
Kwa nijuavyo mie, mie ndoa ni makubaliano ya watu wawili mume na mke, wanakubaliana kuishi pamoja kama mke na mume (japokuwa siku hizi kuna ndoa za jinsia moja, lakini mie nazungumzia ndoa za jinsia tofauti). sasa kwa vile ndoa ni makubaliano, kimsingi makubaliano ni mkataba, na kwa ndoa zinazofungwa kanisani au bomani huwa na shahada za ndoa ambazo ndo uthibitisho wa mkataba wa ndoa. sasa tunapozungumzia ndoa za mkataba wa muda maalum sina hakika kama zipo, isipokuwa kwa vile ndoa ni mkataba basi unaweza kuvunjwa muwa wowote ule kwa makubaliano au hata kwa amri ya mahakama baada ya upande mmoja kutoa hoja za kuweza kuishawishi mahakama kuvunja mkataba wa ndoa. sasa tunapozungumzia nchi za nje hususani Ulaya na Amerika kuwa na ndoa za mikataba, nadhani ni kwa vile ndoa nyingi huku hufungwa bomani, sasa ndoa zinazofungwa bomani ni rahisi kuzivunja kuliko zile ambazo hufungwa kanisani kwa vile ndoa ya kanisani huvunjwa kwa kifo. kwa nchi nyingi za Ulaya hata wale wanaoenda kuhalalisha ndoa zao kanisani, huanzia kwanza bomani ambako ndo mkataba wa ndoa huandikishwa ili iwe rahisi kuuvunja na baada ya hapo ndo huenda kanisani kuhalalisha, hivyo linapokuja suala la kuvunja mkataba huo kwa vile ulisainiwa bomani basi mahakama inakuwa na nguvu zaidi ya kuuvunja kuliko ule unaosainiwa kanisani. hapo nimezungumzia zaidi ndoa za kikristu, kwa ndoa za kiislamu nadhani taratibu zake zinaeleweka na wengi.
Anonymous said…
wow wow!!!
Kwanza nampa pole huyo dada!!! Yeah Ndoa za mikataba ndo zenyewe uku kwa wabeba mabox na mimi ni moja wao. Lakini hiyo ndoa ya huyo jamaa imezidi coz za mikataba hakuna mambo ya mapenzi ni ndoa ya kulipana pesa. Ni kwaajiri ya makarasi yeah kuna wengine zinapitiliza zinakuwa za kweli na mapenzi. huyo jamaa inawezeka awezi kutoka nje ya nchi coz ana karatasi ndo maana imemchukua muda mrefu kurudi home. Na kuwa na huyo mthungu inawezeka huyo mthungu anamtunza labda huyo anafanya kazi chini ya meza ambayo anapata pesa ndogo sana so kwaiyo awezi kujitunza yeye na kumtumia huyo binti matumuzi uko home. Nachokushauri binti aongee nahuyo jamaa akueleze ukweli sasa wewe ndo utajua cha kufanya kuvumilia au kutimua.

simah
Anonymous said…
Unajua kitu mapenzi ni mtihani sana katika maisha. Ninamshauri huyo dada awe mvumilivu amsubiri huyo kaka arudi asihofie mapenzi ya kizungu kwanza wazungu ni wa baridi wasimtishe. Aongee na Mungu usiku wa manane amuulize MUNGU HUYU NDIYE MME WANGU ULIYENIPANGIA? Atamjibu haraka iwezekanavyo asiwe na haraka amchunguze kwanza atakavyorudi kwa sababu atakua amemshirikisha Mungu atajua tu kama anafaa kuwa mme wake au lah!
Anonymous said…
MSICHANGANYE MAMBO JAMANI NISAWA NDOA NIMAKUBALIANO LKN SIO HAYO MNAYO YAMANISHA NYINYI YA KUTUMIANA KISHA KUTIMUANA LA HASHA ILA NIMAKUBALIANO BAINA YA WATU WAWILI KUSHILIKIANA KIMWILI N.K MPAKA KUFA KWENU MUNGU HAPENDI TAALAKA HIYO NI KWA DINI ZOTE MBILI
KINACHOTOKEA SASA NIKUA WATU HAWARIDHIKI NA MPENZI MMOJA KUTOKANA NA SABABU TOFAUTI NDIO WANAPOAMUA KUTOKUJIFUNGA NAKUAMUA KUTIMIZA MIHEMKO YAO YAKIMWILI WANAPOCHOKANA MKATABA UMEKWISHA
PIA ANAESEMA WAZUNGU WANAWAKE BARIDI UNAONESHA HUKWENDA HATA SHULE MAANA JOTO LA MWILI YANI HUSUSANI KUMANI LINALINGANA NA PIA LINATEGEMEA BLOOD FLOO YAKE KWENYE KISIMI NDIO KINASIMAMA NA KUMTIA ASHKI
SISI HUKU TUNATOMBA SANA WAZUNGU NIWATAMU MNO KUMA ZAO NILAINI NA ZINA MVUTO AKIWA UCHI UNAONA KUMA NYEKUNDUUU NA HAITISHI HATA AWE NA SHIMO GANI TOFAUTI NA DADA ZETU UKIIKUTA KUMAA NYEUSI UTAKIMBIA HASA IKIWA HAIJASAFISHWA
Anonymous said…
pole dada! mimi niko USA hizo ndoa za mikataba ni za kawaida kabisa najua roho inakuuma ila ndo hivyo kubali ukweli kwamba ni ya mkataba mwenzako anatafuta makaratasi anajaribu kuwatengenezea njia.Ila jitahidi sana wasiliana naye mara kwa mara ukiweza vilevile mshukuru Mungu kwamba anatomba huyo mwanamke kuliko angekuwa anashinda anabadilisha wanawake,ukiona amebadirika, mapenzi yamepungua, simu zimepungua basi nawewe weka mguu moja ndani mwingine nje ...wanaume hawaaminiki mpenzi.... asije akakulostisha bure .pole and all the best
mdau kutoka Houston TX