Friday, 3 October 2008

Kwanini sasa nina majimaji sana?

"Kweli dada unatufundisha mambo mazuri, lakini kitu kimoja mbona hamna mada mpya kila siku ni hizi tu yani nikisoma najaribu kutafuta habari mpya lakini naona ni hizo hizo tu, kama mimi nilikuuliza kitu lakini hata sijaona majibu yake, so nikasema jamani vipi tena? mbona sipati jibu langu jamani? au ndio vipi tena?

Mimi niliuliza kuwa nina mpenzi wangu ambaye ni mume wangu mtarajiwa tunakaribia kufunga ndoa, lakini kabla ya hapo nilikuwa na bf mwingine, na wakati niki do naye nilikuwa nainjoi sana, na kuma yangu ilikuwa mnato ila kwa sasa eti nahisi kama nina maji mengi sana, mpaka najisikia vibaya kwanini nashindwa kuelewa, kwa kweli inaniudhi sana, nakuwa sifurahii hata kidogo, naomba unisaidie nifanyaje niweze kufurahia kama mwanzoni. "

Jawabu: Asante kwa kuwa mvumilivu, swali niliona lakini tambua kuwa watu wengi wanatuma maswali na huwa nayawekea tarehe na saa ya kujiweka yenyewe"hewani" kufuatana na lini swali limeulizwa.

Kwavile maelezo yako hayajajitosheleza itakuwa ngumu kwangu kukupa ushauri wenye uhakika, kuna uwezekano mkubwa ukawa umepata maambukizo, tangu huyo ni mume mtarajiwa ni wazi kuwa mnaaminiana na hivyo matumizi ya Condom yanawekwa kando lakini kumbuka kupipa UKIMWI tu sio kupima magonjwa mengine ya zinaa kama vile kisonono, kaswende, Gonoreha, Fungas na maambukizo mengine yanayohusisha kungonoana.

Vilevile inawezekana kabisa kuwa unatumia aina ya madawa ya kuzuia mimba ambayo baadhi yake yanaweza kusababisha utokwaji wa majimaji ukeni.

Kinachokufanya usifurahie kungonoka kama ilivyokuwa awali ni ile hali ya wasiwasi au hofu ya mume wako mtarajiwa anajisikiaje anapokutana na uwingi wa maji ukeni mwako.

Ili nikusaidie na wasomaji wangu wakushauri zaidi tafadhali weka wazi, kitu gani unafanya sasa awali ulikuwa hukifanyi? Mfano matumizi ya Condoms, Matumizi ya madawa ya kuzuia mimba na mara ya mwisho kwenda kuangalia afya ya "kike" ilikuwa lini?

Kuangalia afya sio UKIMWI tu bali na magonjwa mengine ya Zinaa ambayo dalili zake huwa zinajificha, by the time zinajitokeza inakuwa "too late".

Asante kwa Ushirikiano.

2 comments:

Anonymous said...

pole dada yangu,kwa haraka tu,ninkushauri uende hospitali ukafanyiwe checkup,namaanisha ukapime mkojo ,ute uko chini ,na hata damu pia kwa wataalam wa kina mama,unajua sisi wanawake tunaweza tukawa na magonjwa ya huku chini na kusiwe na dalili kama ya kuwashwa etc..na mengine wenzangu watajibu zaidi.asanten.

Mjomba mjomba said...

Kumbe wanawake wanajisikia vibaya wakiwa na kuma yenye maji mengi????..Lakini naona kama wanaume wengi wanapenda kuma yenye maji mengi na sio mnato!..Lipi jibu sahihi wadau??