Wednesday, 6 August 2008

Samahani!

Kwa kupotea ghafla, "nilibanika"(busy) na majukumu ya kulinda ndoa, si wajua ukijisahau kidogo inakubidi urudi kwenye "basics"? Basi ndio hivyo ilivyokuwa.

Ila sasa mambo yatakuwa bomba, endelea kuwepo ili tujifunze pamoja.

3 comments:

EDWIN NDAKI said...

Di pole na kuwa bize.

Haya karibu mkekani..uendeleze libeneke...

tupo pamoja ka konda na nauli mpya

Dinah said...

Hhehehe Edo, asante rafiki.

Anonymous said...

Pole na mishunghuliko dada ndio maisha nafurahi kukuona hewani.