Wakati mwingine simpendi!...ushauri!

"Mambo dada yangu naomba nitoke nje ya maada kidogo mimi mdogo wako nahis nina matatizo maana nina boyfriend wangu ambaye tunapendana sana ananipenda na mimi ninampenda ila sometimes inantokea mimi ule upendo unaisha kabisa.

Anakuwa hajanifanyia kitu ila nakuwaa simpendi kabisa yaan hata kuongea naye nakuwa sipendi, hata kumuona nakuwa sipendi sasa nimeanza kuogopa sana je hilo ndio chaguo langu au sio maana naogopa inaweza ikaniletea problems huko baadaye.naomba ushauri wenu jaman.asante".

Jawabu: Usiogope kuhusiana na chaguo kwani ktk maisha ya kimapenzi mnayoendesha sasa swala la chaguo halipo kwani tayariumechagua nandio maana uko nae.....swala hapa ni mapenzi yako juu yake na mapenzi yake juu yako.

Hilo ni tatizo ambao wanawake wengi wanalo huwa tunaambiwa ni "moody" (sina hakika kama ndio kisirani) na kwa baadhi huwa ni "extream moody" hali inayonifanya wakati mwingine niwaonee huruma wapenzi/waume wao.

Sidhani kama humpendi ila kutokana na uchache wa maneno ktk lugha yetu ya kiswahil inabidi utumie neno hilo "simpendi" lakini katika hali halisi kinachokutokea ni kutokufurahishwa nae au niseme kuna wakati unahisi "you dont like him" kwamba hutaki kuongea, akikuangalia basi ni kosa, akikusemesha basi kwako itakuwa kama anakuchokoza au anatafuta visa lakini "you love him" kwamba moyoni mwako unampenda kwa dhati kabisa.


Hii inaweza kusababishwa na mambo mengi kama vile usumbufu wa kiakili unaosababishwa na msongomano wa mambo yakikazi, kiuchum, kimaisha kwa ujumla lakini kuu kabisa ni mabadiliko ya homono zako kama mwanamke.


Ukijichunguza vema utagundua hali hiyo inakutokea mara nyingi unapokaribia siku zako za hedhi, ukiwa uko ndani ya hedhi au baada ya kumaliza hedhi, hakuna dawa bali ni yeye mpenzi wako kulitambua hilo ili aweze kuepuka vijimambo ambavyo vitakufanya uhisi humpendi I mean "dont like him" sio "dont love him".

Lakini kumbuka tu kuwa wewe ndio mwenye tatizo hilo hivyo ni wewe ndio unapaswa kujitahidi kukabiliana na hili na kuzuia kum-push away mpenzi wako tangu useme mnapendana kuwa mwangalifu kwani kupata mwenza unampenda na yeye anakupenda sio lelemama, trust me hutohitaji kupoteza hilo.

Comments

Anonymous said…
NYIE NADHANI MMESHINDWA KUA WABUNIFU KTK MAPENZI YENU,YAANI MMEKUA MKIFANYA VITU KIMAZOEA SANA KIASI KWAMBA MNACHOKANA SMETIME.
Unahitaji kuwa mbunifu ktk mapenzi ili kuyafanya mapya everyday.
Jua huyo SI KAKA YAKO na wewe SI DADA YAKE mahusiano yenu ni yakimapenzi(ARTIFICIAL RLTHSHP) sio KIASILI(NATURAL RELATIONSHIP)hivyo inawapasa kung'amua nini mfanye kuwafanya wapya ktk mapenzi.Mnaweza enda beach,nje kidogo ya mji,au hata kufanyiana vitu kama wendawazimu lakini vyenye athari chanya katika mahusiano yenu.
Pia ningemshauri huyo bf wako atafute kitu atakachokufanyia ambacho hujawahi fanyiwa na mwanaume mwingine yoyote ili aweke kumbukumbu katika mind yako.
Kama vile kukunyonya,kukupeleka visiwani kama hujawahi,na vingine tutakavyomshauri kama akitaka.DINA ataongezea.

ITEITEI
Anonymous said…
jamani nauliza hivi ni vibaya kwa mpenzi(man or woman)kumvua na kumvalisha chupi/nguo ya ndani mpenziwe?Je hii inaonekanaje katika macho ya watu wengi?Wadau mnaichukuliaje?Dina unasemaje hapo?

ITEITEI
Anonymous said…
Pole sana mdogo wangu!
mimi ninavyoona siyo kwamba humpendi huyo kaka watu..... ila kinachotokea ni kuwa wewe una "kisirani" Amini,usiamini. Na yeyote utakayekuwa naye itakuwa hivohivo. Ni kuwa hujajichunguza tu vizuri... siyo huyo bf tu, hata kwa wazazi wako na ndugu utakuwa na hali hiyo.
USHAURI: Unapojihisi hivo...jaribu kuibadilisha akili yako haraka sana... kama wewe ni mkristo..soma biblia hasa masomo yanayohusiana na upendo. Mwombe sana Mungu akuondolee hicho kisirani. LISA.
Anonymous said…
Dada yangu Hicho ni KISIRANI tu!
hata watoto wako utakuwa unawafanyia hivo. Epukana nacho. pindi ifikapo jitahidi kujibadilishia mood na kulaani hiyo hali. kemea sana. LIL
Anonymous said…
Hali kama hiyo mara nyingi inawatokea wanawake wajawazito, na hatimaye huisha wakishajifungua, sasa mimi naona ajabu kukutokea wewe ukiwa `empty' na mbaya zaidi `mumarafiki tu. Kama walivyonena wachangiaji wenzangu kuwa hicho ni `kisirani'
Lakini swali ni `kwanini kisirani' na kwanini kikutokee wewe na sio yule?'
Kwa mchango wangu, hali hii inaweza ikawa imejijenga tangu utotoni. Huenda kuna sababu maalumu kama utajichunguza mwenyewe wakati ukiwa `mtoto' ulikuwaje. Nasema huenda, lakini inaweza ikawa vinginevyo.
Kwahiyo tabia kama hizi unaweza ukaziondoa mwenyewe, hasa ukijua nini `tatizo'
Pia swali la kukuuliza ni kuwa `je unampenda kweli huyo rafiki yako' nasema hivi kwasababu wapo ambao wanapendana kwasababu za `kupendana' wapo waliolazimishana kwasababu wanataka kitu fulani nk. Na hili pia munaweza mukalitatua kwa kujenga upendo. Elezaneni ni chepi kinawafurahisha, jengeni `upendo' kwa kutafutana `undani'
Well, ngoja tumuachie dada yetu uwanja, azimwage `sera' za kuondoa tatizo hili la `kisirani'
mimi
emu-three
Anonymous said…
Asanten sana dada zangu kwa ushauri jaman ntalifanyia kazi hilo nashukuru sana mungu awabariki.
Anonymous said…
nadhani ni hali tuu ya muda mimi inatokea wakati nikiwa kwenye siku zangue ila najitahidi sana kuzuia mpenzi asijue kuwa sitaki awe karibu yangu.@iteitei umenikumbusha my1st bf yeye alikuwa katoka kusini hukoo, basi chupi alikuwa hataki nivue mwenyewe,furaha yake anivue then ainuseee,nilikuwa naona noma kweli ilikuwa ngumu kwangu lkn nilizoea.lulu.A
Anonymous said…
Naandika hii kwa ajili ya ITEITEI kwa sababu dada muuliza swali amejibiwa kwa kiasi kikubwa sana.
Kwa kweli kama lulu alivyosema, hii kitu inafanywa zaidi naona na wasouth. Mimi nilipata Bf mshona/mzimbambwe aliponifanyia kitendo hiki kwa mara ya kwanza nilijisikia vizuri mno na kwamba ananipenda na kunithamini sana. Sikuwahi kuiona kwa mwanamme mwingine katika pitapita zangu.
Huyu bwana alikuwa expert sana katika hili. Hakuniruhusu/hakunipa nafasi ya kujivua nguo. Tulipokuwa tunaingia katika kufanya mapenzi alianza kwa kunichezea kama, kunyonya ulimi, masikio, macho, n.k.(Hakuwa ananitia mate hata kidogo). Katika purukushani hizi baada ya kuninyegeza, aliendelea pia kunivua nguo moja baada ya nyingine. Yaani nilikuwa kama malikia vile.
Wakati fulani alinibeba na kunilaza kitandania au kwenye kochi nikiwa na nguo na kuanza kunivua nguo taratibu, huku akininyonya maeneo safi, kama kitovuni, kwenye maeneo ya karibu na kinena nk. Hapa ndio nilielewa tofauti ya sex na Love making.
Kwa ujumla ITEITEI hii ni chachandu ya mapenzi ambayo mwanamme unaweza kuitia kwenye mapenzi kati yako na umpendaye. Ni kama tu kuamua kumpikia au kumsaidia kuosha vyombo, na kwa wanawake wengine ni zaidi ya hii.
Mimi nasikitika tu, aliyenioa hapendelei sana kunivua lakini kila mara anapokosea/anaponivua huwa namfurahia sana na ninahisi anajua kama napenda bna anapunguza speed kwa makusudi, ili niimiss. Ila kama mjuavyo, waTz wanaogopa sana kumtumikia mwanamke. Yaani kukuvua nguo, hasa kwa kumuomba anaona kama unamtumikisha au unamwamrisha.
Mambo ya mahaba haya ITEITEI, kama unaweza fanya tafadhali, hata mimi unaweza kuninasa, hahahahahahahaha!
Natania. Maana jamaa naye ana sanaa yake nzito iliyonifanya nilidhike sana. Ila hii imekaa vizuri saaana.
Mkereketwa tu.
Anonymous said…
Na mimi nilikuwa na tatizo hilo, nashukuru wachangiaji kwa mawazo yenu. Hii blog sijui niifananishe na nini. Ubarikiwe Dinah!
Mama Maua.
Anonymous said…
Hii ni kwa zile kufuli...

Kwanza kabisa nasema mie napenda sana kuwa na mwanamke akiwa ana kufuli tu au mara nyingine mtupu kabisa pindi tunapokua chumbani.

Kuna raha yake bwana kumsaula mwanamke na kuna wanaojua kujinyenyekeza huku wakifanyiwa hivyo. Kuna style nyingi hapa, kuna ile ya kusaula na kuitupa huku ukijifanya hautaki kujua inakokwenda na ile ya kuvua na kuibusu, kuinusa na kuisifia. Saa zingine unaweza kuivaa kabisa (inategemea na size na aina jamani ya kufuli yenyewe... mambo ya G-string n.k) na kumpa nafasi atoe maoni. kwanini wabunifu wa kufuli za wanawake walitengeneza hivyo zilivyo.......

Ni raha tu jamani

Ignorant,

Jeremani