Monday, 9 June 2008

Mume wangu hajui kula denda pia Mvivu....Ushauri!

"Dinah naomba msaada,Mie Naitwa Angela,Nimeolewa miak 4 iliyopita,nampenda mume wangu naomba msaada.Mume wangu hajui kula denda, naogopa kumfundisha,ni mbishi na ana wivu sana, denda ananijaza mate mpaka mto unalowa au ananiuma hasa wakati anakuja.


Ninapo jaribu ku mkiss lips, anafungua mdomo wote meno yake huwa yananiumiza,na pia nakuwa very un comfortable.Hata kutiana ana style za ajabu ajabu, chuma mboga hataki eti goti zake zinachoka, ananilalia tu juu au ananipandisha juu yaani kumkalia,ata kitambi kikubwa.mara zote huwa ananikojoza na kidole, akipiga pafu mbili au tatu huwa anakojoa na kuniacha mie bila kukojoa.


Natamani kukojozwa na mboo, ila ni mvivu mpaka aji spray ndo anaweza kunitia kwa dakika 5 mpaka 7.huniacha na nyege za ajabu.mara nyingi huwa anasinzia kama mtoto akishakojoa.pia hapendi kujifunza new style anahisi kuwa nafundishwa na wanaume wengine, im only 30yrs na yeye ni 34.Please help dina please save my marriage.Angela,Dsm"

Jawabu: Angela miaka minne ya ndoa najaribu kupata picha umeivuka vipi ikiwa hali halisi ndio kama unayoisema hapa! Kama umewahi kupitia makala zangu za nyuma utagundua kuwa niliwahi kuzngumzia swala la kuboresha uhusiano wako wa kimapenzi na nikatoa nguzo tano ambazo zikifuatwa vema basi uhusiano wenu utakuwa mzuri na wenye afya.

Moja ya nguzo hizo ni Kuwasiliana/Mawasiliano, zungumza nae kwa upendo, vilevile mfundishe kwa kujenga mazingira ya "tujaribu" kujibusu ktk mitindo tofauti kamavile kwaheri, nakutamani, nakutaka, nasikia raha, nimechoka, nakupenda n.k.

Swala muhimu la wewe kuzingatia ni kuwa hakuna mtu atakae okoa ndoa yako bali ni wewe na yeye. Je mtaiokoaje? kwa kujaribu kuboresha utendaji wake na sio kumbadilisha.

Miaka yote hiyo ya ndoa naamini kuwa mmezoeana sana na mko comfortable kufanya chochocho au kufanyiana lolote iwe ki-searious au kiutani......sasa tumia kona hizo kuweka wazi zile kero za kuachama na kukupa mate badala ya ulimi wakati mnabadilishana mate (kula denda) bila kusahau swala zima la kutumia muda mwingi kucheza na wewe iliuridhike kabla "hajang'orota"...kulala fofofo.

Alafu kumbuka sio lazima yeye ajitume sana ili ukojoe pale uume unapokuwa ndan, bali unaweza ukajifunza wewe mwenyewe kufika klelei bila jitihada zako. Mfano wakati mnafanya ktk hizo dk 5-7 hakikisha unag'ang'ania kiuno huku ukizunguusha kiuno na wakati huo-huo bana puumzi (rejea topic ya kuita kilele)....sasa by the time anamaliza na wewe utakuwa unakaribia hivyo akibaki ndani ni wazi kuwa itakusaidia kufika kutokana na ile joto ya manii (hata kama iko kondomni)......usihofie uume wake kunywe still unaweza kufika.

Tatizo la wabongo wengi ni kutouwa open-minded hivi hawajui kuwa siku hizi kuna magazeti,vipeperushi na site ambazo watu wanaweza kusoma na kujifunza na kwenda kujaribu nyumba?

Kabla hamjaenda kwa washauri wa maswala ya ndoa na washauri wa ngono ni vema ukajaribu ku-work things out na mmeo kwani naamini kuwa ni wewe na yeye pekee ndio mtakaoweza kurekebisha mambo na kufurahia maisha yenu ya ndoa.

Ikishindikana kabisa basi muombe muende mkamuone mshauri wa maswala ya ndoa na ngono, ningekuwa karibu ningejaribu kusaidia lakini unapawa wewe na yeye msiwe na aibu kwani kitu kama kubusu inabidi mpigane mabusu kwa kufuata maelekezo yangu kisha mimi narekebisha kwenye utendaji (I've done mafunzao madogo-madogo one 2 one na wanandoa pia pea ambazo hazijafunga ndoa kuhusiana na ngono) hivyo naamini kabisa wapo wengi na watawasaidia hapo ulipo.


Kila la kheri.

20 comments:

ITEITEI said...

binafsi ningekushauri ununue mikanda/muvi za ngono ingekusaidia,lakini zingatia kuna aina mbili za muvi hizi ZILE ZAKIHARDCORE na zile ZA KINDOA kama KAMA SUTRA,SENSATIONAL etc,nakushauri utafute KAMA SUTRA ni ya kimafunzo zaidi ya hizo za kihardcore ambapo mwanmke anatumiwa kama chombo.Pia kaa chini zungumza nae mwelezee usivyofika mkitiana,sis wanaume hatupendi sikia tunashindwa mfikisha mwanamke.Pia mwombe awe ana kufanyia hatua kwa hatua sio ikidinda anataka ingiza.

ITEITEI

Anonymous said...

Usimpakazie vibaya hivyo, na wewe akisema mabaya yako utajisikiaje. Ar U perfect? Kuvumiliana ndio maisha, sifikirii na wewe kuwa unajua kila kitu.

Zaytun said...

Jamani naomba kufundishwa denda .. manake labda sijui tafsiri vizuri..
hivi denda ni liulimi la mtu akikuwekea mdomoni ulinyone au ni outer lips? nina sababu za kuuliza
wakati nikiwa na boyfriend wangu wa kwanza we were both you I mean same age fun and ol that ila most of the time kisses zetu zikienda deep saana ni outer lips tu, tunanyonyani lips na sio ndimi... 'sasa nilivopata boyfrind mwingine baada ya kuachan na huyu. huyu mpaa likuwa age kadhaa mbele kulko mimi zaid ya 10 so tulikuwa tuki kiss ananipa li ulimi lake kwa kweli nilikuwa nasikia kichef chefu sana manake sijazoea mimi kpewa liulimi la mtu esp pale anapokuwa yuko anataka saana kutiana basi tukikisss ananisukumizia li ulimi mie nilinyonye... mimi ni mtu ninayependaa saan kukiss ila kwa kweli hii part ilinifanya nimuache na hajajua mpaka leo kwanini nilimuacha gafla.. he was nice and ol that ila vichefu chefu vilitaka kuniua..
Dina naomba unipe tofauti ya hizo two kisses.. kama zote zinaaply na kivipi?

Anonymous said...

dinah huyu angela anahitaji msaada,wapo wanaume wengi wenye tabia kama hio.hasa wanaume wa ki africa wako selfish aende kwa marriage counseller muhimbili.

Anonymous said...

dina huyo anaesema anapakaziwa mume maanake nini,mwanaume hamkojozi mkewa,anaomba ushauri,aponye ndoa yake,sasa huyo mshamba anasema nini,angela kasema anampenda mumewe ndo maana anaomba ushauri.so what is the problem kumfanya mwenzio asifurahie ndoa yake?tukubali kubadilika hapa kwa dina ni chuo tunajifunza.aache ushamba kama huwezi toa comment acha

Anonymous said...

ahsante iteitei,kwa ushauri wako mzuri.ntaufanyia kazi.Dinah huyo jamaa anasema nampakazia mume wangu hana sela probably he is one of them.nina gain nini kumpakazia mume wangu?im a human being i love him. I just need to enjoy and feel like a woman. So please help to save my marriage.kwani kama alivyosema zytuin.ni kichefuchefu mtu kukupakaza mate.kama huwezi nisaidia keep ur comments . Thank you. Angela

Chris said...

Kwanza jinsi ulivyotoa picha ya huyo jamaa kimaumbile, nimejitahidi ku-imagine nimeishia kucheka maana kitambi ukikaa juu kero etc....sipati picha hapo,lakini nakuonea huruma pia.

IMO, maelezo yako yanaonyesha kama alivyosema Dinah hamna mawasiliano, mbali ya hivyo kama yalikuwepo sasa ndo yana-fade au kama mliooana either kuna kitu kilichosababisha uoane nae na si mapenzi ya dhati kutoka moyoni mwako.

Zingatia ushauri, hususani mawasiliano. Mawasiliano bora yatambadilisha kila kitu hadi hitting hard the gym na kutoa kitambi hicho.Naa mwishowe mtafurahia ndoa yenu, u sound very despaired... bado una muda play ur part as a Wife! Unajua sisi wanaume sometimes tunataka msukumo fulani ili tufanye kitu fulani!

Anonymous said...

Kwa uoni wangu, mimi naona huenda mengine yanahitaji `vielelezo vya picha' jinsi gani ya `ndimi' zinavyotakiwa zikutane, au ulimi uguse wapi nk.
Uelevu wa kila mtu unatofautioana, na ukichukulia hapa utamuelewesha mtu mmoja. Je yeye anaweza kumshawishije mwenzake?
Kwahiyo dada Dinah, kwa kutusaidia, tungeliomba `vielelezo vya picha, sio lazima iwe `picha halisi' lakini kama inawezekana !
emu-three

Anonymous said...

Dina na wachangiaje wengine wote hapa,
Angela anaonyesha kuwa anajitahidi mbinu ya mawasiliano haijamsaidia. Akijaribu kuzungumzia au kutoa mapendekezo, anaambiwa kuwa anafundishwa na wanaume wengine. Naona kwenye maoni yetu tunajaribu kumsaidia lakini hatujamsaidia. Jamani, afanyeje hapa? Hii mi naona ni ngoma nzito. Sijui aende muhimbili? Nako naona atapata faraja tu na si msaada sana.
Msaada utawezekana kama yeye na mmewe watasikilizana au mmewe atakubali kusikiliza.
Mimi naona mambo mengine yanahitaji maombi zaidi. Nakushauri Angela uende kwenye magoti umuombee. Ombea tendo la ndoa na ujiombee wewe na mme wako
mlielewe. Naamini sana katika maombi.
Pili, uwe unachunguza, siku akikunyonya vizuri bila mate, msifie sana na mwambie hii ndio naipenda sana. Tena badili hata sauti, uongee kwa unyonge na kwa upendo, kwa sauti ya mahaba, kama unalia vile, mwambie, DDDD uliponinyonya saa zile, hukuweka mate mengi, nimejisikia vizuri kweli. Naona ikiwa kavu kavu naipenda zaidi.
Jaribu kujishusha sana nyakati za kungonoka. Wanaume hawa ni wajinga sana. Ukitoa sauti kavu kavu hawapendi na anaona kama unamfundisha. Tafuta mazingira mazuuuri ambayo wote mna furaha na jipinde kujishusha utaona.
Labda niishie hapa.
Mkereketwa tu.

Anonymous said...

Dada Dina naomba kwa kuwa huwa unapitia meseji kabla ya kuzitoa, usiwe unatoa zile zilizotumia lugha chafu. Zinakatisha tamaa watu kueleza undani wao. Angela ana tatizo na nadhani ni tatizo la wengi ila kwa kuwa hatuna mahali pa kusema.
Mwanamme mvivu kwakweli anaboa saaana. Tena Angela ushukuru huyo kama anakusaidia siku nyingine unafikia kilele kwa kidole. Kuna wanawake wameishi kwa machozi maisha yao yooote ya ndoa. Mme anagusa tu anakoroma. Yaani akigusa tu umoo unamwaga na unakuwa kitambaa na fanya ufanyalo haunyanyuki. Inaumiza jamani!
Ninakuomba umtie moyo tu hata aendelee kukusaidia kwa romance. Vile anavyokushika na unaridhika, msifie sana tu anapofanikiwa hilo.
Tena jitahidi, akigusa pazuri kwa kidole au mkono wake, msifie sana. Mwambie ashike hapo hadi utakapomwmabia atoe. Mimi naishi kwa mtindo huo. Wa kwangu ana kafupi halafu kanamwaga kwa sekunde. Mara nyingi ananishikashika na kuninyonya chuchu tu namaliza na tunalala kwa amani. Nimeridhika sana. Sijui uboo mrefu wala mwanamme anayefanya vizuri. Naogopa kwenda nje nitavunja ndoa yangu, maana ana wivu kweli.
Kila la kheri Angela.

Dinah said...

Zytun nilikwisha elezea hilo swala la kubusu na tofauti zake na jinsi ya kubusu kwa wale ambao hawajui. Hivyo nakushauri utembelee makala za awali utakutana na Makala ya "jinsi ya kula denda". kwa kifupi maana yake ni kulambana/busu midomo, ndimi na kubadilishana mate sio kwa maana ya kummiminia mwenzio mimate...jamani yameze yako kisha endelea kubusu unless mhusika anakitu hahahahha (joke hiyo) ila hutitaji kumpa mwenzio mimate yako.

Kila la kheri ktk kuipata makala hiyo na kujifunza, asante kwa ushiriiano.

Dinah said...

Anony@9:10am sidhani kama Angela anampakazia mumewe unless wewe unajua utendani wa mume wake au wewe ni mwanaume na unahisi kudhalilishwa kutokana na maelezo hayo ambayo hakika kwa mwanamke ni kero kuu....just magine miaka minne na huna furaha na maisha yako ya ndoa kwa sababu ya uzembe,imani potofu kuwa mwanamke akijua zaidi basi ni mtembea ovyo.

Nia na madhumuni ya D'hicious ni kwa wapenzi hususani wanawake kuweka mambo wazi ili wenzo wajifune au kuuliza kwa uwazi ili waweze kuondokana na ukiritimba wa baadhi ya wanaume waliobobea kwenye mfumo dume na wasiojua kufurahia swala zima kufanya mapenzi wanadhani kusimamisha na kutiana kila siku au kukidhi mahitaji ya kiuchumi mwanamke anaridhika na anafurahi.

Sote hatujakamilika na ndio maana kunakujifunza kila siku, hata kama ukokwenye ndoa still unahitaji kujifunza ili kuboresha ndoa yako vinginevyo mambo yanaharibika, lakini swala la kubusu na kutokuwa m-binafsi kitandani ni basic, kila mtu anapaswa kulijua nakulifanya kiusahihi kabisa.

Samahani kama nitakuwa nimekukwaza...nashukru kwa maelezi yako yaliyonisaidia mimi kusema nilichokisema.
Kila la kheri.

Dinah said...

M3 kwanza pole sana kwa Op, natumai unaendelea vema na unapata nafuu.

Swala la picha ni zuri lakini halitomsaidia Mume wa Angela kwani atakae ziona hizo pic ni yeye tu na sio mumewe unless na wewe unataka kujifunza kubusu heheheheh(joke).

Swala muhimu na rahisi ni kwa pea hiyo (Angela na Mumewe) kukutana na wataalamu wa maswala ya ndoa amabo naamini hutoa ushauri ktk kona ya ndoa, ambapo pea hiyo itaelezea matatizo yaliyojitokeza na likifikia swala la hajui kubusu then ni rahisi kuwaambia wajaribu kujibusu kisha unawaelekeza pale kina unawapa "maandiko" ya hatua kwa hatua wakajifunze wote (hata kama Ange anajua still ajifanye hakjui ili kufanikisha somo)....ili kuongeza ujuzi jifanye hujui.....asante M3

Dinah said...

Anony@5:06AM, huwezi amini uwingi wa comments za kisumbufu na kukosea watu adabu huwa naziondoa kabla sijaruusu zile za maana kutokea hapa, mbaya zaidi inanibidi actually nizisome which is hard work ukizingatia nina shughuli nyingine za kmaisha.

Niliiachia hiyo comment kwa sababi nilitaka kuijibu na nilijua itasaidia baadhi ya watu ambao hawathamini uwazi wa mwanamke pale anapohitaji msaada.

Nashukuru kwa ushirikiano na kwa kuonyesha unajali hisia za watu wengine.

Mrumbaa@yahoo.com said...

Haya ni matatizo kwa wanaume wengi sana na kuwasaidia inataka moyo kwakua baadhi ya wanaume ni wajeuri na wabishi na kuona wao wanajua,dada Dina nashukuru sana kwa darasa la ziada linasaidia sana sana nakushukuru na uendelee najua wengi wanafaidika sana na maelezo yako japo hawawezi kujieleza..

Unajua ukikiss na mtu kama unamkiss vizuri unakua umemfikisha nusu ya safari yake na wanaume wengi wanatumia pweza,spray,pombe na kadhalika ili waweze kukaa mda mrefu ila nachoweza sema wanaume wengi wamekua one minute men....

Dada Angela inawezekana mumeo akakwambia hapendi hizo style lakini chuma mboga sio lazima apige magoti anaweza akasimama na ww ukawa umepiga magoti kitandani....

Jitahidi kumfanya aweze kuwa mpenda kujifunza either kama mna Internet home unamuonyesha picha za kimapenzi na kujarib kuhoji ivi hii tukiijaribu itafaa au la na vitu kama ivo vinaweza kumfanya akatoka kwenye ule uanaume wake mkafanya japo najua nimepata tabu sana na wadada wengi waume zao wako ivo lakin wengine nawasaidia japo inachukua muda mrefu kukubaliana na hiyo hali....

Wadogo zangu naweza kuwasaidia nitafuteni mrumbaa@yahoo.com

Anonymous said...

Kweli dada Dinah, huenda nijuavyo mimi `kubusu' sivyo inavyotakiwa iwe,...labda sijui (hahaha, ingekuwa hivyo mwenzangu angeshalalamika),na hali hii ndiyo inayowafanya wengi walalamike na kuwashutumu wenzi wao. Kwasababu kubwa ya kutotaka kujifunza. Kwasababu kubwa ya `kujiona' tunajua. Ndio, tukubali, wapo wanaojua hiki au kile, lakini kwa hali ya kibinadamu tulivyo unaweza vile ujuavyo wewe ikawa sivyo kwa mwanzako. Ndio maana mojawapo ya kuwa wawili(mtu na mpenziwe, au sio?)
Tumshukuru sana, dada Dinah, kujitolea na kuanzisha blog hii ili kuyaweka wazi maswala haya ambayo wengi wetu tuliyaona ni ya siri. Hata mimi mwanzoni niliogopa, na mbaya zaidi niliona hii blog ni maalumu kwa akina mama, kumbe yanayotolewa hapa yanamgusa kila mtu. Tuvutike na tuwavute wenzetu waje ili nao wajifunze, ili kuwepo na `upendo wa dhati.
Kwahiyo tunapojimwaga hapa, tusikimbilie kuwaona wanaouliza kuwa `niwashamba'. `hawajui' nk. Hapana, kama wewe unajua kilichoulizwa, changia na elezea ujuavyo, elezea uzoefu wako, utatusaidia sana wale tusiojua, na baadaye mwalimu wetu atatusaidia pale tunapokosea. Tusiwe wachoyo.
Baada ya kuzungumza hayo, nigeukie upande wa dada Dinah, wewe unasemaje, upo tayari bwana na bibi wakikualika ili uwaelekeze kivitendo? Kwangu mimi naliona gumu..., kwani mimi kama mimi naweza kuona ni vyema lakini kwa mwenzangu je?
Hii ndivyo ilivyo katika maisha yetu ya kila siku. Wakati unaona taabu na unataka msaada huenda mwenzako akawa kikwazo! Kwasababu kubwa,`haya ni mambo ya siri' au utasikia jamaa akisema `unaanza kuniletea mambo ya kihuni hapa eee'
`hivi na wewe unasoma haya huoni aibu...' nk, na mwishowe tunaishia kuumizana kiakili na mwishowe kimwili, kwani wahenga walisema `mficha uchi...'
mimi
emu-three

Anonymous said...

Mtolee uvivu tu.Mueleze ukweli, mapenzi ni kuwa wawazi na wakweli.Lazima wote mkubali kushare kila kitu katika sita kwa sita.

Anonymous said...

Kuna kitu kidogo sana ambacho Angela unapaswa kufanya na mambo yako yatakua muswano.

Muelekeze mumeo kujiunga na wajumbe hapa katika huu uwanja. Akisoma mada mbili tatu ataelewa anapaswa kufanya nini.

Ukishindwa kumwambia direct, andika anwani ya hii blog katika kikaratasi na uiache sehemu ya wazi hapo chumbani. Jamaa akiiona atataka kujua ni nini hicho na hivyo kuifungua. Hata kama atakua mkali baadae ila ujumbe utakua umemfikia (sio lazima asome swali lako). Baada ya hapo atakua mdau endelevu.

Ignorant,
Jeremani

Anonymous said...

Mawasiliano yanahitajika sana katika ndoa, angela anatakiwa kuwampole na asitumie lugha ya ukali kumueleza mumewe. Mimi nilipo olewa mumewangu alikuwa ananuka mdomo, nikawa namwambia kwa utani na alikuwa anakasirika lakini sikuacha, nilipopata mimba nilimwambia tena akanishitaki mpaka kwa mamayangu mzazi kuwa namzarau namuona mchafu, mimi nilisingizia mimba na nilikataa kuladenda na yeye kisingizio mimba na kama mnavyojua ukiwa na mimba vitu vingi nisawa. Baadae nikamuona anabadilika na mpaka sasa hanuki mdomo. Angela jaribu kuangalia njia ya kumueleza pia

Mwanandoa

Anonymous said...

tupe watu tukule denda la maana mpaka uchanganyikiwe unjesha kidogo