Mama Rahma, toka nimejifungua mmmh!-Ushauri.

"Hongera dada dinah.mimi ni mama mwenye mtoto 1nimeolewa miaka 2 iliyopita. Namshukuru mungu namrizisha mume wangu tatizo linakuja baada kujifungua nilikata ku-bleed kwa miezi 5 baada ya hapo nilianza kutumia dawa za uzazi November 2007, lakini nilishindwa kuzimudu kiasi kwamba mume wangu ilikuwa akinikumbusha kila siku.


December 3, nikaamua kuweka iud/kitanzi Doctor wangu aliniambia nita-bleed bila mpangilio after 2 month itaacha. lkn ninavyokwambia mpaka sasa na-bleed bila mpango nikitombana mimaji kila saa nafuta hata mboo yenyewe siisikii na nyege zimeisha wasiwasi wangu nitamchosha mume wangu na kutoka nje saa nyingine mboo iko kumani damu inatoka naomba ushauri je nikawaida au ninamatatizo wamama wenzangu naombeni mnisaidie, Mama Rahma wa Mikocheni"

Jawabu: Rahma kwanza kabisa napenda nikupe pole kwa tatizo unalokabiliana nalo, pili nakupa hongera kwa kuwa wazi. Tatizo la maji maji mengi huwatokea wanawake wengi wanaotumia madawa ya kuzuia mimba.

Sote tunafahamu kuwa kuna baadhi hupatana/endana nayo na wengine huhangaika kubadili-badili ili kupata ile moja ambayo haitowasumbua au kuwasababishai mabadiliko japokuwa karibu madawa yote yanasababisha matatizo makubwa kwenye mwili wa mwanamke.

Lakini tatizo la kuhisi maji-maji wakati unafanya mapenzi linawezekana linasababishwa na Saikolojia yako kuwa unajua kuwa uke wako umepanuka kutokana na kujifungua hivyo unaponyevuka (kuwa/kupandwa na nyege) na tendo kuendelea unaanza kuhofia zaidi hali unayoihisi kule chini (unyevy kupita kiasi).

Sasa kwa vile wewe umekuwa ukitumia madawa ya kuzuia mimba kuna uwezekano mkubwa kuwa unamchanganyiko wa vitu vitatu.......(1) Kisaikolojia (2) Madawa uliyowahi kutumia na (3) kutofungwa vema/kujeruhiwa baada ya kuwekewa kitanzi.


Nasikitika kusema kuwa tatizo lako ni la kitibabu zaidi hivyo nitakushauri ukamuone Daktari wa maswala ya uzazi wa mpango ambao wanapatika kwenye kila Hospitali Tanzania kwa ushauri zaidi na hatimae kuzuia swala zima la utokwaji wa damu.

Ukiondokana na tatizo hilo la kutokwa na damu mara kwa mara na ukaendelea kujihisi kuwa unamaji-maji kila ufanyapo tendo la ndoa basi nakushauri uwe ukifanya mzoezi ya kubana misuli ya uke kisha tumia "Vinegar" kwenye maji yako ya kuoga, weka kidogo tu kisha kaa kwenye maji hayo ambayo yatakuwa kwenye "bath tab" lakini kama huna basi tumia Karai au beseni kubwa litakalokurahisishia kukalia maji hayo yaliyochanganywa na "Vinegar".

Loweka uke wako kwa muda wa dakika kama kumi na tano hivi na fanya hivyo mara moja kwa wiki. Hii itasaidia kupunguza umaji-maji ndani ya uke wako.

Tafadhali fanya hii mara tu baada ya tatizo la damu kuisha.


Kila la kheri.

***Tafadhali kama unauzoefu na hili nitashukuru sana kama utachangia ili sote tujifunze kitu ambacho ndio lengo kuu la mahali hapa. Asante.

Comments

Anonymous said…
Pole sana mama Rahma. Kutokana na maelezo yako inasemekana IUD is not for you. If possible ask for scanning waweze kukuangalia kama kuna tatizo lolote kwenye uterus. Wakati mwingine due to homones changes, kwani IUD uliyoweka niya cooper au plastic? Kawaida haupaswi kuendelea ku-bleed na kutoa maji, (that's my opinion) Sijui wenzangu. Mimi nilibleed kiasi for the first month, then mambo yakawa fit, in fact huwa nakuwa mkavu mpaka natumia gel.
pole sana dada yangu.

Najua umeomba msaada kwa wadada ila mimi nikiwa mkaka kwa kuwa sifahamu suruhu ya tatizo lako naomba nikupe pole.

ila naamini utapa ushuri mzuri kutoka kwa huyu dada mwenye hii nyumba(Dinah).

pole sana
Anonymous said…
Kwa awali ya yote pole sana. Kwa ushauri wangu wa haraka, naona umtafute dakitari bingwa wa maswala hayo, kwani ushauri wa sisi utakuwa wa juujuu tu (mshike, mkumbatie, safisha nk), lakini hawa jamaa wanaoitwa `dakitari bingwa wa tatizo fulani' wao wanajua nje na ndani na wanaweza wakakushauri njia ipi itakuwa haikuletei matatizo kwa vipimo!.
Labda kama kuna mtu ameshawahi kukumbana na tatizo hilo anaweza akaeleza jinsi alivyolitatua, ili aweze kukurahisishia njia ipi mbadala.
mimi
emu-three
Anonymous said…
Hello,

nimeona hururma kusoma huu ujumbe ila mimi ni mama wa watoto wawili na ushauri mzuri ninaoweza kumpa huyu dada aende akamwone dakt wa kina mama asaidike haraka that is not normal na ili ufurahie maisha yako na mumeo lazima hilo liiishe asije akaanza kukimbilia nje mpenzi wetu. Lazima tusaidiane wanawake jamani,

Dina can u connect mama rahma with any doctor gynaecologist (labda nimekosea spelling) ni dakt bingwa wa magonjwa ya wanawake awe anatoa ushauri kwetu kina mama na wadada wanaosoma hii blog yako tuwe na smaada kote kote. thanks , dina i love ur blog and keep it up.
Anonymous said…
Pole mama kwa tatizo hilo. Ukweli ni kwamba dawa za kuzuia mimba (vidonge na sindano) zinadisturb hormones, Sasa unawapodisturb hizo hutokea mabadiliko makubwa ya kifiziologia. Nakushauri hata kama una mpango wa kuppumzika kidogo jaribu kutumia njia ambazo hazigusi mfumo wako wa kifisiologia kama copper coil ambayo ni 100% safe na huwezi kupata mimba. Ukifika wakti wa kuhitaji kijana unatolewa na haichukui hata 15 min.and you can drive back to your home baada ya kufanyiwa. Tatizo ni aghali kidogo.

Kila la kheri, naomba ukiandika maneno mengine yapunguze nguvu kidogo kila mtu ataelewa, mfano badala ya kutombana unaweza kusema kuingiliana (option).
Anonymous said…
Dr. Kilonzo, Bugando/Good Samaritan Hospital, Mtaa wa Kirumba, Mwanza. namba zake za simu, simu waliniibia
Anonymous said…
Pole sana Mama Rahma,mie ni mkaka,nimeona si vyema nishindwe kusema kitu juu ya hili,mambo hayo ni ya kitaalamu zaidi naimani hata ulivyokwenda kufanya ilikua kitaalamu,kwa maana ya kua wafanyao kazi hizo ni madaktal,nashauri baada ya kua umepata maneno kutoka kwa dada dinah na wengineo,moja kwa moja elekea spital yoyote nzuri kwa ajiri ya kukuangalia tena.ni mbaya kwa vile kisaikolojia inakuathili wewe na huyo mwenza wako,Big up kwa dada dinah pia kwa kazi kubwa ya kutuweka sawa.tunajifunza mambo mengi sana hapa.
Anonymous said…
pole sana mama rahma, mimi nilishawai kuwa na tatizo kidogo linafanana na lako ila mimi nilichoma sindano sikutokwa na damu ila maji maji yalizidi na nilikuwa naumwa sana kichwa na mzunguko wangu unapofikia sipati damu ila napata maumivu na maziwa yanakuwa yanauma kama mtu ambae yupo kwenye siku lakini damu haitoki nilienda kumuona daktari wa magonjwa ya wanawake (gaino.)pale TMJ anaitwa Dr. Mselenge na bahati nzuri upo mikocheni.

Alinisaidia sana, atakueleza njia gani utumie na atakwambia jinsi inavyofanya kazi na baada ya kukutibu na kukufanyia vipimo atakushauri utumie nini. NAOMBA UKAMUONE
Anonymous said…
Kwanza nampa pole mama Rahma,kwa ushauri ulioupata kutoka kwa dinah na sisi wasemaji wengine nadhani utakusaidia kutatua matatizo yako.
KKMie said…
Anony hapo juu nimepata swali lako ambalo umelirudia kwenye hiyo comment ila nimelikata kwani tayari liko njiani (ulilolituma on the 25th) na kesho litakuwa hewani.

Endelea kuwa mvumilivu na asante kwa Ushurikiano wako.
KKMie said…
Nyote mliotoa ushauri hasa kuweka majina ya madakitari na wanapopatikana shukrani za dhati ziwafikie.

Rahma tafadhali endelea kuwasiliana nami ili tupate the outcome kutoka kwa Dakitari ili iwe njia kwa wengine pia. Asante.
Anonymous said…
mie naomba kuuliza dada dinah kuhusu hiyo vinegar ni ile inayotumiwa hata nyumbani kama kiungo au ni tofauti? na swali langu lingine je hata kama huna tatizo la kutokwa na maji unaweza kutumia vinegar kama ulivyoelekeza?
Anonymous said…
Pole Mama Rahma, ninachoweza kusema ni kuwa dawa yoyote ya kuzuia mimba ina matatizo. Hayo yalimtokea ndugu yangu na alikuwa ana-bleed takribani miezi 3 na alikuwa ameathirika psychologically na kuwa analia kila siku. Kitu nilichomshauri mimi ni kuwa aachane kabisa na dawa yoyote ya kuzua mimba kwani zote zina madhara hakuna ambayo haiathiri. Mpendwa Mama Rahma nakuonea huruma jaribu kuacha kutumia dawa hizo, fanya mazoezi ya misuli kama ulivyoshauriwa hapo juu na pia ukamuone doctor usikie atakueleza nini. Pia usichanganyikiwe tatizo lako si kwamba limekutokea wewe tu ni wengi limewapata ni kwa sababu ya kuwa ni madhara ya sirini.
KKMie said…
Anony @10:52:00 AM, Hakika ni ileile tunayotumia nyumbani. Unaweza kutumia ikiwa huna maji-maji, ila hakikisha ni mara moja kwa wiki na tumia kiasi kidogo sana.