Saturday, 31 May 2008

Nini cha kufanya, siku ya kwanza!


"Dinah mi nina swali..kama nakutana mara ya kwanza kimwili na mwanaume what should i do n what should i not do??i would really like to makelove to him coz i believe we both love eachother na tumeanza kuwana kahusiano mwanzo wa mwaka huu but we re both very busy n thought we wanted to do it when we can both enjoy n feel ready.

I want to make it special!!coz we trully adore eachother and get along i don want to blow it!postions i should do??viuno??blow job??im planning it to be at ma place ,have a nice home cooked meal,trying to make ma room tempting beemed light,candles,slow music ,wear kinky knickers u know sort of a thing!!looking forward na comments zenu.thanks"

Jawabu: Asante kwa swali lako na pi anaomba radhi kwa kuchelewa kukujibu kwani nilikuwa likizo. Napenda kwanza ukumbuke au utambue kuwa mwanaume siku zote anapenda au anataka kuwa mtendaji mkuu labda niseme kuwa in-control wakati wote hasa hiyo siku ya kwanza ya kukutanisha miili yenu.

Huitaji kujiandaa sana na badala yake jaribu kuwa wewe (be urself) kisha nenda na "flow", ukijiandaa sana unaweza kumuogopesha asirudi tena au akawa anadai ufanye mandalizi hayo kila siku kwa vile ndio uliyoanzanayo so atataka moto uaki pale-pale, sasa siku ukiamua kuwa romantic si jui ndio utafanyaje hehehehehe usijali.

Siku ya kwanza kwa mwanamke na hata kwake yeye mwanaume ni siku ya kujuana miili yenu, i siku ambayo mtu anaweza asi-notice maandalizi yako kwa vile akili yake yote iko kwenye penzi juu yako na jinsi gani atafurahia ku-share mwili wake na wako.

Kwa maelezo zaidi tafadhali nenda kwenye topics za December na saka inayosema "siku ya kwanza". Wachangiaji wengine shukurani za dhati kwa kumuweka sawa mwenzetu.

Kila la kheri!

12 comments:

Anonymous said...

Duu si mchezo!.... I like that! but naona kama vitakuwa too much!!! slow down baby... usije ukamfanya huyo bwn akuogope (Hiyo ni kwa mimi nilivyo) naona ujaribu kupunguza baadhi ya vitu (yaani usi-speciallize sana) mie nina experience ndogo. Kuna wakati wa nyuma nilijaribu kama unavyotaka kufanya kwa mwanaume mpya. Ok nikafanya. Baada ya siku kadhaa tumezoeana, jamaa asianze kurecall back!!!?? akasema eti nilijiandaa sana siku ya kwanza! Was like I needed him so badly! It was a joke but I understand he meant it. So please be so very carefully, especially siku ya kwanza au siku za mwanzo mwanzo!
Goodluck dear!

ITEITEI said...

Hiyo nikujishtukia kama una uhakika mnapendana ya nini kuficha makucha ya uwezo wako wa kimapenzi eti kwa kua ni mwanzo mwanzo?Mimi kama mwanaume nakushauri umpe mambo achanganyikiwe USIJISHTUKIE kama anony hapo juu.Mapenzi ni kuridhishana na sio kupimana au kua na unafiki wa kuficha makucha mwanzo af later wayaonyesha.
Jiandae vizuri oga vizuri mpe kitu!!
Ni mimi
ITEITEI

Anonymous said...

Fanya kila kitu lakin sx isiwe too much, inapendeza ikiwa ya hatua kwa hatua. Ktk kusx onesha kumfurahia kwa upole,viuno taratibu, mwangalie machoni, ucmwingizie, usisuc, fanya hayo cku zingin, fanya vitu vidogovidg tu km kubana p yake na misul ya K, etc. Enjy - Nelly.

Anonymous said...

Love ni sanaa, angalia usije fanana na wsanii waloishia kuuz albm moja tu kwa kuwa walitumia nguvu nyingi kuandaa ya kwanza tu then zilizofuata ziknekana ylyale au less rkbisha plan yako. Dinah kuna tfaut y kilele na kupiz kwa moms? wanapiz toka ndani au ktk urin path? - Derek.

Anonymous said...

asanteni maana kuuliza sio ujinga unaweza kuwa inajiona fundi kumbe mnhh unachemsha ....i thought blow jobs na vitu vingine for first time ni too much!!!one again nashukuruni kwa ushauri wenu

Anonymous said...

Jamani Nelly plse help me kubana misuli ya K unafanyaje na inasaidia nini?, na mimi pia niko na date na mtu ambaye bdio mara kwanza on Friday

Anonymous said...

Nelly nimekutamani dada.Tunaweza wasiliana tafadhari? sema kama ndio tupeane contact please.Unaweza kuwa daktari wangu mzuri wewe.
chris.

Anonymous said...

Da Dinna mi naomba unifahamishe tofauti ya kufika kilele na kupiz kwa dadas, je wanapiz kupitia urine path au frm inside V? G spot iko unawezaje igusa kwa kidole? Unyago wako umesaidia kubadili hali ya ndoa yangu, thanks alot, keep it up!
NELLY.

Anonymous said...

Dada Dina samahani,
Nimecheka hapa kwa wachangiaji sina mbavu kabisa. Si kwa nia mbaya lakini. Nelly kaeleza hapo juu na kila mtu kamtamania na kumuuliza. Na wengine wamemuita Dr wao. Sasa huyu huyu Nelly nakutana naye hajui wanawake wanavyomwaga/pis.

Pole sana Nelly na Hongera kwa sanaa ambayo wewe unaionyesha kwenye mapenzi kwa mpenzi wako lakini jamaa hajakufanya ukojoe. Nikikueleza hapa sidhani kama jamaa atapita asome. Maana anayemsaidia mwanamke akojoe ni mwanamme. Labda kwa kifupi tu, Mwanamke anakojo kupitia njia ya mkojo, kwa uzoefu wangu. Hali hii ni tamu sana. Mimi nampenda na kumheshimu mwanamme anayeniwezesha nikojoe kabisa wakati wa kutombana. Lakini hali hii ni ngumu pia kutokea na inahitaji mwanamme msanii katika sanaa ya mapenzi.
Inahitaji pia mwanamke awe amerelax kabisa kimawazo na kimkao. Na itatokea zaidi katika kufanya mapenzi (Romance ya kuchezewa kisimi) na si sana katika kutombana. Inaweza kutokea kidogo sana wakati anapogusa kipele cha ndani.
Nadhani umewahi kusikia baada ya ngono kama umebanwa kamkojo hivi na unaona kama hujamalizia vizuri katika kungonoka. Hapo ni kwa vile hujakojoa. Ungekojoa hako kamkojo usingekasikia na badala yake ungejisikia usingizi mzito.
Ngoja nimwachie Dina nafasi amalizie.
Mkereketwa tu.

Anonymous said...

Mkereketwa asante kwa msaada wako, naona Nelly katuvuta wengi nljtamblsha km Nelly, ila mi ni Derek. Ni % ngpi ya dadas wanaweza fikia htua ya kukojoa, na mimi kama mr sijajua namna nitamsafirisha toka orgasm ya kwda 2 dhe extrme point. 4month in mriage SOS please! Derek.

Anonymous said...

Anomous wa 11:55 apt. ya Friday mbona hamsomi topc za daDina za nyuma dada yetu kamwaga darasa ambalo ukilimaliza lote unakuwa na confy iliyopitiza kidogo. Shotly wkt anaingia na kutoka kna wkt anatulia akiwa ndani, (hakisha isiwe amesta kujizuia kupiz vinginevyo utakuwa uchochea magazine na itafire) ni wakati mzuri wa kumrom kwa misuli ya'K'yako, unakuwa kama unakata mkojo au haja kubwa, anapata raha ya aina yake.
NELLY§

Dinah said...

Nelly;
Hapana mwanamke hakojoi(ute utokao kutokana na utamu wa ngono a.k.a kilele) kwenye njia ya mkojo ambayo ikochini kidogo ya kisimi.

Mwanake anakojoa (kufika kileleni) kupitia kisimi na ukeni "cum" hiyo inaweza kuwa ute wa kawaida tu haliitakayokufanya uhisi umajimaji wenye uterezi....hii ni karibu wanawake wote.

Baadhi ya wanawake hufika kileleni na kumwaga maji mengi zaidi (inatoka kama mkojo) lakini haina harufu.......inapotoka sina uhakika nitafanyia uchunguzi hilo kwa mtu ambae yuko hivyo kisha nitakuja na jibu la uhakika.

Hakuna uhusiano kati ya kukojoa mkojo bada ya kunywa maji na kukojoa kutokana na utamu wa kileleni, kuna mtu kauliza hili na nitaliweka kesho kama topic ili sote tuelewe na kujifunza zaidi kuhusu swala zima la kilele kwa mwanamke na tofauti zake.

Asanteni nyote kwa ushirikiano.