Wednesday, 2 April 2008

Ushuhuda kutoka

Poleni kwa kuwaacha solemba kwa takiribani masaa 36 hivi kapajatop kangu kaliumia kidogo sasa nikakapeleka sipitali, kamerudi few min ago. Ktk kupitia comment nimekutana na ushuhuda huu, wengi huniandikia mail lakini naona huyu kaja kushuhudia hapa kwa faida ya wote...anasema,

"dinah mpenziilike 6-7 months ago nilikuandikia msg naomba ushauri nifanyaje niweze kuingia kwenye relation tena maaana i was betryaed by my ex niliyezaa nae!!ushauri wako ume work i met a nice guy we trully love eachother,anampenda mtoto wangu pia na inshallah mungu akisaidia tunampango wa kuhalalalisha relation yetu.he adores me n adore him we re in love dinah ,im in love at last hehhehe.endelea kushauri wengi kama mimi ..i took my time n he came along .thanksmamiii"
ni anony @ 5:07:00 PM ipo kwenye topic hiyo hapo chini.

Hongera sana nakila la kheri ktk maisha yako na familia yako.

6 comments:

Anonymous said...

Pole sana na kuumwa kapajatop kako, i hope its not serious ehe!.
Hongera kwako Dada Dinah, kwa kazi nzuri, ambayo nahisi wapo wengi wamefanikiwa, lakini hawajatoa ushuhuda kama huyu aliyeamua kuwa mkweli. Wapo wengi kama wataamua kutoa ushuhuda hutaamini, wapo waliofanikiwa kuzirudisha ndoa zao kwenye raha, na wapo waliookoa ndoa zao zilizokuwa zikilegalega, tunaomba na wao wajitangaze ili tuvutike na kujifunza zaidi.
Nasema tuvutike na tujifunze zaidi, kwa ujumla, kwasababu wengine, tulishavutika, ila kwasababu tunajifunza wenyewe, na upande wa pili hawajui, nini kinachoendelea, inabidi tutafute mbinu za kuwalengeshea ujuzi huu.
Nasema upande wa pili kwasababu sio wote wanaofika huku, wengine mume ndiye pekee anayeupata ujuzi huu wa mitandao, wengine mke peke yake, na wengine ndio wale wakiona neno `mahusiano ya mapenzi na vibwagizo vyake' anajifanya haya mambo hayatakiwi kuwekwa hadharani, lakini akiumwa sehemu nyeti anakimbilia kwa daktari.
Kushindwa kutoshelezana ni ugonjwa, na ugonjwa huu unagusa sana sehemu kubwa ya fahamu zetu, kwahiyo watu kama dada Dinah, ambao wamejitolewa kuyaweka haya wazi, tuwashukuru sana. Wana-tutibu kiakili, lakini tunashindwa kuelewa, kwasababu ya uzaifu wetu wa tatizo la aibu-`haya'. Kwahiyo ukipona usikose kutoa shukurani, hata angalau ushuhuda kama alivyofanya mwenzetu hapo juu unatosha, hii inampa faraja sana dada yetu Dinah kuwa anachokifanya kimeleta matunda, au unasemaje dada Dinah?.
Kitu kikubwa ambacho nilikuwa nikijiuliza ni jinsi gani ya kupata mafunzo haya kwa pande zote mbili ambalo nimeona kuwa ni changamoto letu sisi sote. Hili huenda lisiwe jukumu la dada Dinah pekee, ni kazi yangu mimi na wewe pia.
Huu ndio mchango wangu kwa `topic hii ya ushuhuda'
Ahsate
emu-three

mamiiii said...

hey.....
ilibidi nitoe ushuuda maana its not fair on dinah n all the other women who thought basi their love n sex life ndio imekwisha...i ve never been happier u cant even tell mtoto sio wake anavyompenda,dinah i will invite u on my big day heheh trust me so that u can see the person u changed her life!!!thanks
mamiiiii

Anonymous said...

Mamii hongera kwa kupata mwenza tena.. lakini pia najaribu kukumbusha usijisahau. Endelea kufatilia na kuyafanyia kazi mafunzo mbali mbali ya Da'Dinah ili pia uhusiano usiishie njiani. Unajua bwana haya mambo hayana guarantee. Unaweza kuta anakupenda hivyo kumbe ni kwa muda tu. Baada ya muda akikuchenjia hutaamini kama ndio yule. Lakni sio wote. Wengine ni wema kabisa, kwa hiyo mpenzi jitahidi kumdhibiti jamaa kwa upendo na busara. Asante

mamiiii said...

anhaa anony wa 5.36 thanks ndio maana najifunza huku kwa dinah kila siku yani its my secret diary!!! hheheehe yanii hapa nafanay zoezi im keeping fit im feeling so much sexy acha tuuuh,my confidence has got back

TanzanianDream said...

They say "u got sing like u dont need the money,love like u never get hurt,u got dance like nobody is watching,it got come from the heart if u want it to work"

I guess Don williams hakuwa wrong sana ila bado naomba usiwe msahaulifu kama nyoka ambae hajui ametoa magamba mara ngapi....


Najaribu kusema ulishang'atwa na nyoka,Sisemi usisahau nasema uweke akili kumkichwa kuwa anything can happen n' life is not all guaranteed....

Ofkoz i wish alot on ur new luv n' pray that nothing changes that ur happy face remain the best thing u could offer the world.....

Otherwise Wishes,ila Bado naseam Becareful........

Chris said...

Mamii for how long are you in ur second r/ship...? Am afraid inaeza kuwa too early kuhitimisha uliyonena...

Wish u the best though....