Tuesday, 11 March 2008

Uume a.k.a Abdalah kichwa wazi a.k.a kibamia/Tango


Sina maelezo mengi kuhusu hisia inayopatikana na utofauti wake kwenye hii sehemu ya mwili wa mwanaume wakati wa kufanya mapenzi/ngono kwa vile mimi ni mwanake, hivyo maelezo yako ya kina ewe Kaka/Baba ya tatusaidia wengi hapa.

Kama mwanamke najua jinsi ya kucheza na sehemu hiyo ikiwa ndani ya uke, nje, wakati wa kutoa HJ (hand job 4 u hahahaha), kuikanda, kuiamsha na kuinyonya (BJ 4 u).

Nijuavyo mimi uume kama zilivyosehemu nyingine za mwili wa wako inapaswa kutunza vema, kusafishwa, kupakwa mafuta/lotion kama unavyopaka sehemu nyingine za mwili ili kuilainisha kwani ikiwa kavu inaweza kusababisha majeraha ukeni au maambukizo ikiwa ni pamoj ana NGOMA.....fikiria kitu kikavu kina "magwambala" au niseme ngozi ngumu/mipasuko kinaingizwa ukeni amabo ni kulaini kuliko ngozi ya mtoto!

Vilevile "Abdulah kichwa wazi" hufanyiwa mazoezi ili kuimarisha misuri, kukuza misuri (kwa wale wenye kujihisi kuwa mboo zao nyembamba ukifanya mazoezi yanayokwenda sambambana kujichua inasemekana kitu kinanenepa).

Pia mazoezi ua uume husaidia kuweza kujiuzia na kwenda mwendo mrefu zaidi kuliko ile "ukigusa umecheka", mazoezi hayo husaidia kumuongezea raha mpenzi wako ikiwa utachezeza uume wako wakati uko ndani hasa pale anapokuwa anamalizia kufika kileleni (kutokana na uzoefu).

Misuli ya uume ikizoea mazoezi basi unaweza kabisa kufanya mapenzi bila kutumia misuli ya sehemu nyingine za mwili wako kama vile matako na tumbo wakati wa kusukuma kiungo (mboo) ndani, mikono, mapaja na miguu ku-support uzito wako wakati upo juu ya "mamsap".

Nasubiri maelezo kutoka kwa Mandingo, Chris, Jii kyuu(GQ), Edo Ndaki, Si Kitururu na wewe mwanaume ambae hujawahi kuweka jinalako hapa.

Shukurani.

23 comments:

Anonymous said...

Dinah Big up dada yangu,
Nafurahi mada hii imefika kwani nimeisubiri sana. Mimi ni mmoja wa wale ambao kidogo tu nakuwa nimecheka. Sasa naomba sana kujua haya mazoezi ya misuli ya uume yanafanyikaje ili nile mazoezi ya kutosha nipate kumpa raha mahabuba wangu. Tafadhari nasubiri kwa hamu!
Tom.

Yassen said...

Utamu wa sehemu ya kichwa ni tofauti na ule wa kwenye shina na wa kwenye shina ni tofauti na ule wa pumbu na yote kwa yote utamu wa kumwaga ni tofauti kabisaa na niliyoyataja.Wenzangu wataendelea.

SAVIMBI said...

oooohhhhh mbona hapa ni patamu sana jamani duh!! haya bwana mimi napenda kusema kwamba utamu wa mboro uko kwenye ring yani namaanisha kwenye kichwa pale ile round ya kichwa basi ikiwa inaguswaguswa ni tamu kuliko maelezo ni tofauti sana na sehemu nyingine,

naomba nitoke nje ya mada kidogo ivi inakuwaje kwa wanaume wenye mboro ndogo yani unakuta mtu anakitu inchi 3 au 3.5 je hapo dada zangu huwa kweli mnapataga starehe ya kutosha??

ingawa wanasema ukubwa au udogo wa mboro sio tatizo katika kutombana lakini mimi nataka kusikia kutoka kwenu je siku ya kwanza unakutana na boyfriend wako unakuta yuko hivyo unajiskiaje
"KWAKO DINAH hii"
haikupi kauoga flan kwmba huyu jamaa hataweza mambo mbona kidude chake kidogo sana???

Na inakuwaje pia ukikutana na jamaa yako ndio wale wenzangu kitu inchi 6 au 7 unajisikiaje?

KWENU DADA ZANGU NATAKA KUSIKIA KUTOKA KWENU??

DINAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA,.........

SAVIMBI

Dinah said...

Savimbi kwa kawaida sisi wanawake tunaojiheshimu na wale ambao bado hatujapoteza ile "haiba" ya uanamke kwa kisingizio cha USAWA siku ya kwanza kumvulia mwanaume nguo huwa hatuangalii bali tunahisi kwa kushika alafu unampa nafasi ujue mambo yake kabla hujamuonyesha yako.


Inasemekana wanaume wenye "kiungo" kidogo mara nyingi ni wazuri kwenye kuchezeana mpaka mwanamke anaridhika kabisa kama sio kurukwa na akili kwa utamu alafu ndio jamaa anaingiza, hivyo wewe mwanamke huwezi kujua kama ni ndogo au kubwa unless una uke mpana.


Vilevile inaaminika kuwa wenye "kibamia" humudu kucheza kwa muda mrefu na wanambinu nyingi (hawakupi nafasi ya kugundua nanihii zao) na vilevile hawana haraka ya kuingia kwa vile damu ikijaa kule (uume kusimama) hauwi mzito kama wale wenye inchi 8-11.

Kwa bahati nzuri wanaume wengi wa kiafrika wamejaaliwa kubwa-kubwa na jamii inayoongoza kwa "vibamia" ni ile ya Kihindi(kwa mujibu wa wachunguzi).

Anonymous said...

Dinnah Mbona mimi hujanijibu? angalia swali langu pale juu kabisa. au kama kuna mchangiaji anaweza nisaidia.

Anonymous said...

kibamia ndio chenyewe ktk true love sababu ukikipa huwa muaminifu haataki kukupoteza kwa kuwa hatapata mwingine pia huwa na wivu sana hataki wenye mboo kubwa wamtombee inawauma sana sana sana anaweza kuua

Dinah said...

Tom natafuta muda then nitakujibu kama Topic kwa faida yako na wengine.

Endelea kuwepo!

SIMON KITURURU said...

Katika kuizungumzia sehemu hii nyeti, watu husahau kuwa sehemu kubwa ya jinsi udakavyo utamu ni saikolojia ya ubongo wako katika kuhusisha utamu na mchezo wa baba na mama.

Ndio, watu wataongelea sana maswala ya kichwa, shingo au hata kamfuko ka korosho kuwa ndio sehemu ziwafikishapo katika kicheko kirahisi, lakini mara nyingi utamu unatofautiana kutoka na state of mind.

Unaweza kukataa, lakini kama Zubeda humpendi akikugusa sehemu hiyo hiyo ambayo Zainabu umpendaye anakufurahisha, ladha ni tofauti.

Kucheka mapema kunaweza kusababishwa na ukame wako au saikolojia tu yako na unayefanya naye mchezo wa baba na mama.

Kuna mtu ukimuona tu anakuingiza tayari majaribuni, akikuchekea kama uko hadharani hutaki kusimama kutokana na mdindo, akikugusa ndio kabisa, akikuvulia nguo, mimichichemi.


Lakini...
kuna mwingine matamanio na mrindimo wa lugha yenu ya kutakana hata kama hamuongei haikukuletei hali ya kutaka nanii sana.Hukawii hata kutomstukia akiwa anataka mkacheze. Jamaa mwingine ndio anaweza kukustua kuwa; unacheki yule mtoto alivyokuwa anakulenga?

Kuhusu , kuwa mazoezi yanakuza bamia, kisayansi bado inapingwa na asilimia kubwa ya watafiti.Kwa ujumla asilimia ya wengi ukubwa alioufikia wa bamia wakati anabalehe ndio ambao ataendelea kuwa nao. Anaweza kuongeza ukubwa kwa kufanya opereshani , lakini asilimia kubwa ya waliofanya operesheni hizi matokeo yake wamejuta kwanini walijiingiza katika swala hili. Bado operesheni na ujanja wa kukuza karoti haujawa bomba sana. Si mshauri yeyote afanyee hii kitu ikiwa sio size zero na kama anamfikisha mpenziwe kwa matumizi ya saizi aliyonayo.

Kutoridhika na ujazo ni tatizo zaidi la kisaikolojia na sio lakufikishana . Ni sawa tu na matatizo ya kisaikolojia yamkumbaye cheusi dawa ajichubue awe cheupe dawa kwa kisingizio kuwa ndio atakuwa mtamu, samahani, mzuri.Kama ujazo mdogo na unapenda shughuli, ni rahisi kustukia jinsi ya kujifurahisha na kumfurahisha, kama unamjua vizuri kiasi kwamba unamtayarisha vizuri kupokea utamu wa starehe. Mtu aliyetayarishwa vizuri kupokea utamu mara nyingi si mdadisi wakujua sana kafikishwaje kileleni kama umemfikisha kimahiri.

Kumbuka kuwa damu inacheza kipengele kikubwa katika kusimamisha karoti . Ubongo unaamua kuwa damu iende kwenye karoti ukistukia mahitaji fulani nyeti.Ni rahisi kuzungumzia misuli na kusahau damu. Ni rahisi kusahau utamu wa kucheua unatafsiriwa ubongoni na si kwenye kichwa wala shingo ya bamia , makende, au hata......

Katika kutaka kuwa na uwezo wa kutawala ni masaa mangapi utahangaika naye bila kucheua, swala pia iko katika saikolojia yako uihusianishayo na kamchezo.Kama nia yako ni kumridhisha mtu na unafurahia jinsi anavyofurahia matumizi ya karoti yako, ni rahisi kujikuta unamasta kutocheua mapema kutokana na hali ya ubongo wako itakapo kukufuraisha kwa jinsi unavyofurahi kuona ubingwa wako katika kumstarehesha mtu.
Ukiwa nia yako ni kujifurahisha kwa kupata yale magoli hataka yeye atatoka bilabila , basi utajikuta ni mgumu kujifunza au hata kujitawa kuwenda muda mrefu.
DUh!

Naacha basi!
Baadaye DI!

Anonymous said...

Binadamu kama tulivyo tuna tabia ya usiri, kiasi kwamba kama Mungu angeweka wazi siri zetu watu tungeshangaa, `kumbe yule wamo'.
Nimeanza hivyo kwa vile kama kila mmoja angechangia (mwanaume) jinsi gani anavyotaka tango yake ifanyike/ifanyiwe ungeshangaa. Hapa ni vizuri wanaume waeleze wao wanajisikiaje, na wanataka wafanyiweje, sio kumuachia dada yetu, kwani yeye amekuwa muwazi kuelezea sehemu zao bila usiri.
Kwa mchango wangu, abdala kichwa wazi amegawanyika katika sehemu kuu tatu. Ya kwanza ni kichwa chenyewe, hapa ndipo kwenye raha zote kama kilivyo kisimi kwa akina mama. Kwa wale wasiotahiriwa wanataabu kidogo,huko sitagusa.
Sehemu ya pili ni muhimili wenyewe, bila huo kichwa hakina maana. Hii ni sehemu toka kichwa cha zakari hadi shinani. Sehemu hii ikidinda inakuwa kama mchi, nayo sehemu hii imekumbatia sehemu nyingine nyeti ambayo ndio ya tatu.
Sehemu ya tatu ni mshipa wa kiume,mshipa huu umetokea kwenye sehemu ya juu hadi chini. Sehemu hii ndiyo inayosafirisha mbegu toka kwenye mapumbu hadi kuitoa nje.
Sehemu hii ndio moyo wa kiume, nayo inaraha zake. Wakati mbegu zinatoka sehemu hii unatamani ingebakia peke yake, kwani pakiguswa inavyotakiwa, huleta hisia maridadi.
Kwa tahadhari ninavyojua mimi, kichwa cha zakari ndipo sehemu utamu uliko, hasa pale mshipa unapopitia. Lakini pia ni sehemu inayoweza kuathirika kutokana na magonjwa ya zinaa na mengineyo. Sehemu hii na kwenye mshipa panatakiwa kutunzwa na kuheshemiwa.
Sasa jinsi gani ifanywe ili idinde au jinsi gani ya kuifanyia katika mambo ya kungonoana tumuachie mwalimu wetu aendelee. ENDELEA DADA YETU.

Anonymous said...

Haya mambo hayataki papara ,kuijua na kuithamini mboo yako na kuijua namna kuidhibiti mpaka mwenzio akafika kileleni .
Maelekezo yote yapo kwenye KAMASUTRA ,ukachukua elimu hii hakika mwenzio atafaidi na akiteleza akatangaza service anayoipata lazima ataibiwa tu.

mboo yatunzwa jamani si kuonekana na kila mtu .

SAVIMBI said...

DINAAAAAAAAAAA

sikiliza yani what i mean ni kwamba ndio mara ya kwanza siku hiyo mnataka kutombana sasa umeshapapasa jamaa ukajua kabisa kakitu ni mzee small sasa huwa inakuwaje na akiwa ni wale wa kuingiza na kuanza nje ndani inakuwaje kweli kunakuwaga na raha??

mimi nimeona washkaji kibao enzi zile za skuli wakati tuko bweni yani kamchizi kadogooooooooooooo
mpaka huruma sasa kwa uchunguzi wangu mimi ngoja nikudokeze kitu.....

wanaume wengi sana wenye mboro ndogo huwa hawajiamini na tatizo ni kwamba wana ile mentaliti kwamba ukiwa na mboro ndogo huwezi kumridhisha demu wako soo inawaumiza sana anyway nasubiri kwenu dada zangu,

SAVIMBI

ADIOS AMIGO

Dinah said...

Nafurahia mchango wenu wanaume Si maelezo yako yamefungua uelewa wangu kiaina, asante.

Anony @2:24:00 PM maelezo ya kina kutokana na uelewa wako ndio yanatakiwa hapa sio kuwaambia watu "waka-kamasure".

Wewe kama mwanaume changia kile unachokijua kutokana na uzoefu wako alafu ndio watu wakaongeze ujuzi kwenye KAMASUTURA.

Asanteni kwa ushirikiano....inatia moyo Kaka zangu!

Chris said...

Mimi ngoja kidogo niongelee on the size ya hizi dick zetu…. Kama Savimbi nae alivyo na mashaka9japo alitaka sana jua wanawake wanavyofeel).

Kwanza sisi wanaume we gotta accept the sizes we have, but if size is still a concern, then they can practice different techniques ktk kuboresha lovemaking skills. (Msiniulize am not an expert km Dinah in these shits)…

Not all men or women are created equal, but that doesn't mean you can't share intimate moments without enjoying yourself. Every experience can be fulfilling for both of you as long as you understand and accept your physical characteristics.

Kikubwa its how a dude can learn to control his penetration level and rhythm, kujua how to tease a woman. Most of the vagina's end nerves are located in its outer part, (kama ulivyoelezea Dinah in ur previous madaz), where any size can better target this highly erogenous zone and successful bring women to orgasm

Unajua sometimes wanaume huwa tunakua very insecured cuz of the sizes of our dicks. Ila believe it or not the insecurity is NOT in the size…..its in our heads. No matter HOW huge/big your dhakari is, or how small you are, you gotta love yourself/ jikubali kwanza. Kikubwa "its how we use our shafts to talk wen inside" .

If you feel lost inside the vagina there's a technique that might help you. Kuna mshikaji alinipaga testimony on how he normally do… "The best position is one in which her knees are together and her vagina is stretched from back to front, and not from side to side. Have her lie flat on the bed, or any horizontal surface, like a kitchen table for example, and tuck her legs up against her chest. This pushes her vaginal lips together, causing greater friction and pleasure”.

Cheers guys…

Anonymous said...

Safi sana kina kaka kwa maelezo yenu. Binafsi yananiongezea mbimu za kucheza na "A kichwa wazi" Ila mimi mwenzenu napenda kitu kikubwa ambacho kinajaa haswa ndani ya K sio "kiduchu" Mtu wangu ana mche. Yaani akiingia mpaka kupumua nashindwa, na raha ninayopata haina mfano.
ani hayo tu

Didiez said...

Hi D.
Hii tamu,ila nisamehe kwa kukurudisha nyuma.Kwenye somo lako la uke,niliuliza athari za maji ya moto sana au ya baridi sana katika kusafisha uke naona kimya hope utaliona hili swali this tyme.
Asante.
DIDI.

Anonymous said...

wanaume mko wapi mtuambie mkiwa kwenyemchezo mnataka mfanyiwe nini?????????

Anonymous said...

Dinah,

Waswahili wanasema "utamu wa peremendi (pipi) ni mate yako mwenyewe" naam nakubaliana nao sababu pipi hiyo hiyo (tofee au pipi kifuwa) ukiila wakati huna malaria huwa tamu, lakini ukiila wakati unaumwa basi huioni tamu. Naam tendo la ndoa nitendo linalohusisha hisia (sensation), hisia zote huanzishwa na milango 5 ya fahamu (macho, puwa, masikio, ulimi (uonjo) na ngozi (mguso). Uwezo wa fahamu unategemea ubongo (cerebrum) ubongo ndio unaojenga hisia na kuzitafsiri, kwa kuwa kila "action" ina "reaction" (sir Issac Newton), action ya hisia katika tendo la ndoa reaction yake ni orgasim (kucheuwa), sasa basi kuwahi sana au kuchelewa kiasi au kuchelewaa sana inategemea na hisia ilojengwa katika hilo tendo katika ubongo, kwa kuwa hisia inahusisha viungo vya fahamu na ubongo basi moja ya sababu kubwa ya kuwahi inategemea na degree ya hisia (every action has an equal and opposite reaction)kwa hiyo hisisa ikiwa kubwa basi reaction itakuwa kubwa so uta cheuwa mapema, na kama hisia ikichelewa au ikiwa ndogo basi utachelewa kucheuwa,hisia huweza kujengwa kwa mambo yafuatayo, kwanza ukame watendo lenyewe (biologically) mwili unakuwa umekosa hitaji lake muhimu kwa muda mrefu ni sawa na kukaa nanjaa muda mrefu, huhitaji appetizer iliuweze kula sababu tayari ubongo umeshatambuwa kama unanjaa. kuna kiwango cha sperm kinapofikiwa (kuhifadhiwa) katika epididymis (sehemu katika mapumbu)basi mwili wenyewe huamsha hisia ili kuziondoa (ndo mara unapata njozi wetdream, hivyo ukiwa naukame wa muda mrefu ni rahisi kufika kileleni mapema sana, pili mazingira ya panapofanyika tendo la ndowa, kama mazingira niya wasi wasi inaweza kupelekea tendo hili likafanyika kwa haraka sana sababu unau-force ubongo uanzishe hisia na kuzitafsiri kwa haraka ili umalize uondoke, au unaweza kuchelewa sababu uta concentrate kwenye kufikiria mazingira na hivyo utashindwa kujenga hisia, upo uwezekani hata uume kulala kabisa (sababu hakuna flow ya blood kwenye penis), tatu inategemea maandalizi ya wewe na mpenzi wako katika kuamsha hizo hisia, ndio lazima ubongo uushughulishe ili uweze kujenga hisia, hivyo basi kama unataka kuchelewa kufika kileleni vyema kuweza ku control ubongo wako, cheza na ubongo, kuna kitu kinaitwa conditioned reflex action, kama umejizoesha kuamka saa 10 usiku utaamka tu, hata siku ambayo hujapanga kuamka muda huo (ubongo umezoea hivyo!) Na kwa hali hiyo basi punyeto ni sababu moja inayopelekea mtu acheuwe mapema au achelewe kucheuwa. Anaweza kuwahi kucheuwa sababu mara nyingi mpiga punyeto hupiga katika mazingira ya kujiridhisha mara moja (haraka haraka) hivyo ubongo hukariri hivyo nakupelekea mpiga nyeto huyu kukojowa mapema sana hata awapo kwenye tendo la ndoa! Na huweza hata kujenga tabia ya kukojowa ka goli kamoja tu, sababu mara nyingi nyeto huwa ni kagoli kamoja tu (conditoned reflex action)Na anaweza akachelewa kukojowa akiwa kwenye mapenzi sababu uume unakuwa ushajenga sugu (ngozi) imezowea kusuguliwa kwa mkono, uke ndani ni laini sana ( nisawa na mtu alozoea kusugua unyayo wake kwenye jiwe, kisha ukamwambia ajisugulie kwenye unyayo wa mtoto mchanga!) Hivyo ile "threshold" - minimum stimuli (hisia) ianyoweza kutafsiriwa katika ubongo haifikiwi, kwa hiyo hakuna action and so no reaction at all!

Otherwise mazoezi mishipa ya uume yanasaidia kufanya uume usimame imara muda mrefu na kuwezesha sperm kutoka kwa presha kubwa amabayo pia huongeza raha wakati wa kukojowa (ejaculate). Mazoezi ya mishipa uume hufanywa wakati wa kujisuaki asubuhi kabla ya kula kitu(kupiga msuaki)peleka msuaki wako katika ulimi sugua ulimi kisha shusha msuaki kwenda kwenye kolomelo (usifike ndani sana)utahisi kama unataka kutapika, na misuli ya tumbo na ile ya chini ya kitovu kwenda kwenye uume inakaza, jizoeshe kufanya hivyo basi ni mazoezi tosha na utaona faida yake (pia husaidia kujijuwa kama unaumwa au la kama unaumwa siku hiyo lazima utahisi kutapika uchungu).

Mwisho kabisa napenda kuwaambia wanaume wenzangu, ustadi wa kutangwa si ukubwa wa mtwangio bali ni ustadi wa mtwangaji, lakini ukiwa mjuzi wa kutwanga na ukapata mtwangio mzuri (mrefu na mnene) mambo huwa mswano au vipi?

Na wanawake napenda kuwaambia kama hujitumi mchezoni utakufa na utamu wako kama muwa, utamu ya pipi mate yako mwenyewe...! kama huna ujuzi utaupataje utamu? kama huna ufundi utakwishaje hamu?(nenda tanga ukepewe semina kama dinah hakutoshelezi)
BUT...
wanasema "hata uwe bingwa wa mikuno usitegemee tuwi kwa mbuzi isiyo na meno..." So tafuta mbuzi yenye meno then weka ujuzi utapata raha ya dunia utajuwa faida ya kuumbwa mwanamke.

Ahsante dinah pole kwa majukumu

Bablii

Anonymous said...

Kweli kabisa dada yetu Dinah, kinachotakiwa hapa ni uzoefu zaidi, ni nini ulichokigundua katika a to z ya mahusiano. Sio lazima kufanya sana kwa watu wengi, ila hicho kidogo unachojua kinafaa,kama kinamridhisha mwenza wako, kwani kama nikusoma tumesoma mengi hata zaidi ya hayo yaliyoelezewa kwenye mtandao huo wa KAMASUTURA. Lakini je maelezo bila matendo yanafaa!
Kwahiyo wachangiaji wajarbu zaidi kuelezea nini walichokipata/wanavyojua na kwa uzoefu wao wamegundua nini. Nyanja hii ni ya uzoeufu zaidi. Ukiangalia wazee wetu walivyokuwa wakiishi utagundua ni kwa nini tunahitaji uzoefu zaidi ni sio `shule'
Ndio vipo vipengele vya shule, kusoma na kudadisi kwa mfano kupitia kwenye mitandao nakadhalika, lakini kama walivyosema wahenga `kufanya ndiko kujua, na kujua hujenga uzoefu...'
Upo uzaifu wa kibinadamu ambao wachache wetu tunao, wakutotaka kujibidisha tofauti na tulivyozoea. Mfano wapo watu ambao wamejenga tabia kuwa kufanya mapenzi ni `chali kwa wali', mke kalala bwana kalalia juu. Wapo watu wanafikiri tendo hilo ni kwa ajili ya kupatia watoto tu, wapo watu wanahisia tofauti tofauti. Huo ni uzoefu duni, tunahitaji uzoefu `wenye manufaa'
Kipo kisa kimoja cha kweli mke alimkimbia bwanae, siku ya kwanza tu ya harusi yao, kisa etu bwana ana `zinga la mdude'. Kesi ilipofika kwa wazee , walitumia uzoefu wao na mambo yakasawazishwa, na leo hii yule mama anashukuru sana, kwani alikuwa hajui, ingawaje aliwahi kusimuliwa nini cha kufanya.
Alikuwa hajui kuwa ukubwa wa barabara unawezwa ukashindwa na udogo wa reli!
Wapo wanaume wanadiriki hata kutumia madawa, ili kuongeza ukubwa wa zakari zao, mimi hii kwangu naiona sio sawa. Kwani hata ukiwa na `zinga la dude' na hujui jinsi gani ya kumridhisha mwenza hatua kwa hatua bado hujafanya kitu.
Wanaume hisia zetu zipo karibu sana, hasa katika bao la kwanza, kwasababu `kipengele cha utamu' kichwa cha zakari, kipo nje, tofauti na kisimi. Sasa basi hapo panahitaji mazoezi ya mara kwa mara, jinsi gani ya `kudindisha na kudedisha. Hii itasaidia kukufanya wewe uendane sawa na mshikaji wako. Sasa hapa hata kama umesoma kamasutra na hujafanya mazoezi mwenyewe utaishia kumwaga mapema mara kwa mara.
Ngoja niishie hapa niendelee na kazi za watu.
Ahsanta

EDWIN NDAKI said...

Dinah na wadau wazima.

Ama hakika nimefurahi sana michongo yenu hasa..my jirani...mzee wa Duh!

Nipo fasta fasta nawahi maboksi.Ila mchango wangu tukiwa tunamwagiana taarifa za mahusiano kuhusu matumizi ya viongo katika huu mchezo.

Kikubwa mbali na matumizi mbalimbali,mwito wangu.

Unaweza kuwa na Tango,bamia,pilipili kichaa,kakidole haijalishi UREFU,UNENE,wembamba,ufupi jambo kubwa na la msingi "KUSWAFI" hicho kiungo.

Kuna baadhi nakumbuka tukiwa huko kwenye jumuiya mfano;vyuoni,shule,camp etc Abdalah kichwa wazi mara nyingi atendewi haki ya kusafishwa ipasavyo.

Wengine wanapenda sana kuacha "FENSI" hadi inakuwa ndefu sana.Nawashauri ni vema kuifanyia usafi ili kusaidia ushirikiano na jirani.

Usafi una nafasi kubwa sana.Maana ukiacha fensi ikiwa ndefu pembeni ya karoti inaweza kupelekea,mwenzawako akiwa anakula tango baadhi ya nyewele kubakia kwenye MENO yake nakumsababishia ahitaji toothpeak kuongolea hivyo vinyweleo mdomoni kwake.aa aaaa

anakuwa kama kala maembe sindano.


kwa leo hi yao...USAFI MUHIMU

Dinah said...

Dah wachangiaji kaka zangu mnakunywa soda gani? Mmenifurahisha sana Bablii nashukuru kwa maelezo yako.

Didi maji ya baridi husababisha kama ukavu hivi kwenye uke nakushindw akuingiza kidole sawia nakuondoa utoko, maji ya joto ndio bomba kwani yanalainisha sehemu hiyo na kufanya ujiswafi kwa nafasi. Maji ya moto sana husababisha nyama za nje ya uke kupanuka na pia weusi unaweza kuongezeka sehemu hiyo kutokanana kuungua.

Asante na pole sikuona swali lako.

Anonymous said...

"ITS NOT THE SIZE OF THE BOAT, BUT ITS THE MOTION OF THE OCEAN"

ASANTE SANA M2 WANGU DiNaH,
We Ni MwANaMkE wA sHOKaa!!

NIKIJA KWENYE MAADA!!
SIZE YA MBOO HAIJALISHI UTUMIAJI WAKE! UNAWEZA KUWA NAYO KUBWA KAMA MANDINGO NA BADO UKASHINDWA NA KIJANA MDOGO KAMA JUSTIN SLAYER!!
SASA CHA MUHIMU NI KUJUA JINSI YA KUITUMIA!!

DINAH, UTAMU WA MWANAUME NI KWENYE KICHWA CHA MBOO, PALE HUJAA HISIA NA HUWA NA SENSE AMBAZO HUTUMIA NGOZI KUPELEKA TAARIFA KWENYE UBONGO!
NA NGOZI ILIYOPO HUWA LAINI SANA TOFAUTI NA PEMBENI NA KWENYE MAPUMBU!
MWANAUME HUWEZA KU CAM IKIWA DEMU ATAJUA KUCHEZEA KICHwA FRESH KWA ULIMI WAKE+MATE!
PIA MAPENZI NI HISIA! KAMA HUAMINI BASI SUBILI PALE UNAPOTAKA KUKOJOA THEN HAMISHA HISIA! KITU KINAWEZA KUSHUKA NA KUSINZIA KAMA KIMEWEKWA COLD WATER!
DINAH WANGU EEHHHH.....
NI HAYO TU!!!

MANDINGO IN DA HOUSE!!
WE TUPE VITU HATERZ DAWA YAO ITAKUJA!!

Anonymous said...

Asante sana Dinah kwa majibu na usijali kwani i can only imagine how many questions /comments you have to go thru per day.Endele kutujuza mamaa.
DIDI.

Anonymous said...

Dada Dina,
Hongera sana kwa kuanzisha Blog hii ambayo imekuwa darasa lenye umuhimu mkubwa na wa pekee sana.
Babli na wanaume wenzangu na hata wanawake. Mimi napenda kuwasahuri kuwa kama kuna mtu anapiga punyeto basi aache kwani ina madhara sana(nazungumzia zaidi kwa wanaume kwa sababu ndio nina uzoefu nako).
Kama ambavyo babli umesema ngozi ya mkononi ambako ndio tunatumia kupiga punyeto sio laini kama ngozi ya ndani ya kuma, hivyo basi kisaikolojia ukizowea,utakapokuwa unaingiza mboo ndani ya kuma utaona hauridhiki kama ambavyo utapiga nyeto, ndio maana kuna wanaume wengi ambao wanapiga nyeto baada ya kutoka kuingiza mboo katika(kutomba)
Hii pia ni kati ya sababu kubwa zinazowafanya wanaume wazungu mboo zao zisiwe imara kama za weusi hasa wanaohishi Afrika(sababu nyingine ni kujiridhisha kwa kuangalia ponography,hali ya baridi lakini sio kwa wanaoishi Hispania na Ureno.Mwisho nitaeleza kwa ufanye nini ili uume wako uwe imara, yaani mazoezi ya uume)
Ndoa nyingi sana za wazungu zina shida ya tendo la ndoa kwa kiwango cha hali ya juu sana, kama una nafasi angalia www.askmen.com na tafuta mada inayoitwa sexless marriage,utaona maoni ya watu zaidi ya 500 ambao wako katika ndoa lakini hawangonoki kwa vipindi tofauti tofauti wengine hadi miaka 18!
Kama wewe ni mtu wa MUNGU utajua kabisa kuwa utakapokuwa unapiga nyeto ukimaliza unahisi guilty ikimaanisha kuwa MUNGU hapendi, kwa sababu njia ye pekee ya kutoa shahawa ni kuingina katika kuma au kutoa wakati katika ndoto.
Kwa wanawake mimi sina uzoefu sana lakini,napenda kuwashauri waachane na kujichua.
Uzoefu wangu ni kuwa mimi nilianza kupiga nyeto siku nyingi sana kabla hata sijatahiriwa(kwa sababu nilichelewa kutahiriwa, hadi nilipofikisha miaka 20+). Wakati nikimaliza kupiga nyeto shahawa ikibaki ndani ya govi ilikuwa inakwangua, yaani inafanya kama lengelenge ndani ya govi halafu inauma.
Baada ya kutahiriwa niliendelea kupiga nyeto,hadi kuna kipindi nilimtomba dada mmoja baada ya kukojoa dada aliomba nimuonyeshe mboo nilitumia kondomu nilipotoa shahawa ilikuwa imechanganyika na damu,sikuendelea tena. Nikaenda hospitali nikakutwa na Malaria, lakini hata baada ya kupona malaria,nikaendelea kupiga nyeto na damu ikawa inatoka imechanganyika na damu vile vile, nikaenda hospitali nyingine Dr. akaniambia vitu vingine kabisa, nikaona ananizingua. Nilipima UKIMWI sina, baadae nikaacha kupiga punyeto basi niko safi hadi sasa.
Pia ukizowea kupiga punyeto uume wako unakuwa mlegevu(mwanzo wa uhanithi,impotance.Kwa sababu kama nilivyosema hapo mwanza kwamba ngozi ya mkono wako sio laini kama ngozi ya ndani ya kuma.
Mazoezi ya mboo na pumbu.Chukua maji ya uvuguvugu yasiwe ya moto kiasi cha kukuunguza,yaweke kwenye bakuli safi na chukua kitaulo kiaodgo kisafi, chovya kitaulo katika maji halafu unakanda kanda pumbu na uume.
Umuhimu wa zoezi hili ni kufanya mishipa ya mboo na pumbu kuwa active(imara).Kuna kipindi nilikuwa na maelezo mazuri zaidi ya jinsi ya kufanya mazoezi hayo lakini nikadelete, nimeyaomba tena kama nikipata mtu akinitumia e-mail ninaweza kumtumia.
Angalizo:kwa watu wanaokaa sehemu za joto si vizuri kufanya zoezi hili wakati joto hasa mchana.Wakati wa baridi ndio nzuri sana. Inakubidi uwe makini kwa sababu usipokuwa makini utaishia kupiga punyeto, kama imetokea hivyo basi hairisha zoezi hadi wakati mwingine. Kwa wale waliooa ni vizuri wakawafahamisha wake zao, ili isije wanawaona wanafanya bila wao kujua halafu matokeo yake inakuwa vurugu katika ndoa.
Mimi ninafanya zoezi hili na nimeona tofauti jinsi uume wangu ulivyo na uimara, nikisema uimara namaanisha active, ni kama mtu ambaye umekuwa haufanyi mazoezi yoyte halafu ukaanza kufanya mazoezi labda ya kukimbia au mpira,n.k. ukishaanza utaona tofauti ya mwili tofauti na ilivyokuwa awali, unajisikia vizuri.
Hadi wakati mwingine,
Majaliwa,
tmajaliwa@yahoo.com