Tuesday, 11 March 2008

Minguu na kungonoana


Najua uko a bit bored hahaha usijali leo ni mwisho wa maelezo kuhusu mpangilio wa vitu/viungo ambavyo huwa tunavitumia kila tunapofanya mapenzi nikimaanisha, nywele, macho, masikio, pua, midomo, matiti, tumbo, sehemu nyeti na leo namalizia na miguu.

Tunatembea tofauti kutokana na jinsia zetu, hii ni kutokana na sisi wanawake kuwa na "nyonga" pana kuliko wanaume ambayo hutusaidia wakati wa kujifungua.

Utumiaji wako wa miguu unaweza kutuma ujumbe tofauti wakati unatembea kama vile umeshoka, unaumbwa, mvivu, unajisikia "sexy" au unajiamini na bila kusahau ukumtaka mtu au kutomtaka.

Miguu ya kukanyagia(feet) hutumiwa kabla (kama sehemu ya romance/kuchezeana/nyegeshana) na wakati wa kufanya mapenzi.

Unapofanya mapenzi mwanmke ukiwa chini unakunja miguu yako nakuipumzisha makalioni mwa mpenzi wako aliye juu aykiendelea na "shughuli" na kisha jaribu kupiga au kukanda makalio ya mumeo/mpenzi wako hali inatakayo muongezea raha (inategemea na mwanaume), pia unaweza kuitumia miguu hiyo kumkanda sehemu za miguu na mapaja wakati mnatiana, hivyo ni muhimu kuitunza miguu yako ili iwe katika hali nzuri, laini na yenye afya.

Wanawake unavutia zaidi tukitembea juu ya viatu vyenye visigino virefu...unajua ni kwanini?

Kwa sababu unapovaa kiatu kirefu (kisigino kirefu) utahitaji ku-balance uzito wa mwili wako kwa kukaza misuli ya miguu hasa sehemu ya chini(feet) hali itakayo sukuma nguvu kwenye misuli ya miguu (legs) hali itakayofanya miguu yako iwe na umbile fulani hivi ambalo litakwenda sambamba na kunyoosha mgongo wako-kifua kwenda mbele-mabega nyuma kiasi, kiuno na makalio kubinuka kwa nyuma kiaina alafu "speed" ya kutembea itaongezeka kitu ambacho kitahashiria kujiamini kwakoo hali ambayo ndio u "sexy" yenyewe.

Sote tunatambua jinsi ya kutunza miguu yetu sio? Kama hujui niandikie nikupe tips.

Miguu (feet na legs) hufanyiwa mazoezi ambayo hukusaidia kui-shape up miguu yako na kuifanya iwe na nguvu hali kadhalika kuwa- flexible. Mazoezi haya hayaongezi ukubwa wa miguu (get rid of vingoko) bali inajaza misuli itakayo fanya miguu yako ipendeze na kuvutia...sizungumzia "ving'isi" a.k.a vigimbi.

Asante kwa ushirikiano wako.

10 comments:

Anonymous said...

Miguu, miguu, kweli wapo wanaume wanazimia sana kwa miguu. Maumbile ya miguu ni kivutio kizuri, na huvuta hisia kwa wanaume. Nilishangaa kuoma maelezo fulani kuwa wapo watu wanafanya mapenzi kwa kutumia miguu. Je kweli inawezekana?

Dinah said...

MMM nilikwisha zungumzia swala la Tigo.Jaribu kupitia makala za nyuma utakutana na maelzo yakutosha kabisa kuhusiana na hilo. Unaweza uka-google "ngono kusiko husika" au "nyono kinyume namaumbile" na utanipata.

Anonymous said...

Jamani kwa ushauri wangu wa bure, tigo sio mchezo mwema! Tigo ina madhara lukuki ukilinganisha na faida zake. Kwanini tuendee kinyume na maumbile eti kwasababu `wadhungu, au Wamarekani wanafanya hivyo'.
Tatizo mojawapo nililolisikia kwa wanawake, ni wakati wa kujifungua. Inatakiwa kipindi hicho kumsukuma mtoto, kwa kuhakikisha kuwa pumzi yote inaelekea kule aliko mtoto. Lakini kwa vile umezoea tigo, huko nyuma misuli yake imelegea. Sasa inakuwa shida. Waulize wakunga watakuelezea habari yake. Inabidi wazibe kwa matambara,kitu kama hicho, au nimekosea dada Dinnah?
Kiuzoefu kwa mwanaume ukizoea tigo, utakuwa hujisikii sana raha ukifanya sehemu ya kawaida. Kwasababu kwenye tigo kumebana sana, kwahiyo mjamaa wako unazoea `high-tight-friction' Wakati kwenye njia ya kawaida kumekadiriwa na yule mjuzi wa wajuzi.
Madhara mengine ni `magonjwa'. Tigo inaambukiza haraka `ukimwi' hiyo inajulikana wazi, lakini hata hivyo huoni sehemu hiyo ndio inayotoa uchafu toka tumboni. Kwahiyo hata ukijisafi vipi ujue ile ni njia ya haja kubwa, huenda kukawa na viuchafu na majimaji yanayotoka ndani( au pia uchafu huo ambao huenda ukawa na vijidudu unaweza ukaja kwa kupitia kwenye `ushuzi') Una uhakika gani kuwa mtakuwa kwenye shughuli hiyo wakati wote bila kupatwa na dharura kama hiyo?
Ndugu zanguni, sio kila jambo lazima ulifanye. Starehe ya ngono ina sehemu yake na ina raha yake,kwa mahali pake, kwanini tukimbilie huko tigoni? Huko kuna shughuli yake pevu ya-kutoa uchafu wa kile ulichoshindilia mchana kutwa, au usiki kucha.
Yupo jamaa nilipomwambia tigo inashuguli zake za kutoa kinyesi, alidakia kuwa hata sehemu zetu za mbele hutoa uchafu pia! Hii ni hoja duni, ambayo haina mantiki.
Hoja muhimu ni kuwa faida za tigo ni ndogo ukilinganisha na madhara yake, kwahiyo sio jambo jema kukimbilia huko
Ahsante
Mimi Emu-three

Anonymous said...

Somo hili la miguu linatufaa sie wanawake wa kichagga maana lo kwa kweli miguu yetu!

Anonymous said...

We mpenda matako makubwa hiyo topic ya tigo hapa sio mahali pake,tunataka tudiscuss kuhusu miguu.Mbona kuna makala nyingi huko nyuma zinaelezea madhara ya kufirana,na wewe nina uhakika unapenda kufira na ndo maana unajiita mpenda matako makubwa.
Huna lolote au ndo unaitangaza blog yako.Nyoooooo

Dinah said...

Mpenda matako makubwa na sikitika kuto-publish post zako kwa vile zimeegemea kwenye upotoshaji wa jamii ktk swala la ngono kitu ambacho sio lengo la Dinahicious.


Dinahicious inazungumzia ngono safi, asilia na sio ile ya ku"fanticise" kama kufanywa mande, kufanywa kinyume na maumbile, 3some, one night stands, n.k.

Ninachojaribu kufanya hapa ni kujaribu kuweka mambo mazuri kuhusu ngono ili watu (hasa wanawake) wafurahi kama ninavyofurahia mimi sio hivyo tu bali pia kusaidia kuboresha mahusiani yao ya kimapenzi, kuujua mwili kama mwanamke n.k..

Dinahicious sio Porn blog na haijihusishi na vid za vitendo vichafu vya ngono bali vile visafi na vilivyo egemea kwenye uhusiano/ndoa na sio vinginevyo.

Asante kwa uelewa wako.

Anonymous said...

Dinah mambo??
hii topic imegusa sana!! sasa kuna swali kidogo hapa!!
je ni kweli kabisa kwamba viatu virefu humfanya mwanamke kutochoka haraka wakati wa kungonoana??
kwa sababu kuna makala moja nimeisoma!!
hii inatokana na kukaza kwa misuli ambayo iko kwenye mapaja!! na humfanya mwanamke kusikia raha na mwepesi zaidi!!!

ni hayo tu dinah wangu!!

Mandingo!!

MPENDA MATAKO MAKUBWA said...

Anonymous wa 1:15:00 PM hapo juu. Hakuna neno mkuu na usinijie juu. Nimeshaisoma makala ya dada Dinah kuhusu jambo hilo na nimeelewa.

Dada Dinah, nimeelewa pia kwa kuto-publish post zangu. Hakuna neno kabisa na ni sawa kuwa na mitazamo tofauti kwani katika utofauti wetu ndimo pia mna umoja wetu. Siku za mbele nitaendelea kuchangia comments ambazo ni constructive na zinazoheshimu matakwa ya blogu yako. Ninaipenda blogu yako!

Anonymous said...

Jamani hili darasa linanoga sana. Nilikuwa sijagundua kama miguu inalipa. Mara nyingi huwa nafanya kama kwa dharura/accidentally lakini jamani mme wangu anafurahia sana. Nilikuwa sijajua. Jamani try it ni nzuri na inamfanya mme wako afurahie tendo, japo inaweza isiwe kwa wote.

Dinah said...

Anony @1:30:00 AM sidhani kama kunauhusiano wa vitu virefu na wepesi wa kufanya mapenzi, wepesi wako ktk kufanya mapenzi ni wepesi wa mifupa/mwili wako, ufanyaji wa mazoezi wa mara kwa mara au ufanyaji wa mapenzi ambao umeegemea mikao ya kimazoezi.

Asante kwa ushirikiano wako.