Kama ilivyokuwa kwa baadhi ya wanawake kuwasema na kuwacheka wanaume wenye “vibamia” hali kadhalika na wao huwa wanacheka na kusema wanawake wenye “K” kubwa/pana wakidai kuwa hawafurahii kwa vile haibani na kupoteza ule msuguano ambao ndio chanzo cha raha na hatimae utamu.
Natambua kuwa ni jambo linalotia aibu kama ilivyokua kwenye suala zima la ngono lakini hili ni tatizo ambalo linasumbua wanawake wengi na sio tu Bongo bali Duniani kwa ujumla. Hili tatizo mara nyingi hutokea au kujitokeza mara baada ya kuzaa watoto 2 na kuendele.
Hakuna sababu ya wewe kuona aibu ikiwa unatatizo hili hasa pale unapokwenda kumuona daktari wako kwani wanatambua kabisa nini huwa kinatokea baada ya kuzaa.
Ukiwa mtu wa kufanya mazoezi au ulikuwa mtu kwa kufanya mazoezi kabla hujapata mtoto huwa rahisi kurudisha u-tight wa misuli ya uke wako kwa kufanya mazoezi ya kukaza misuli ya tumbo pamoja na yale maalimu kabisa yanayoitwa Kegel.
Zoezi hili limepewa jina la Kegel baada ya Dr.Arnold Kegel ambae ni “Obstetrician” alietambulisha zoezi hili kama sehemu ya kuwasaidia akina mama wajawazito kuboresha na kukaza misuli ya uke ambao huwasababishia kuvunjwa kwa mkono pale wanapocheka, kohoa, piga chafya n.k. mara baada ya kujifungua.
Baada ya miaka michache imegundulika kuwa zoezi hilo lijulikanalo kama Kegel husaidia kutudisha “mnato” wa uke pia na wengi hufanikiwa kurudisha ule “u-tight” wa uke hali inayowafanya wajiamini wanapofanya mapenzi na vilevile kuwafanya wapenzi wao na wao wenyewe kufurahia kama ilivyokuwa awali (kabla ya kuzaa).
Misuli inayofanyiwa zoezi hili ni ile iliyozunguuka uke, njia ya mkojo na sehemu ya aja kubwa(mkundu).
Jinsi ya kufanya zoezi hili…..
Endelea sehemu inayofuata..
Tuesday, 18 March 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



9 Wamechangia Mada, bonyeza hapa kwa mchango wako.:
Ahhhaaaa we Dinah wewe una mambo sana!
mchezo wako wa kubeep huachi??lol
au unaenda kufanya mazoezi na wewe pia??
umezungumzia kuhusu wanawake waliozaa watoto wawili na kuendelea...
je kuhusu wale waliozaliwa na kuwa na K kubwa inakuwaje?
je K kubwa inakuwa na majimaji mengi pia?
ni hayo tu!! rudi mapema plz!
Mandingo hapa!
Dinah pole kwa kazi na majukumu mengine ya kifamilia!
Naomba ukipata nafasi unileweshe
1. Jee kuna uhuisiano wa orgasim (kufika kilele kwa) mwanamke na squirting (kwa kiwahili sijui inaitwaje)?
2 Jee kila mwanamke anaweza ku-squirt?
Ahsante sana!
Ku-squirt hutokea pale mwanamke anapofika kileleni hivyo nadhani kufika kileleni ila wao wanatoa maji mengi kama wanakojoa vile.
Si kila mwanamke ameumbwa hivyo, wanawake tuko tofauti sana kuna wengine hata kusikia raha ya tendo hawasikii acha kufika kileleni.
Nasikia baadhi ya wadada wa ndnai ya Bongo huwa wanamwaga kama bomba vile na hiyo haina uhusiano na utiaji mzuri wa mwanaume bali ni kufika kwake huyo mwanamke.
Hivyo ukifanya mapenzi na mwanamke mwingine usipitilize kiwango chako cha ufanyaji kwa kutarajia kuwa atakojoa kama bomba.
Kila la kheri.
Ndunguru huenda ni fani yako lakini kumbuka kuwa mimi ni mwanamke na ninaifanya hiyo "fani" kwa vitendo wewe unaijua kuisoma vitabuni.
Ni sawa sawa na Doc yeye anajua tatizo/ungonjwa via vitabu ila mgonjwa can explain the ugonjwa vizuri zaidi na kufungua uelewa wa Doc kwa vile yeye (mgonjwa) ndie anaeugua (ana-experience).
Next time u wanna me to publish your comment please try to be polite, dont attack me or threatening me bali weka maelezo yako kama Prof na sio the way u did....Asante.
Mandingo si unajua tena majukumu.
Hakuna mwanamke anazaliwa na misuli ya uke mipana au K kubwa kwamba hata akifanya mapenzi kwa mara ya kwanza uume haugusi kuta bali mwisho wa uke, unless unalinganisha ya mtu mzima na mtoto hapo hehehehe DONT!
Misuli ya uke inatanuka baada ya kuzaa zaidi ya mtoto mmoja. Pia misuli hiyo hutanuka ikiwa binti/mwanamke alianza ngono kabla hajakua vema(hajakomaa) by the time anakomaa misuli ya Uke inabaki kama ilivyo mipana, pia matumizi ya Dildos hasa zile za kuetetema.
By the way mwanamke hawezi kukwambia kuwa alianza ngono akiwa na umri mdogo kwani ni NOMA hivyo wengi hujifanya innocent kwa nje au ktk mazungumzo ukimuondoa nguo ndio unajua jamaa waliwahi long time ago b4 hata hajavinja ungo.
Asante mandingo.
Mandingo (sikuona swali la pili sijui nazeeka).
Ndio K kubwa huwa na maji mengi, well ni maji ya kawaida sema kutokana na upana wa K, mwanamke anaponyegeka ni wazi ule ute asilia hutoka kwa wingi kulingana na ukubwa wa "chombo" chenyewe sio, ili kuuandaa uke (chombo) kusukuma mbegu ili zikawe mtoto na vilevile kurahisisha uume kuingia kwa urahisi bila kumsababisha maumivu.
Kuwa na uke mkubwa/mpana haina maana unaingilika kiurahisi, mwanamke anatakiwa ku-relax na kunyegeka vya kutosha ili uingize vema bila kumsababishia maumivu/michubuko.
Asante.
Asante Dinah nimekupata sana m2 wangu!
Umenichekesha sana unaposema unazeeka! lol..
najua ni mambo mengi tu ya kimajukumu, kwa kweli nimefurahi sana na majibu yako ambayo yameniongezea upeo wangu kuelewa yanayofichwa( yaliyojificha)
this is my best blog that i've been lookin for! its helps me a lot to know women stuffs kinagaubaga.
nakufagilia kwa kituruki.."elinize saglik" yani mikono yako ibarikiwe,
huu msemo huambiwa mpishi wa chakula, na pia mtu anapofanya vyema kwenye kazi za mikono!!
ni hayo tu!!
mandingo!
hi dinah! Eti kuna uhusiano wowote kati ua K au penis na viungo vya mwili kama kisigino na pua? kwa mfano huwa naskia wanawake wenye visigino vipana au vikubwa wana K kubwa! Au wanaume wenye pua kubwa wana penis kubwa (libamia).
Say something hapo!
Hahaha Jimmy sio libamia ni litango, hakuna bamia kubwa is there?
Sina uhakika na hilo,unaonaje tuanze kuchunguza ili tupate uhakika eti? Hahahaha!
Natambua kuwa mwanaume mwenye mguu mkubwa kwamba anavaa kiatu namba nane mpaka kumi na tatu(size ya mwisho ktk maduka ya Afrika na Ulaya, US nadhani wanaenda zaidi ya hapo) ndio huwa na uume mkubwa.
Post a Comment