Thursday, 21 February 2008

Madawa ya kuzuia mimba can Kill u!

"Recently this past week, my cousin Nicole Dishuk (age 31...newly graduated student with a doctoral degree about to start her new career as a Doctor...) was flown into a nearby hospital, because she passed out.

They found a blood clot in her neck, and immediately took her by helicopter to the ER to operate. By the time they removed the right half of her skull to relieve the pressure on her brain; the clot had spread to her brain causing severe damage.

Since last Wednesday night, she was battling... they induced her into a coma to stop the blood flow, they operated 3 times... Finally, they said there was nothing left that they could do... they found multiple clots in the left side of her brain... the swelling wouldn't stop, and she was on life support...

She died at 4:30 yesterday. She leaves behind a husband, a 2yr old Brandon and a 4yr old Justin... The CAUSE of DEATH - they found was a birth control she was taking that allows you to only have your period 3 times a year...

They said it interrupts life's menstrual cycle, and although it is FDA approved... shouldn't be - So to the women in my address book - I ask you to boycott this product & deal with your period once a month - so you can live the rest of the months that your life has in store for you.

The name of this new birth control pill is LYBREL. If you go to Lybrel.com http://lybrel.com/, you will find at least 26 pages of information regarding this drug.

The second birth control pill is, SEASONIQUE. If you go to the website of, Seasonique.com http://seasonique.com/, you will find 43 pages of information regarding this drug.

The warnings and side effects regarding both pills are horrible. Please, please forward this information to as many daughters AND sons, co-workers, friends and relatives. Several lives have already been changed. "


Kama ungependa tafasili ya ujumbe huu muhimu comment na nitafanya hivyo kwa ajili yako.

Sally nashukuru kwa ku-share ujumbe huu...
Stay blessed!

6 comments:

Dinah said...

Nilisha wahi kulalamika aukusema kuwa matumizi ya madawa yakuzuia mimba huwa na madhara makubwa kwa mwanamke na sio tu kiafya bali kimuonekano (anabadilika kiumbile kabisa na kuwa mtu tofauti).

Pia niliwahi kuwauliza wanawake wanaotumia haya madawa kuwa wamewahi kujiuliza damu yao ya mwezi (hedhi) huwa inapotelea au kutunzwa wapi?

Hakuna amlietoka na jibu la maana hivyo ilionyesha walikuwa hawajui kuwa ni muhimu kuw ana damu hiyo kila mwezi na isipotoka inakuwa wapi ndani ya mwili.

Inasemekana pamoja na madawa hayo kuingilia mpangilio wa mwili wako pia husababisha damu hiyo kujikusanya na kusababisha Saratani za aina tofauti kwa mwanamke ikiwa ni pamoja na ile matiti,kizazi bila kusahau kuzaa watotow enye hitilafu fulani zile za mtindio wa akili....inasemekana.

Wanaume mnatakiwa kutoa ushirikiano ili kuokoa maisha ya mkeo/mpenzi wako.

Ikiwa hauko tayari kuwa mama basi Condom haina madhara kwa afya yako.

Sipora said...

Asaante Dinah kwa ujumbe, ni kweli kabisa usemayo.

Anonymous said...

Wenzetu wazungu wanampima mgonjwa wao mpaka wanagundua kiini ni nini, na inawasaidia zaidi kwani wana uchunguzi wa kila mara(health check-up. Tujiulize sie wenzangu na mimi, tatizo kama hilo likitusibu nini majaliwa yake!.

Hapa nina maana kuwa madhara ya madawa hayo yatakuwa yamewapata wakina mama wengi,na huenda wengine wamejifia bila kujua kuwa kilichosababisha kifo chao ni hayo madawa. Watajua wapi kuwa chanzo ni hicho? `Mgonjwa wako ana saratani, kapige mionzi, au kasubiri siku zako...finish you go'

Wenzetu tatizo kama hilo likitokea watengenezaji wa madawa hayo wanaweza wakawajibika kwa kumlipa muathirika, je sisi tutamwendea nani?

Angalia saratani nyingi za matiti, njia za uzazi nakadhalika, hamuoni zimezidi vipindi hivi vya karibuni?

Katika hoja ya kuchangia nimeona dada yetu umesema wanaume wawasaidie wake zao `Wanaume mnatakiwa kutoa ushirikiano ili kuokoa maisha ya mkeo/mpenzi wako'.

Mimi nafikiri mwanaume kama mwanaume mchango wake ni mdogo, kwani tatizo sio mwanaume, tatizo hapa ni utaalamu(dawa)! Je hawa waliogundua dawa hizi wanasemaje? Kwani wao wakati wanazitoa hizo dawa walitoa uhakika wa kutokumuathiri mtumiaji, je sasa kulikoni?

Kwa wanaume kuwasaidia wake zao kama ulivyosema ni kutumia kondomu, je na zenyewe hazina walakini? Kwani wengi wanaona kuzitumia ni akam kupiga nyeto...hahaha, sijui labda tuwasikie wachangiaji wengine wanasemaje.

Anonymous said...

Ni kweli kuna madhanra mengi na pia kunakufutuka haswa kwa baadhi ya kina dad/mama wanaotumia pills.
Cha maana ni wanaume kukubali kutumia kondom au vinginevyo kukubali kufanya operation ya muda mfupi yenye lengo la kuzuia mbegu za kiume kutosafiri kwa na kutinga mimba na uzuri za operation hii ni reversable.
Wanaume wanapaswa kujua kwamba jukumu pia ni lazo sio tu kwa wanawake utamu wa wote au sio?

Onesmol said...

Nafasi ya mwanaume kwenye swala la uzazi ni kubw akuliko ile ya mwanaume kwa sababu mwanaume ndio unaepandikiza au kuingiza mbengu. Mwanamke yai lake liko ndani hivyo ni wajibu wako wewe mwanaume kujizuia na kumalizia nje kwa kujichua au kutumia Condom amazo hazina madhara ya afya yako au kumbadilisha mwanamke ukilinganisha na madawa ya kuzia mimba. Dhara kubwa la Condom ni kuwashwa au kutopatana na aina ya matirio lakini siku hizi kutokana na malalamiko ya watumiaji na maendeleo kuna Condom zimetengenezwa bila kusababisha miwasho wa matatizo mengine ya ngozi kw amtumiaji.

Wanaume tunasehemu kubwa ya kuonyesha tunajari kwa kushiriki katika swala la uzazi wa mpango au kwenye kusuburi kuwa tayari kuwa wazazi sio kuwaachia wanawake mzigo huu wakati wao wanalea mimba hiyo miezi 9 na mamambo mengine mengi yanayohisiana na uzazi. Ni hayo tu ndugu zangu.

Dinah said...

Anony wa 11:17am kuna kitu kinaitwa "tahadhari" kwa watengenezaji wote wa madawa na bidhaa nyingine kwa matumizi ya mwanadamu.

Kila mtengenezaji au Kampuni hutoa maelezo ya kukutahadhalisha wewe mtumiaji kuwa pamoja na kuwa dawa (bidhaa) zao zinazuia au kuponya tatizo fulani lakini kuna side effect zake (madhara) hivyo unapoamua kuzitumia ni juu yako (uamuzi wako kutumia na kukabiliana na matokea mazuri na mabaya au kuachana nazo) wao tayari sheria inawalinda na there is nothing you could do to sue them.

Mchango wa mwanaume sio mdogo ktk swala la uzazi, nadhani mwanaume ndio anachukua nafasi kubwa sana ktk swala zimala "utiaji" mimba kama alivyosema mchangiaji aliyetangulia.

Wanaume kote Duniani wanakasumba ya kumsukuma mwanamke atafute njia mbadala ya kuzuia mimba ikiwa hawako tayari kuzaa(kuwa wazazi) na sio kushirikiana na kutafuta njia mbadala na muafaka ya kuzuia muimba kuliko kutumia madawa ambayo humpatia matatizo mwanamke na sio wewe mwanaume japo kuwa ndio mtendaji mkuu wa kutoa na kusukuma mbengu ziingie nakwenda kuungana na yai na hatimae kuwa kiumbe.

Mwanaume unapokaribia kufika au kumwaga mara nyingi unajua kabisa kuwa "at any min I'm done" sasa kabla hujafikia ktk hatua hiyo kwanini basi usitoke na mpenzi akakusaidia kwa mdomo au mkono ili umwagie nje?

Kama nilivyosema hapo awali kuwa kila bidhaa inamadhara yake (side effects) lakini kwenye paketi ya Condoms huwezi kukutana na tahadhari (maelezo ya side effects)na badala yake utakutana na maelezo kuhusu "allegy" na hiyo sio dhara bali hali ya ngozi yako kutokubaliana/endana na aina ya "material" iliyotumiwa kutengenezea bidhaa hiyo.

Tena siku hizi wameboresha sana bidhaa hii muhimu na hivyo zipo ambazo ziko "compatible" na aina yeyote ya ngozi.

Asante sana kwa suhirikiano wako na maelezo yakinifi na mazuri.