Thursday, 10 January 2008

Nini kiswahili kwa "affectionate"


Kwa wanawake wengi wa Kibongo hawajui au hawajali umuhimu wa kuwa “affectionate” as long as anapatiwa pesa za chakula na manunuzi mengine binafsi kila siku, sina hakika kuwa hawatilii maanani hii kitu kwa vile wanaume wetu wa kibongo wengi sio “affectionate” kwa sababu zao binafsi au kudhani kuwa ni sio kitu muhimu sana au “sio utamaduni wetu”(hata denda sio utamaduni wetu lakini mbona tunakulana tu eti?)


Katika hali halisi ni muhimu sana japo mpenzi wako hajui jinsi ya kuomba au akijaribu kukupa “affection” anakatishwa tamaa au kushushuliwa (told off) kuwa anadeka mno au “hukui tu” au hajiheshimu n.k. labda kwa vile wamekuwa pamoja muda mrefu au tayari kawa mama.


Nimeshuhudia baadhi ya wanaume wakilalama kuwa wapenzi wao hawaonyeshi shukurani kwa yale mwengi ambayo wanawafanyia wake/wapenzi wao lakini wanashindwa kuelewa kuwa mtu hawezi kushukuru kwa vitu au mambo unayomfanyia wakati hayaitaji au kwake sio muhimu sana kama yale ambayo anayahitaji ambayo wewe mwanaume huyafanyi.


Au ni kweli unayafanya lakini jinsi unavyo yawakilisha hayo uyafanyayo kama “affection” kwa mpenzi wako ni tofauti na vile mpenzi wako anataka au angependa na kwa bahati mbaya hasemi au hakuambii vile anataka na matokeo yake nyote wawili mnakuwa hamna raha au amani mioyoni mwenu japo kuwa mnapendana kwa dhati.


Ni wazi kuwa kila mmoja wetu anamahitaji yake ktk swala zima la uhusiano wa kimapenzi ambayo ni tofauti kabisa “no matter how compatible you might be”, hivyo ni jambo la muhimu sana kuyaweka wazi mahitaji yako(sio chakula, maladhi na matibabu bali mambo ya kushikana, busu, outings, ukaribu, mazungumzo, ngono, kuwa pale kwa ajili yake n.k.) kwa mwenza wako ili aweze kuyatimiza.


Kumbuka kuwa hakuna mtu anazaliwa anajua kila kitu bali sote tunajifunza kila siku, na nafasi nzuri ya kujifunza ni kumzoea (bila kumshushia heshima) mpenzi wako kama rafiki,mpenzi na mwenza….ondoa au acha kabisa heshima ya uongo (Uoga) na badala yake be youself ili akupende 4 who u are sio who u pretend 2 be.


Huwezi kuamini kuwa baba mtu mzima hawi-affectionate kwa mkewe aliyeoa miaka ya 80s lakini anakuwa “very affectionate” kwa binti mke mdogo anaetoka nae a.k.a kimada……I don’t real get it?


Jamani mapenzi hayana ukubwa wala udogo, mapenzi hayazeeki, mapenzi huendelea kuwepo bila kujali mmekuwa pamoja kwa muda mrefu kiasi gani…..mapenzi ni hisia zilizo ndani yako na hazina uhusiano na kuzaliwa kwa watoto au kuzeeka hivyo sote hatuna budi kuyaonyesha kwa uwazi kwa wenza wetu


Muonyeshe mwenzio jinsi unavyompenda kwa vitendo sio kwa kungonoana kwani huko sio kupenda kwa vitendo bali ni hitaji lingine linalojitegemea ambalo nalo ni muhimu pia kwenye uhusiano (sio zamu yake leo).

*Sasa hebu leo mwambie mpenzi wako ni nini hasa hupendi akufanyie na nini hasa unapenda afanye kuonyesha “affection” kwako.


Natambua kutokana na utamaduni wetu kuna mambo mengine huwa tunashindwa kuyafanya kwa kuhofia jamii itatudhaniaje…..who cares….hawakulishi…..hawakuvishi na kila mtu anaishi kimtindo wake na kufurahia maisha kivyake hivyo wewe ukihisi unataka kuonyesha penzi kivitendo mkiwa marikiti au kituo cha daladala just do it! sio mpaka mfike uchochoroni!


Kuwa "affecionate" ni muhimu sana pia ikiwa wewe na mpenzi wako hamlingani kiuwezo ktk kubilingishana.......kuna watu kungonoka sio muhimu sana kwao kutokana na sababu zao mbali-mbali lakini hiyo haina maana hawahitaji kupendwa au kupetiwa-petiwa.

Siku njema.

8 comments:

Dinah said...

Ngoja nilianzishe na wewe uendeleze.

Mimi napenda mpenzi anaponishika kwa nyuma kiunoni pale ninapopanda ngazi....inakuwa kama vile analinda incase muanguko utokee hilo moja.

2-Napenda kushikwa mkono kama tunatembea pamoja au tumekaa mahali.

3-Nafurahi sana ikiwa nitapokea simu, email au text nikiulizwa nimeshindaje(mawasiliano kwangu ni muhimu sana).

4-Napenda tukisimama mahali nisimame mbele yake nakuongea nikiangalia uso wake.

5-Napenda sana akiwa ananichekesha na anacheka ikiwa nitamchekesha japo I'm not funny hahahahaha.

Endeleeni basi wote wake kwa waume...karibuni.

Anonymous said...

Napenda nikiwa jikoni anakuja nyuma yangu anashika makalio
Napenda tukiwa tunakula anilishe kijiko cha kwanza
Napenda akienda madukani akumbuke kuleta pedi hata kama sio siku zangu
Napenda nikiwa njiani narudi nyumbani anipigie aulize umefika wapi au nije kukufuata
Napenda tukilala naingiza miguu yangu katikati ya miguu yake
mmmmmh mbona mengi nitaendelea kesho

Anonymous said...

This place is wonderful!

Itasaidia sana kuondokana na umaskini wa kimahusiano katika mapenzi!

I saw it today and I will not miss it a single day!

Unajua bwana watu wengi usiwaone wamefunga tie au wamevalia nguo za bei na mapersonality kibao ujuzi wa mahusiano humo ndani hadi nje hakuna kabisa! Matokeo yake watu wanaishi katika maisha ya mifadhaiko kila kukicha!

DINA TUFUNDISHE ILI TUPATE HII ELIMU ADIMU WANAUME NA WANAWAKE

"Mi napenda akija na pipi moja na kuniambia mpesi umeshindaje" Nakua mkubwa kuliko mti wa Mbuyu hahahaa

Anonymous said...

wooo!!! hii topic ya leo ni noma, na stering mwenye kalianzisha basi sio mchezo, ngoja na sisi tuliendeeze kidogo..

unajua kuna sehemu niliona makala ikanivutia sana, ni kwamba kama kila mpenzi akimuona mwenzake anakuwa ni kama amemuona kwa mara ya kwanza basi hilo pendo litadumu sana...na maana kwamba mapenzi kwa kawaida wakati yanaanza yanakuwa ya moto na kwa baadhi ya watu, baadae yanapoa...
ngoja nisiendelee...

nikirudi kwenye mada..

mi napenda sana mpenzi wangu anipe denda na alegeze macho, then kila nikimnyonya awe ananiangalia machoni na kutabasamu,

napenda pia baada ya kungonoana awe ananiogesha na mi namuogesha pia,vlevile tunaendeleza hata raundi moja tukiwa tumeshaoga, na then tunaoga tena...

napenda sana awe mkweli, hata kama akiwa na Ex wake basi aniambie ukweli nitapanga mbinu za kumsaidia kumwacha.

napenda awe na maneno ya kihuni sana akiwa na mimi...kama vile nna nyege twende ukanitie, mboo yako kubwa,angalia usikosee ukaingiza kwenye mkundu,lamba kisima hiki cha chumvuchumvi mpaka nikwambia basi..n.k

nihayo tu; mandingo in da hz.
keep goin dinah.

Mr Zani said...

Asante kwa mada, mimi napenda mpenzi wangu awe akinishika shika kila wakati kuonyesha kuwa anavutiwa na mwili wangu.

Napenda Mpenzi akilazia kichwa chake kifuani kwangu huku aniniaambia shida zake au matatizo au furaha yake ya siku hiyo.

Napenda mpenzi wangu awe anapendakucheza kitandani kama vile kuruka ruka, kunikalia kiunoni huku akizungumza mambo tofauti kuhusu penzi letu.

Napenda mpenzi akiniona tu anaonyesha furaha kuwa kaniona na anakuwa na ile hali ya kutaka kunirukia kuonyesha furaha yake.

Ni mengi sana Dinah wacha niache tu kwa sasa.

Anonymous said...

the topic im liking it dinah!!!! mimi napenda my man anihold my waist while im in the kitchen cooking ,washing up ,especially akiwa hes from work just come straight n kiss me up on my neck hold ma waist mnhhhhh i lik that....i like getting texts,or call just checking on me,i like him to show me atleast what i mea to him like i love,i like ur certain cooking not everyday but mara moja moja....i would lik to see taht hes excited to see mee coz when im in a relationship i do all that ,hold my hand sio awe anavoid public kujua we re together sor of a thing....i lik my man to look right in my eye n kiss me,tel me how beautiful im how he enjoys having sex with me....things like that ,it would make me happy women n be n a fulfilling relationship.

Anonymous said...

habari dina,
mimi ni dada wa kitanzania niliepo europe, na leo kwa mara ya kwanza nimesikiliza kipindi chako laivu! Hongera mama, kipaji unacho.nimesikitishwa na wale wanaokukashif, kama ni ujumbe, wangekupa kwa njia ya adabu. Mimi nimefundwa tanga, na kwenye kufundwa kwangu, nikaambiwa ni mwiko kuyatoa ya ndani!! ya humu yaache humu humu!! sasa pengine hao wanaokasirika, wameona umevuka mpaka, lakini kwanini tunakwenda kwenye porn sites then kutafuta mitindo zaidi instead of listening to you!! achana nao, wasikusumbue akili yako, fanya wajibu wako, tunakupa full support.
then, another point is, yule kaka aliyeuliza kwa nini uchi wa mwanamke hutoa maji, ukamjibu pengine ni sabuni, mild infection!! mimi nilipofundwa, niliambiwa, ukisha fanya mapenzi na mwanamme, na kutoisha kuma yangu vyema kwa kutumia kidole, then itatoa maji. i think ina ukweli fulani, ni kama kiporo kilichooza na kumwaga maji.
thanks dada,
endelea kutupa majamboz,
mimi.

Dinah said...

Mimi asante sana kwa maelezo yako yakutia moyo n apia nyongeza kutokana na maji-maji kwa wanawake.

Karibu sana mahali hapa ili tujifunze wote.