Monday, 31 December 2007

Mbinu 2 za kuchanganya!

Leo nitakupa mbinu mbili kwa wote wawili nikiwa na maana mwanaume amfanyie mwanamke na mwanamke amfanyie mwanaume ili nyote mfurahie kile mnachokifanya.

Mwanaume-Baadhi ya wanaume hupenda kujinadi au kujitangaza kuwa wanapenda sana “ngono ya mdomo” na once wanapoanza shughuli hiyo huwa hawabanduki na wanaweza kwenda zaidi ya saa moja na kumfanya mwanamke apagawe kwa raha, lakini ukweli ni kuwa hiyo haiwezekani kwa vile unapochezea kisimi na kisha mwanamke kufika kileleni anahitaji muda wa kupumzika….ukiendelea non stop ni wazi kuwa atakuwa anazuga/danganya kuwa nafurahia kumbe hakuna kitu.


Ili inoge au iwe tamu zaidi mwanamke anatakiwa akae kwenye kochi/sofa na kupanua miguu yake huku na huku au alale pembezoni mwa kitanda au kwenye kona ya kitanda kisha nyanyua miguu yake na aiweke kama vile anazaa (V-shape) na tuliza vikanyagio kitandani.

Wakati yeye kajiweka hivyo wewe mwanaume unatakiwa kushika sehemu ya ndani ya mapaja yake ili kukurahisishia kuzama vema na vilevile kumzuia yeye asikubane kichwa mara tu utamu utakapomkolea.

Mpagawishe/Mpagaishe…chagua lililo sahihi.

Sasa weka mdomo wako juu ya kisimi ktk mtindo wa kufunika kisha anza kunyonya ktk mtindo wa kubusu, yaani kama vile unalamba mabaki ya kitu kitamu/chakula kidoleni.


Hakikisha pua, kidevu au kwa kifupi uso wako haugusi sehemu yoyote ya eneo hilo unalofanyia kazi na vilevile kumbuka kutokimbilia kupenyeza ulimi wako kwenye uke (pale uume unapoingia) na badala yake wewe komalia kisimi tu…..na ukinyonye na kukilamba vile mpenzi wako anapenda au unaweza kuongeza ujuzi wako wa kutumia ulimi as long as unajua kuwa mpenzi anafurahia.


Kumbuka kila unapobadili “mtindo” wa kulamba kinyonye kisimi hicho ktk mtindo wa kubusu pamoja nakuwa hutoa utamu wa hali ya juu pia itakusaidia au kukupa nafasi yakupumzika na kupumua bila kukiacha kisimi (ukikiacha utampotezea unono mwenzio hali itakayo kufanya uanze mwanzo).


Ukihisi anakaribia basi jaribu kufanya kama vile unakivuta kisimi kwa juu (kama unakinyofoa) lakini bila kusababisha “discomfort” huku ukiendelea na mnyonyo wako mpaka atakapo anza kukaza misuli ya miguu na kukandamisha kichwa chako kama vile anataka uingize chote kisha atajiachia…..hapo ndio kamaliza (inachuka kati ya dk5-30) na wewe hamisha ulimi na mdomo wako kwenye mashavu, uke(pale uume unaingia) na maeneo meingine ya karibu lakini sio kisimi kwani kwa wakati huo kinakuwa “sensitive”….huchukua muda wa dk10-20 kujirudia kama awali.


Onyesha unajali kwa kumuangalia usoni nakusifia eneo lake hilo huku unaendelea na safari yako ya kulamba-nyonya……ukiona anachangamka basi ujue ule u-“sensitive” umeisha na hapo unaweza ukarudi tena kwenye kisimi na kufanya kama awali na rudia kadiri uwezevya mpaka aombe msamaha kwamba inatosha na hawezi kufika tena (ukipiga bao nyingi inafikia wakati huwezi tena), kama ilivyo wa wanaume inafikia huwezi tena kutoa manii.


Mwanamke-Kuna baadhi ya wanawake hupenda kuwapa wapenzi wako “mnato” wanapofanya mapenzi, kumbuka kuwa “mnato” au uvutwaji/nyonywaji wa uume unapokuwa ndani ya uke hauna uhusiano wowote na udogo wa uwazi wa uke wako bali unauhusiano mkubwa na uimara wa misuli yako ya uke (kwa ndani).


Mchanganye/Mkanganye…chagua lililo sahihi.

Mkao mzuri au unaotakiwa ni kifo cha mende, kama ambavyo sote tunafahamu kuwa mkao huu wa “kilokole” au “romantic” una mitindo mingi, kifo cha mende ninachozungumzia hapa ni kile cha asilia kuwa mwanaume juu mwanamke chini.


Panua miguu yako ili aweze kuingiza na akisha ingiza tu badilisha upanuaji wa miguu yako na ipanue ktk mtindo ambao unadhani utakuwezesha ku-move kirahisi…..alafu mwachie aende juu-chini x2 kisha mwambie atulize “boli” ndani kwamba abaki mumo-humo na wewe anza kujishughulisha huku ukimpa maneno matamu na mabusu lukuki “denda” ndio tamu zaidi na vilevile unaweza tembelea puani, masikioni, na shingoni.


Kumbuka utakapo amua kukata kiuno kata kile kiuno tunaita cha kufanyia mapenzi sio cha kucheza Twanga pepeta…..unapaswa kukata kiuno kinachowezesha kuubana,kuvuta na kuuachia uume humo ndani ya uke…kisha badilisha kwa kwenda huku nahuku, juu chini bila mpenzi wako kusogeza msuli…..ili kuzuia hilo jaribu kushikilia kiuno chake au makalio yake ili iwe rahi kwako kumrudisha chini pala atakapo taka kuinua sehemu hiyo kutokana na utamu anaupata. Haita mchukua muda mrefu na atamaliza…….Enjoy!


J’3 ya mwisho ya mwaka 2007, sina buni kukushukuru mpenzi msomaji kwa kuwa nami na kwa ushirikiano wako toka May mpaka sasa unavyosoma makala hii. Nakutakia umaliziaji mwema wa mwaka huu na mwanzo mzuri wa mwaka mpya 2008, Mungu akujaalie afya njema, amani, upendo, mafanikio na furaha.

Cya.

Friday, 28 December 2007

Ngono inazeesha!


Sote tunajua kuwa madhara makubwa ya kufanya ngono/mapenzi ni kuzaa bila kujiandaa na uwezekano mkubwa wa kupata magonjwa ya zinaa ikiwa ni pamoja na kubwa lao UKIMWI.

Mwanamke anaefanya ngono na wanaume tofauti huzeeka haraka kuliko yule anaefanya na mpenzi wake mmoja kwa wakati. Baadhi ya watu (wajinga-wajinga) hudai kuwa ngono humkuza mtu (wanajaribu kujipa moyo) ukweli ni kuwa ngono na watu tofauti inakuchakaza.

Haikuchakazi maumbile yako (uke) tu bali kila kitu "kinasoromoka" a.k.a kulengea na kupoteza u-firm wake. Unapotoka kwenye uhusiano jaribu kujipa muda a.k.a pumzika kabla hujajikita kwenye uhusiano mwingine.

Inasikitisha unapokutana na binti wa miaka 18 lakini anaonekana kama anaumri wa miaka 28-32......that's sad! Look after your self Gal!

Huu ndio ukweli wa Ijumaa ya leo ambayo ni ya mwisho kabisa ndani ya mwaka 2007......nakutakia kila la kheri ndani ya mwaka 2008.

Thursday, 27 December 2007

Shanga!


Hii ni kutokana na maombi mengi ya wasomaji wangu…..

Shanga ni topic tata sana kwangu kwa vile sina uzoefu nayo na kila ninapojaribu kuuliza watumiaji au wavaa huwa hawanipi majibu mazuri na yakuridhisha. Wanaume watakuambia wanapenda tu na wanawake watasema wanaume au wapenzi wao wanapenda wao wazivae.

Rafiki yangu wa Kighana alitoa maelezo ambayo nadhani yalikamilika japo hakugusua umuhimu wake kwenye ngono….aliniambia kuwa huko kwao Shanga ni muhimu kuonyesha kuwa wewe ni mwanamke wa shoka au uliyekamilika.
Ikiwa mwanamke huvai Shanga basi unaonekana hufai na hakuna mwanaume atataka kutoka na wewe/kuchumbia only kwa vile huna shanga kiuoni……hivyo wanawake wote wa Kighana wanavaa shanga no matter how beautiful, educated au westnized they are.

Turudi Nyumbani……nakumbuka niliwahi kumuuliza mama yangu (wao wanavaa shanga) faida ya shanga na yeye akanijibu kuwa ni kama sehemu ya “romance”….nikauliza ni sawa sawa na kubusu au kushikana?

Akajibu “ndio”…..nikauliza inawezekanaje mtu asisimke kutokana na kuziona shanga tu au kuzishika-shika tu? Akanijibu kuwa “mwanaume anapozichezea humpa mwanake mtekenyo furani ambao hufamfanya ajisikie raha na hamu ya kungonoka (nyege) huanza kumpanda”.


Mimi kama Dinah nikahisi kuwa mwanaume anaetegemea kuchezea shanga ili mwanamke “anyegeke” atakuwa hana utundu wa kutosha wa kutumia mikono na vidole vyake ktk kuuchezea mwili wa mwanamke hasa ukizingatia kuwa mwanamke “hanyegeki” kwakuchezewa na vidole kiunoni tu bali kona nyingi ktk mwili wake


Uvaaji wa shanga kiunoni ni moja kati ya tamaduni zetu waafrika, nakumbuka katika jamii ya Wanyamwezi (nadhani na Wasukuma pia as far as I remember miaka hiyo niliyoishi kona hizo za Tz ) shanga zilikuwa zikivishwa mtoto wa kike kiunoni na yule wa kiume alivalishwa kijikamba/uzi mweusi ambao huwa na vipande vidogo viwili au vinne vya mti akiwa mdogo.
Ssina hakika kwanini ilikuwa hivyo ila nakumbuka niliwahi kuambia kuwa vijiti vile ni kumlinda mtoto dhidi ya malaika wabaya (kama ilivyo kwa tamaduni nyingine kuwapaka watoto wanja ili watishe) na shanga ni kuonyesha kuwa mtoto ni wa kike.


Mtoto napofikia umri Fulani vikorokoro hivyo huondolewa na binti huvalishwa tena pale anapokua (vunja ungo/balehe), kule kwetu kila rangi ya shanga huwa na maana yake nikiwa na maana kama binti ni Bikira anavaa rangi Fulani, kama uliolewa ukaachika wavaa rangi Fulani, kama umeolewa wavalishwa rangi husika, kama siku hiyo wataka kufanywa (unanyege) basi wamvalia mumeo rangi husika,ikiwa ni mjamzito pia unapaswa kutuma ujumbe kwa kumvalia mumeo rangi fulani (ilikuwa mwiko kungonoka na mtoto tumboni) kama uko hedhini basi utalazimika kuongezea rangi nyekundu juu ya ile uliyonayo.
Itasaidia kama watakuja na rangi inayoashiria kuwa mtu kaukwaa a.k.a ana ngoma a.k.a UKIMWI.....wewe unaonaje?

Ilikuwa ni mwiko kuachia shanga hizo zionekane au zionwe na watu wengine ambao hauko karibu nao kama mzazi, mume, kungwi (shangazi au bibi) n.k. tofauti na sasa ambapo shanga huvaliwa kama mtindo na huning’inizwa hovyo bila kujali maana au ujumbe unaotumwa na rangi za shanga wazivaazo.


Ni wazi kuwa wanawake hawa wanaojivalia shanga hizo na kuzionyesha hovyo huwapa wakati mgumu watu au jamii ambayo inathamini nakutunza utamaduni halisi wa mwanamke kutilia shanga kiunoni na maana ya rangi husika.

Baadhi ya watu huwadhania wanawake wanaovaa shanga ovyo ni wapenda mambo ya ngono……hivi kuna mtu hapendi ngono hapa Duniani?
Bila ngono si dhani kama mimi na wewe tungekuwepo, ngono ni muhimu ktk maisha ya mwanadamu…..au jina lake ndio linawatisha watu? Haya basi tuseme kukutanisha na kuingiza uume ukeni…..bado halijakaa vema….kufanya mapenzi….aaah kufurahia utukufu na uumbaji wake mwenyezi Mungu.


Swala muhimu hapo sio kuwashutumu na kuwahukumu wavaaji hao wa shanga bali ni kuwaeleza kwa uwazi swala zima la shanga……tuache utamaduni wa kubana-bana yale tuyajuayo ili sote tubaki kwenye mstari na ikiwa moja kati yetu atatoka mstarini at least atakuwa anajua nini anafanya au niseme ujumbe gani anaufikisha kwa watamzamaji wa shanga hizo.


Hii yote inatokana na wakuwa (bibi, shangazi, mama) ktk jamii kujisahau na kung’ang’ania mijini na kushindwa kuwatambulisha watoto wao tamaduni za huko watokako (asili yao) hivyo wanakuwa hawajui au wanajifanya “wazungu” na kutofuata tamaduni na badala yake wanafanya watakavyo…..


Mimi nimezaliwa Jijini Dar ila kule kwetu (asili yangu) wanavaa shanga na ninajua mambo mengi kuhusu tamaduni ya kwetu ikiwa ni pamoja na kutambulishwa maana halisi ya shanga na rangi zake……lakini mimi kama mimi sivai shanga sio tu kutokana na mtindo wangu wa mavazi bali pia sivutiwi au sijisikii vema ikiwa nitavaa shanga au hata nikiziona (hasa lundo) zinaning’inia kwa mtu mwingine (kama hiyo picha hapo juu) huwa naona ka’ uchafu vile….kama ni kijiuzi kimoja cha shanga au cheni poa ili kuongezea/ziba "kizugaji" uwazi fulani wa vazi lako if u know what I mean.

Bofya hapa… kisha kong’oli kwenye “comments” utakutana na maelezo ya dada mmoja ambayo yanaweza kukusaidia.

*Wewe mwanaume kwanini unapenda mpenzi avae shanga kiunoni? Unazitumia vipi zikiwa kiunoni na zinakufanya ujisikie vipi?

*Na wewe mwanamke ikiwa unavaa shanga mpenzi wako huzitumia vipi wakati wa kufanya mapenzi?

Kumbuka hapa sote tunajifunza hivyo maelezo yako ya uwazi yatasaidia sana watu wengine hasa wale wasiojua utamaduni wa shanga na maana yake halisi.
Ty.

Monday, 24 December 2007

Je unamudu vipi Mapenzi ya mbali?

Ni kawaida kuwa unapokuwa kwenye mapenzi inamaana ni kuwa pamoja lakini kwa namana moja au nyingine huwa tunaishia kuwa mbali-mbali kutokanana shughuli zetu kama vile masomo, kazi na wakati mwingine inatokea tu mmekutana nyote mkiwa mnaishi sehemu tofauti kama sio nchi mbali-mbali.


Natambua kuwa ni ngumu sana kuufanya uhusiano wa kimapenzi kuendelea ikiwa mnaishi mbali-mbali na hasa kama uhusiano huo ndio kwanza unaanza yaani mpya, hamna uhakika na uhusiano wenu unakwenda wapi (sio serius), wivu kati yenu n.k. hali hiyo hufanya mmoja wenu kuachia ngazi na kuendelea na maisha yake kivyake bila wewe.

Lakini ukweli ni kuwa haijalishi umbali kati yenu, swala muhimu ni jinsi gani mnapendana au jinsi gani mngependa kuwa pamoja na hivyo kujaribu kufanya mambo ili uhusiano huo uendelee kuwepo mpaka hapo mtakapo kutana tena either kwa kutembeleana au mmoja wenu kujitolea mhanga na kuhamia aliko mwenzie.

Jinsi ya kuufanya uhusiano wa mbali uendelee.

Kitu cha kwanza kabisa unatakiwa ujue hisia zako ziko wapi? Je unampenda mwenzio kwa dhati na uko tayari kumsubiri mpaka atakaporudi au mtakapo kutana tena. Kama uko tayari kujitolea mhanga basi utapaswa kujenga uaminifu juu yake na wewe mwenyewe kuwa mwaminifu.


Pili, Kwa vile hamuwezi kuonyeshana hisia zenu za jinsi gani mnapendana ana kwa ana, njia pekee ya kuonyeshana hisia zenu ni mawasiliano ya mara kwa mara, iwe kwa simu, ujumbe mfupi wa simu, barua pepe au chatrooms…….kwa vile hamuonani kabisa hali hiyo huongeza hamu ya kutaka kusikia kutoka kwa mwenzio.


Lakini kumbuka sio mnang’ang’ana kwenye kuambiana mnapendana kiasi gani au mnakumbukana vipi bali tumieni muda huo kuzungumzia mambo tofauti ya kimaisha kama wapenzi……siku yako ilivyokuwa, unafanya nini siku hizi…kama kuna mabadiliko yoyote umefanya toka mmekuwa mbali-mbali, unampango gani in a wiki/mwezi, shughuli zako zinavyokwenda n.k.


Jaribu kujali na kujibu mails, text au barua kwa wakati sio unauchuma 4 a week ndio unajibu au hurudishi simu mpaka ulalamikiwe……hakikisha unatimiza hadi zako kwamba jitahidi kufanya/timiza yale uliyoahidi utafanya na epuka kuahidi ukijua huwezi kutimiza ahadi yako…hilo tatu.


Nne, jaribu kufanya mapenzi kila mnapojisikia hivyo idearly mara moja kwa wiki…..najua unajiuliza how? Well pamoja na kuwa haitokuwa kama vile mnavyofanya kihalisi lakini bado itawaongezea ukaribu kimapenzi.


Unachotakiwa kufanya ni kuwa tayari kwa ajili hiya nikiwa na maana mazingira, muda wa kutosha pia kutumia sauti yako, pumzi, maneno na “imaginetion” vilivyo na mambo yatakuwa bomba kama kweli vile.

……..sote tunajua kuwa wanaume na ego zao huwa wanapenda kuwa incontrol na hivyo hupenda kuongoza linapokuja swala la kufanya mapenzi hata wanapokuwa simuni.


Sasa hapa nitajaribu kukupa mfano wa kufanya mapenzi kwa njia ya simu….kumbuka tu kuwa hii ni sanaa na unapaswa kujifuza kila siku ili kuongeza ujuzi na vionjo sio unashupalia come on baby….come on baby.


Kitu unachotakiwa kutilia maanani ni kujua anapenda kufanyiwa nini au kusikia maneno gani kutoka kwako ambayo yatamnyegesha…….mfano mimi napenda kuambiwa kile unachokifanya.

D-Hey sweetie…..mambo yako? Leo nina hamu kweli ya kutombwa na wewe……

J-Oh yeah…..

D-Anha….

J-Unatakaje

D-Vyovyote….

D-Baby, imagine niko chumbani nimeinama bila nguo natandika kitanda……

D-Unakuja nyumba yangu na kunikumbatia na mboo yako inagusa matako yangu……ooh baby I like that….

D-Unanishika kiuno unakwenda taratibu na kuyashika matiti yangu…..sasa unaweka midomo yako na kujaribu kunyonya chuchu…..aawww….isssshh it feels so good…..

D-Sasa unanibusu midomo yangu……nakushuka maeneo ya shingo….. huku ukinipapasa taratibu……nashindwa kujizuia najiangusha kitandani…..


Hapo sasa “J” ambae ni mwanaume ndio unachukua hatamu nakuendeleza game……

Mwanamke unatakiwa kujiachia kutokana na raha unayoipata wakati huo huwa nzuri sana kama nyote wawili mtabadilishana sauti za utamu au raha mnayoipata nikiwa na maana kama vile mnafanyana physically.


Mf: aaah yess aaah baby tamu….nifanye kwa nguvu….(hapo vipi) hapo hapo….inaumaaaaah…(pole mpenzi)…nahisi kichwa kilivyo moto etc-etc.

Kila la kheri ktk kusheherekea sikukuu ya Noeli a.k.a kuzaliwa kwa Yesu.

Friday, 21 December 2007

Skia....

Kama unakumbuka ijumaa iliyopita nilisema nitakuwa na utaratibu wa kuweka "fact"......na leo napenda kusema kuwa...

Kupiga nje-ndani a.k.a tako kwa nguvu na haraka-haraka na kubadili mikao kila baada ya dakika chache mpaka binti wa watu anaomba "msamaha" haikufanyi kuwa mtaalamu wa kufanya ngono bali ni mtaalamu wa fujo na kumchosha mwenzio......

Utaalamu wa kufanya ngono ni kujua kujizuia, utundu/ujuzi wa kutumia uume wako pale unapokuwa ndani.....unaruhusiwa kubadili "mirindimo" lakini kwa kujali na kwa upendo unless uambiwe tofauti na huyo umfanye kutokana na utamu/raha anayoipata.

Kumchosha mtu kutokana "haraka zako" ktk mzunguuko wa kwanza sio ujanja bali ni ubinafsi.......anatakiwa kuchoka kutokana na kufika kileleni hali ambayo huwa haimalizi bali kuongeza hamu ya kungonoka.

Uchovu wa mwili (aches) hujitokeza siku inayofuata na mara nyingi ni kutokana na kukaza misuli wakati unaita kilele au umefika mara nyingi.

Mwisho mwema wa wiki.....

Thursday, 20 December 2007

Nenda taratibu lakini changamka!Mara nyingi mwanawake huwa anapenda au kutaka kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na kila kitu kiende sawia kabisa bila matatizo, hii ni kutokana na sababu nyingi tofauti kama vile kuwa mpweke kwa muda mrefu, kuwa na "foleni"ndefu ya mahusiano mafupi na sasa anahisi kuwa wakatiumefika wa kukaa na kutulia na mtu mmoja, uoga wa kuachwa/kuumizwa, kuhisi ameachwa(left out) kwa vile rafiki zake wanawapenzi, kuhisi umri umekwenda n.k.


Haijalishi unauzoefu mbaya au mzuri ktk mahusiano yakimapenzi…unachotakiwa kufanya ni kutuliza akili na kucheza taratibu. Ukichukulia mambo taratibu itakusaidia sana kujua hisia zako juu ya mwenzio na pia kumjua/fahamu huyo mpenzi kabla mambo hayajawa “makini” hali itakayokusaidia kutoumia sana ikiwa atagundua kuwa humfai au wewe kutambua kuwa hayuko vile ulivyotegemea n.k.


Vilevile kwenda kwako taratibu kutamfanya huyo “mpenzi mpya” kuwa “comfortable” na wewe, kwa vile hautokuwa mtu wa kulazimisha mambo yatokee vile unavyotaka……..wanaume wengi hawapendi kuwa “pushed” kwa vile uhisi hawapendwi bali unapenda kufanikisha jambo fulani kama ktk maisha yako na sio kwenye maisha yenu “as a couple”.


Kumbuka kuwa wanaume hutumia uongo mwingi ili “washinde” na wakupate, hivyo kuwa mwangalifu najifunze “kuchuja” maneno/mistari yao wanapokushawishi/tongoza uwe nao, mara nyingi hutoa ahadi nyingi ambazo hu-“sound” kama wanaji-“commite” kwako kabla hata hujawajua vema.


Wewe kama mwanamke unatakiwa kuwa makini, msikivu, mwelevu na mwepesi kuhoji ikiwa utahisi unayoambiwa ni “too much….too soon”, sio macho chini na kila kitu….Ok, haya, sawa, ai wewe……ndio…..wasema kweli mjuba…hihihihi..n.k.……changamka!


Kumbuka kitakacho kufanya umdondokee mtu kimapenzi kabla hata ya kungonoana sio muonekano wake tu (au pesa kwa wengine wazembe-wazembe) bali kumjua kiundani baada ya kuzungumza nae……unapomhoji mwenzio ni rahisi kujua uta-offer nini kwenye uhisiano ili uwe bora na yeye atachangia vipi ili mtoke “pea” nzuri na ya muda mrefu.


Maelezo yake kutokana na maswali yako yatakuwezesha wewe utafakari na kufanya uamuzi wa busara hali kadhalika maswali yako yatamfanya yeye afikiri zaidi ikiwa ni myeyushaji/muongo lakini “anakutaka” basi anaweza kubadili yote aliyosema/ahidi jana kwani kagundua kuwa wewe sio wa kudanganyika…..na akiendelea hamtofika mabli….hii yote nitakuwa imetokana na kuchangamka kwako kwenye kuhoji pale ulipohisi jamaa natoa ahadi kamavile ninyi ni “couple” tayari kumbe ndio kwanza mna-date.


Kumbuka mtu anapoku-“date” haina maana kuwa mko kwenye uhusiano na mara nyingi hushauriwi kufanya ngono ktk kipindi hicho……”date” inaweza kuchukua siku tatu mpaka miezi 4 kabla hujajitolea mwili wako.

Unaswali?

Monday, 17 December 2007

Unatarajia nini unapoelekea kwenye uhusiano?

Kuna swala la wanawake kudhani kuwa "ndio imetoka hiyo" yaani ndio milele, mara tu anapoanzisha uhusiano na mwanaume……..

na kwa bahati mbaya wengi huishia “disappointment” na kuwaita wanaume wa kibongo hawana mapenzi ya kweli…….sio hawana mapenzi ya kweli bali wewe ndio ulikuwa na haraka au nyote wawili mlikuwa na haraka na hamjui nini maana halisi ya neno “mapenzi”.


Siku hizi vijana tunaharaka sana ya kufanya mambo ambayo hufanywa kwenye commitment relationships sasa sijui ni maendeleo au ni wanaume kutokuwa wazi pale wanapotaka kuwa na uhusiano fulani na mwanamke?


Napenda utambue kuwa kukutana na mwanaume/mwanamke na kuwa nae na kupena miili yenu haina maana huyo ni uhusiano tayari, uhusiano hujengeka baada ya kutoka na huyo mtu kwa muda fulani minimum miezi kama 3 hivi au zaidi……

Hata kama alikujia na gia ya “nataka uwe mpenzi wangu”…..huwezi ukawa mpenzi ktk siku chache……unahitaji muda kuwa na uhakika na hisia zako.


Unajua zamani watu walipokuwa wakikutana, walikuwa hawakimbilii kungonoana, walikuwa wanaheshimiana na kama ni kukutana basi inakuwa mahali peupe kuepusha vishawishi vya kungoana na hali hiyo iliwawezesha kuvuta muda na kuwa na uhakika na hisia zao kuwa kweli wanapendana.


Na ndio maana wakati huo walikuwa wakiamini (jua) kuwa mwanaume akikupenda kweli basi atavumilia na atakuja kuwaona wazazi na kufunga ndoa na wewe……ndio kungonoka kunafuata.


Tofauti na sasa ambapo tuna swala la ku-date ambapo penzi la huibuka....…kisha tunahamia kwenye Trial (move in together and all) na kuangalia mambo yanavyokwenda….je mnapatana? mnaendana ki-life style, kingono mko sawa n.k.


Alafu ndio penzi la dhati hujengeka vema zaidi kwa vile utakuwa unamjua mwenzio kwa undani na hivyo kufanya uamuzi wa busara kama unaweza kumvumilia na kushi nae maisha yako yote au la.


Natambua kuwa kuna watu wengi (hasa wanawake) wanaendeleza imani kuwa kama mwanaume anakupenda kweli basi atakwenda kujitambulisha kwa wazazi wako na atafunga ndoa na wewe……..


Kutokana na nyakati hizi za mwisho I MEAN SAYANSI YA TEKINOLOJIA a.ka maisha ya kisasa ni wazi kuwa hawajui tofauti ya kupendwa na uamuzi wa kuishi na wewe maisha yake yote na matokeo yake ni disappointment.

Zingatia haya.....
Napenda kukwambia kuwa unapoanza uhusiano na mwanaume chukulia mambo taratibu na usikimbilie kufanya ngono kwani kufanya hivyo automatically kutakufanya udhani kuwa tayari uko kwenye uhusiano,


*Angalia mambo ambayo uta-offer ikiwa utakuwa kwenye uhusiano na sio kutegemea afanye hivi au vile

*Weka 50-50 na sio asilimia mia moja kuwa uhusiano utakuwa kama unavyotaka kwani

*Usitegemee mambo makubwa yafanyike ndani ya uhusiano wako na badala yake acha yatokee yenyewe bila kulazimisha.

*Kuwa wazi na kuyazungumzia yale ambayo ungependa yafanyike ktk maisha yenu ya baadae lakini sio kwa kulazimisha au kununa ikiwa mwenzio anaonyesha kutovutiwa na mazungumzo hayo na badala yake wewe furahia kila siku kama inavyokujia……


* Kumbuka mapenzi ya kweli huchukua muda kujengeka na yakijengeka huwa hayabomoki……hata kama mtaamua kuachana baadae mahaba yataisha lakini penzi siku zote hubaki moyoni.

Nitaendelea……

Friday, 14 December 2007

BR show this weeked!

Kabla sijasema nini nitazungumzia napenda kukuharifu kuwa kila Ijumaa nitakuwa nikitoka na "Fact" kuhusu ninayozungumzia hapa.

Mwanamke anajisikia kupendwa zaidi ikiwa utabaki kitandani na kumkumbatia/busu au kuzungumzia mzunguuko ulivyokuwa badala ya kukimbilia bafuni kujisafisha na kutupa kondom au unakimbilia kinywaji kama sio kwenda kukaa huko mbali kuangalia TV na kuacha mwenzio "anaugulia utamu" peke yake kitandani........show some love, a caring side of u, a bit of shukrani....ei!

Jaribu kujiandaa, weka tissue/kitambaa karibu na wewe ili ukimaliza unajifuta na kuivirindisha tissue hiyo kwenye karatasi na ukaitupe mida-mida sio soon after game......huwa inauma sana ki-emotional.

Au ni mimi tu? Hahahahahhaha!
********************************************

J'2 nitazungumzia swala la "wanawake na ma-big expectation yetu"?.

Thursday, 13 December 2007

Ni mimi tu au?

Kama ambavyo wanaume wanavyovutiwa na matako, matiti, miguu, mapaja ya wanawake mimi huwa navutiwa sana na makalio ya mwanaume, kifua, " facial hair" ziwe safi na vidole.

Katika pita-pita yangu leo kwa bahati imetokea nikakutana na pic nzuri sana ya vidole.....vinavutia, visafi, virefu, vina ngozi laini (cms like), vinene......yaani...mmmh...u can imagine!

CPwaa! have u considered 2 be a hand model???

Tuesday, 11 December 2007

Mwanamke ni "Victim" 2 & 3!


2-Tumuone mwanamke huyu ktk kuzuia mimba.

Mwanamke siku zote ndie anaeachiwa swala la kuzuia mimba, sote tunafahamu wazi kabisa kuwa matumizi ya madawa haya ya nabadili afya ya mwanamke, yanabadili utaratibu mzima wa kupata damu ya mwezi (hedhi) kwamba kuna baadhi ya wanawake huenda mara mbili hadi tatu kwa mwezi.


Wengine hawaedi kabisa (jiulize damu hiyo inakwenda wapi wakati ni lazima itoke ikiwa yai halijarutubishwa) hali hiyo husababisha mkanganyiko wa chembechembe asilia na hivyo kusababisha SARATANI ndani ya mwili au kutopata mtoto/watoto tena….kila ukipata mimba inachoropoka (inatoka sio kwa kudhamilia) n.k.


Linapokuja swala la kumalizia ndani mwanaume hujitoa kabisa na kusukuma jukumu lakuzuia mimba kwa mwanamke. Natambua kuwa hakuna madawa ya muda mfupi yakuzuia mimba kwa wanaume lakini kuna bidhaa ambayo ikitumiwa vilivyo mimba itazuilika, sasa kwanini bidhaa hii (Condom) isitumike kwa nyote wawili badala ya “kusakizia” mwanamke jukumu hilo as if yeye ndio mhusiaka mkuu wa kupata ujauzito?


Ile tabia au niseme kasumba ya “situmii condom kwa vile inapunguza ukaribu wangu na mke/mpenzi wangu” haina ukweli wowote, kuwa karibu na mpenzi/mkeo wako sio lazima umalizie ndani au ugusanishe ngozi yako ya uume na ngozi yake ya uke kwa ndani!Kitendo cha wewe kufanya nae mambo mazuri na kwa ufundi yatakayowafikisha kwenye hatua hiyo tayari ni ukaribu, jinsi unavyo zungumza nae, jinsi uanvyomshika, unavyomheshimu, mthamini, unavyo onyesha mapenzi,msikiliza n.k. wakati mnafanya tendo hilo takatifu ndio mambo yatakayo kufanya uwe karibu nae a.k.a “Intimately” na sio kupiga bao ndani.


Mwanaume jaribu kuwa mbunifu na mtundu ktk anga nyingine ili kuwa “Intimate” na mkeo/mpenzi wako zaidi ya nyama 2 nyama ili kuepuka mimba na wakati huo huo kumsaidia huyu mama kulinda afya yake ili asiendelee kuwa “victim” ktk uhusiano wenu.3-Tumuangalie mwanamke huyu ktk Ufungaji wa kizazi.

Baada yakujipatia watoto Fulani ambao mnadhani kuwa wanawatosha au ndio manaweza kuwamudu na hivyo kufanya uamuzi wa kufunga kizai 4 good ili muweze kufanya mapenzi bila kuhofia mimba/mtoto tena, kama kawaida Mwanamke husukumwa akafunge kizazi.


Mwanamke huyu sina uhakika kama ni kasumba, ujinga, kutokujua, kuwa tegemezi au? Habishi “in good way” wala haulizi/hoji kwanini yeye ndiye anaepaswa kufanya hivyo na sio mumewe/mpenzi wake au wote....waende mguu kwa mguu kwenda kufunga kizazi?.


Mara nyingi (nimeshuhudia kwa masikio yangu) mwanaume anakuja na sababu kama “watoto wakifa kwa ajili au magonjwa na nikataka kuzaa tena nitafanyaje?”…..Ukifa (mke) na nikaoa/kutana na mwanamke mwingine na akataka kuzaa na mimi nitamwambiaje?”…..ikitokea tumeachana (peana talaka) na nikaoa tena nakutaka kuzaa na huyo mwanamke nitafanyaje?”……

Sasa huoni kuwa sababu zako za “kibinafsi” zinamhusu pia mwanake huyo? Hayo yote yakitokea kwake yeye atafanyaje?

Nitashukuru kama nitapata maoni, mawazo, maelezo tofauti kuhusu hili au ukiweza ushauri zaidi kutokana na uzoefu wako……sote tunajifunza na nivema tukiweka mambo wazi ili tujifunze kwa kina zaidi.

Asante sana kwa ushirikiano.

Monday, 10 December 2007

Mwanamke ni "Victim" bila kujijua!
Leo na-promote Uanamke….

Wiki iliyopita nilikuwa kwenye sherehe za kamuagano (Sendoff) na Kesho yake nikaenda kwenye sherehe za ndoa..….kama mjuavyo penye wengi ndio mahali pa kupata mengi sio?

Nilikuwa nimekaa na wamama Fulani wenye uzoefu mzuri tu ktk maswala ya ndoa, wakitoa ushauri, nasaha, maonyo n.k kwa binti aliyekuwa akienda kuanza maisha mapya ya ndoa ili akawe mke mzuri.

Kama kawaida yangu mimi ni mtu wa kudadisi na kuhoji mambo mengi ila ngono ndio hunivutia zaidi, hivyo nilitaka kujua ngono ikoje kwa wanawake hasa kwenye maisha ya ndoa au niseme ndani ya ndoa.

Wachache walikuwa sio wazi sana kama kawaida ya wabongo wengi hasa watu wazima (nadhani waliona mimi katoto Fulani hivi kumbe ni kamwili tu haka)……nilivyoona wanadengua nikahamia kwa kwa wanawake vijana lakini walio kwenye ndoa na kuuliza tena “wao kama wanawake ngono ikoje ktk maisha ya ndoa?”.


Kila mtu akatoka na majibu yake kutokana na uzoefu wake lakini nilivutiwa na maelezo ya wale ambao waliolewa wakiwa bikira, wale wanaotumia madawa ya kuzuia mimba na wale wanaosukumwa/lazimishwa kufunga kizazi baada ya kupata watoto fulani…….

Nikapata jawabu kuwa wanawake wengi ni “victim” ndani ya ndoa/uhusiano wa kimapenzi bila wenyewe kujijua…..nasema hivyo kwa sababu zifuatazo:-

Akizaliwa ni binti wa mzee Fulani……..Akiolewa anakuwa mke wa Fulani…….Akizaa anakuwa mama Fulani…….alafu akijaaliwa nakuwa bibi fulani anamalizia na swala zima la kukabiliana na kukoma hedhi…..Kila hatua ya maisha yake mwanamke anakabiliana na majukumu lukuki……mwanamke huyu hajawa na nafasi ya kuwa yeye na kufurahia maisha kama yeye bali siku zote za maisha yake amekuwa akiishi kwa ajili ya watu wengine.


*Hebu tumuangalie mwanamke huyu anapofunga ndoa/ingia kwenye uhusiano…..

1)-Mimba usiku wa harusi (usiku wa kutolewa bikira).
-Mwanamke kafunga ndoa akiwa bikira na kwa bahati mbaya au nzuri wanashika mimba usiku huo au wakati wa fungate…….binti huyu hajui lolote kuhusu ngono wala utamu wake….usiku huo anafanywa kwa mara ya kwanza na mume wake anajisikia safi kuwa mkewe hakuguswa na mtu mwingine bali yeye….


Hisia za kumiliki zina mjia na bila kujali maumivu ya binti yule, haki yake ya kupata utamu au kufurahia tendo la ndoa….mume anajimalizia ndani kwa vile tu ni mke wake.

Baada ya miezi 9 mwanamke anajifungua anaanza kukuru kakara za malezi na kukabiliana na mabadiliko kutoka msichana kuwa mama…..mabadiliko haya huwa ni magumu sana as u can imagine.

Kwa vile mwanamke huyu hajui lolote kuhusu ngono na hakuwahi kufundishwa au ambiwa lolote hukusu maswala yamwili yeye anachukulia au kuamini kuwa kilichofanyika au kinachofanyika ni kawaida……binti anahisi kuwa labda anakasoro kwani akikumbuka huko nyuma aliwahi kusoma, sikia, kuambiwa kuwa ukifanya mapenzi unasikia utamu au raha…..au anaona mumewe anavyofurahia….lakini masikini yeye haijui na wala hajawahi pupate utamu huo.

Mwanamke anashindwa ku-share na watu wengine kwa vile anadhani hiyo issue ni nyeti sana na ni kinyume na maadili ya kitanzania au mila na destru za kwao…..hivyo maisha yanaendelea na watoto wanaongezeka hali inayoongeza mabadiliko ktk mwili wake na sasa kila unapofanya mapenzi yeye ni kilio tu kutokana na maumivu (kwa vile hapati hamu ya kungonoana wala utamu wake) hali hiyo inamfanya mwanamke huyu amkwepe mumewe kwa kutafuta sababu nyingine……..


Mwanamke anaenda kulalamika kwa Daktari wake wa Magonjwa ya kike na anafanyiwa vipimo inagundulika kuwa mwanamke huyu anaelekea kwenye kukoma hedhi au kikomo cha hedhi (Menopause) kwa mwanamke huyu wa kibongo aliye ndani ya bongo kupata hamu au utamu wa kungonoana ndio inakuwa basi tena……na she is only 40yrs old.


*Ofcoz huwezi kutegemea binti wa watu bikira awe akitumia madawa ya kuzuia mimba au akujie na Condom ili azuie mimba…….wewe kama mwanaume chukua jukumu la kujizuia ili usimtie mimba binti wa watu ambe hajui chochote kuhusu unachokifanya……


Hili halitokei kwa Bikira tu bali kuna wale wanawake ambo walibakwa hivyo kisha wakaja funga ndoa, wapo walijiingiza kwenye maswala ya ngono wote wakiwa bikira hivyo hawakujifunza kitu, vilevile wapo waliokuwa kwenye uhusiano na wanaume ambao hawajali hisia za mwanamke bali tama zao za mwili….nakadhalika!***********************************************
Waendesha "Kitchen party"......tumieni wasaa huo kuwa wazi zaidi na kuwaeleza/andaa hao watarajiwa watarajie nini ktk maisha yao ya ndoa, jinsi ya kukabiliana baada ya kujifungua......sio mnashupalia jinsi ya kumfurahisha, heshimu, pika mahanjumati, kuwa sexy (pendeza na kuvutia @all times) na kum-keep mume......there are more than hayo in any relationship.....kumbukeni kuwa mwanamke anabadilika jinsi miaka inavyokwenda.....huyo binti anahitaji kulijua hilo kwa undani zaidi.


Wapenzi wanaume.......jaribuni kuvuta muda na mshirikishe mwanamke umpendae kwenye swala zima la kuzaa…..pangeni na muelewane mzae baada ya muda gani…..ondoa “umilikikaji” kumbuka huyo ni mkeo lakini pia ni mpenzi wako……mpe nafasi ya kuujua mwili wake kabla haujabadilika.


Kaka zangu hebu chukua jukumu la kuzuia mimba badala ya kumuachia mwanamke, kumbuka kuwa yeye mayai yake hayatoki lakini mbegu zako zinatoka na kumuingia kwenda kujenga kiumbe hivyo wewe ndio mwenye ku-control hilo na sio yeye.

Ni vema kujadiliana au kujua kama mkeo/mpenzi wako yuko tayari kukabiliana na mabadiliko yanayohusisha uzazi, kumbuka kuwa kuoa au kuwa na mpenzi sio tiketi ya kum-mimba mwenzio (cum inside).


Wanawake.......ambao mnaamini kuwa kupata mimba au kuzaa na Fulani basi ndio utapendwa zaidi au kutoachwa…… nakushauri uache huo Ujinga na Ushamba…..


Only Kubali kushika mimba ikiwa unadhani kuwa ndio kitu unachokitaka, hakikisha unajua faida, hasara, matatizo ya mimba mpaka kujifungua na baada ya kujifungua, kuwa na uhakika kuwa utakuwa tayari kukabiliana na yote hayo.


Epuka kukimbilia kuzaa/achia mimba kwa vile jamii inakukandamiza/sukuma, mtaani kwenu kila binti anamtoto, unahofia jamii kukudhania kuwa wewe ni tasa, ili wakwe wakupende zaidi, ili mwanaume/mume asikuache au aendeleze huduma kiuchumi n.k.....


Sikutishi….bali nakwambia ukweli kuwa kushika mimba maana yake ni mabadiliko…….je unauhakika uko tayari?


Tuende na wakati sio ktk mikao na mitindo ya kufanya ngono tu bali kila kitu kinachoendana na ngono na matokeo yake......tujaribu kuwa Taifa lenye vijana wajanja ei!.....sio tunapelekwa pelekwa na kasumba za kizembe.


Endelea kuwepo ili nimalizie vipingele 2 vilivyobaki….

Friday, 7 December 2007

BR show this weeked!


Mpenzi msikilizaji na Msomaji kuna kitu nimegundua ktk maisha yetu ya kimapenzi.....Kumilikiana.


Wewe unalizungumzia vipi hili ktk uhusiano wako wa kimapenzi/ndoa? hilo moja.


Pili, kama ilivyo kawaida yetu wabongo tunapenda au tumezoea kuficha-ficha. Hakuna mtu anazungumzia kwa uwazi swala zima mimba hasa matatizo yanayoweza kujitokea kabla na baada ya kuzaa (sio mambo yamaji moto, mtori, kubemenda, damu n.k.) nazungumzia mabadiliko ya Kisaikolojia, Kimwili na Kiakili, jinsi yakukabiliana nayo n.k....
Badala yake watu hushangilia na kufurahia kiumbe kipya kuletwa Duniani na sio maisha ya huyu mama baada ya hapo kama mpenzi na mama wa mtoto/watoto wake.
Kati yetu hakuna anaejua atabadilika/angebadilika vipi Kisaikolojia na Kimwili na Kiakili mara baada ya kujifungua.....ktk hali halisi asilimia kubwa ya wanawake hukabiliwa na mabadiliko makubwa sana na wengi huendelea kuteseka ktk maisha yao yote unless wawewanaishi ktk nchi zilizoendelea ambako Teknolojia nayo ipi juu.

Haya na mengine mengi ndio nitakayo zungumzia kwenye show ya wiki hii....8 (fingure clossed) hali ya hewa itakuwa safi.
Ikiwa unaswali/maswali/maelezo/nyongeza yoyote kuhusiana na nilichotanguliza hapo juu tafadhali usisite kuuliza/sema.
Karibu sana.

Thursday, 6 December 2007

Namna ya Kubusu

Ili mfurahie busu mnatakiwa kupeana (umbusu-akubusu) hivyo ni jambo muhimu la kuzingatia ni kuto achama au kukusanya midomo yako kama unataka kubusu kwa sauti (kama zile busu za sauti za vijana mtaani) na badala yake busu kimahaba…..

Sogeza midomo yako kama ilivyo (umeifumba lakini iko-relaxed) kwenye midomo ya unaetaka kumbusu…..kisha itulize midomo hiyo juu yake na sasa toa “busu kavu” juu ya midomo yake kisha jitoe alafu rudi tena x3…..1)-inua uso wake kwa kutumia kidole (hii ni kwa wanaume) na mbusu moja kwa moja kwa kugusanisha pua kiaina…2)-Busu kwa kupindisha shingo/kichwa ili kutogusanisha pua zenu…3)-ukiwa umepindisha kichwa/shingo…mshike mkono au mkumbatie kiasi na busu tena.


Ukiona/hisi anajisogeza au anakupa ishara kuwa uendelee kwa kufungua mdomo kiaina, kukushika mkono/kifua/kitambi/kiuno au kuweka mkono kwenye bega basi endelea na “busu nyevu” kwa kubusu ktk mtindo wa kulamba-kunyonya mdomo(lips) wa chini na tulia hapo kwa sekunde chache kisha pokea ulimi wake kwa ulimi wako (bila kuachama…ni mumo kwa mumo)alafu ukwepe na kisha rudi kwenye midomo ya busu lip ya juu…..


Ongeza ujuzi wako sasa…na kumbuka kupumua kwa kutumia pua sio unampumulia mwenzio mdomoni….(atashiba hewa) au unabada pumzi (Mauti inakukumba). Unaweza kufumba macho aku kukodoa....inategema na wakati wenyewe.


Kuna aina tofauti za kubusu ili kutuma ujumbe kwa mpenzi wako lakini busu zote zinahusiaha ulimi na mate. Unaweza ukapewa busu wewe ukadhani ni kawaida (kama hujui) lakini mwenzio anakwambia amechoka, anakupenda, anashukuru, amefurahi kukuona, hataki kungonoana siku/wakati huo, hana raha/hujamfurahisha, anataka kuwa peke yake, anamachungu, yuko busy n.k.


Busu hizi zina jinsi yake ambayo utaijua kwa vitendo…..nadhani wabongo wengi hawajui unless wamewahi kufanya mahusiano ya kimapenzi na watu wenye utamaduni wa kubusu kwa mate/ulimi (Wazungu wazuri ktk hilo).


Baadhi ya watu hujiuliza kwanini wazungu wanapigana denda kila wakati lakini hawadisi/dindishi? Sio kila denda ni “nataka kutomabana” kuna denda nyingine za machungu au hasira, nakumbuka kama unampenda mwenzio lazima utahisi machungu yake sasa kudisa kutatoka wapi hapo ei?

Ongezea ujuzi na utundu ulionao ili na wengine wajifunze...karibu!

*HomeWork….muombe mpenzi wako akupe denda tofauti kuwakilisha hisia zake….kila la kheri!

Wednesday, 5 December 2007

Busu la Kifaransa a.k.a denda


Nakumbuka siku nilipopewa busu la kwanza la mdomoni ktk maisha yangu na kwamwe sitosahau siku hiyo, baada ya kuzunguushana kwa muda wa miaka 3 kwa kisingizio kuwa “nisubiri nimalize kusoma” (angesubiri 4rever mbona hahaha!).

Siku hiyo tukiwa peke yetu kama kawaida na siku nyingine akaniambia “Dinah naomba mdomo” mimi nikaangua kicheko huku nikisema uchukue (nilikuwa sijui anamaana gani), akajisogeza kisha akagusanisha midomo yake na yangu akanibusu….alafu akauliza “naomba nikubusu basi” nikiwa natetemeka kwa uoga wa kutokuja kitu nikaitikia kwa kichwa…..alafu yeye akabusu tena alafu akasema achia (relax) midomo yako…..nikamwambia mimi sijui kubusu…..akadai atanifundisha…..akarudia tena kunibusu na hiyo busu ilinifanya nitake zaidi na zaidi na sasa najiamini kwa kusema kuwa ni mmoja kati ya wale wanaojiita good kissers tena ile ya muda mrefu inayokufanya usahau matatizo yako yote ya Dunia.


Lakini kabla ya yote unatakiwa kuwa “kissable” kwa kuwa na midomo laini na isiyo na mipasuko au ngozi-ngozi, hakikisha kinywa chako ni kisafi hasa ulimi, hakikisha unakunywa maji au kinywaji chochote kitakachosaidia kuondoa ukavu wa mdomo wako, vilevile jifunza kuongea na kucheka mara kwa mara ili domo lisichache/vunda.


Safisha kinywa ikiwa umekula chakula chenye shombo na epuka kula vyakula vyenye vitunguu swaumu pia kwa wavutaji sigara harufu yake mdomoni hunuka kama mavi akyanani…..kama ni mvutaji basi safisha kinywa au kula kitu kichachu nakitamu kama chungwa, embe, nanasi au unaweza kujaribu mvinyo(wine).

Unatakiwa kuwa na uhakika mwenzi yuko tayari kubusiwa sio unakurubuka na kufungua mdomo wa mwenzio na ulimi, unatakiwa kwenda hatua-kwa hatua kama nilivyo elezea uzoefu wangu hapo juu.


Ukiona kuwa mwenzio yuko tayari basi ndio unapaswa kuendelea na busu ya mate/ulimi. Ninaposema mate sina maana upeleke kimiminika chako mdomoni mwa mwenzio la hasha! Pia ninaposema ulimi sio kwamba uzunguushe ulimi wako kwenye fidhi za meno yake na kuupeleka ulimi mpaka kooni…..utamtapisha mwenzio.


Busu sio tiketi/tikiti ya kufanya ngono japo kuwa ukaribu wenu unaweza kuwafanya mhisi kuwa mnataka/tamani kuendelea na hatua nyingine yakuingiziana mikono chupini na kushikana mazingira yenu nyeti, na badala yake kumbatia busu na enjoy the moment ei!.

Natambua wazi kuwa kuna watu wengi hawajui kubusu kwa kutumia ulimi a.k.a busu la Kifaransa na kuhakikishia hata baadhi ya wafarasa hawajui kucheza na ndimi zao ndio itakuwa wewe Mbongo? hivyo hauko peke yako.
....endelea kuwepo,

Monday, 3 December 2007

Siku ya kwanza!

Nataka nikudokezee kitu kidogo sana lakini ni muhimu sana kuhusu kufanya mapenzi/ngono siku ya kwanza....

Unajua kwamba kuna tofauti kati ya "mara ya kwanza" na "siku ya kwanza"? Uiskonde kama hujui nitakuambia na kama unajua hongera zako kwa hilo.....sasa basi,

Mara ya kwanza ni kwa bikira na siku ya kwanza ni kwa wale waliokwisha anza kushiriki tendo la watu kabla ya ruhusa kwa mujibu wa imani zetu za kidini a.k.a ndoa.

Unapoanzisha urafikia au unaporafikiana na mtu kimapenzi ni vema kama utasubiri na kumfahamu vema mtu huyo vizuri kabla hamjachojoana.

Lakini kama mnafahamiana vizuri na mkaamua kubadilishiana kibao na kuwa wapenzi mara nyingi hapa huwa hakuna subiri-subiri unasikilizia "sayansi a.k.a nature a.k.a Chemistry" inavyokusukuma dhidi na huyo rafiki turned mpenzi......

Whatever the case swala muhimu kwa mwanamke ni kutulia (si kutumi au kukwambia ubaki ka' gogo) bali jaribu kwenda au kufuata mtiririko. Siku ya kwanza ni siku ya kumjua mpenzi mpya......mkubwa/dogo kiasi gani, akiingiza je anaingia "deep" kiasi gani?,anafanya "kivita" "kimimi-mimi" au "kiromantiki" nakadhalika!

Usikimbilie kubinuka-binuka hata akiomba "doggy" mwambie siku nyingine na mtindo unaopaswa kuufanya siku hiyo ni kifo cha mende.

Pole kwa kusubiri.....

Kifo cha mende (mwanamke juu) ndio mkao asilia, rahisi, “comfortable” na utakao kuwezesha kumjua mwenzio kama unavyofahamu kuwa sote huwa tunakumbwa na hofu Fulani ambayo inaweza kuwa umsafi kiasi gani, uvutiaji wa mwili wako ukiwa mtupu, unavyobusu ndivyo au sivyo……siku ya kwanza na mpenzi mpya haina tofauti sana na siku ya kwanza shuleni au kazini.

Ni mwiko siku ya kwanza kumshukia/nyonya/lamba chini (kama unapenda hivyo) na badala yake tumia vidole na mikono yako kuchezea “bidhaa zake”, tumia muda mwingi kwenye kubusu na kulamba kona za mwili wake (kama huzijui basi bahatisha kwa kulamba kuanzia chini ya kidevu-shingoni-kifuani-tumboni-mbavuni na uishie kiunoni).


Kuna baadhi huofia kuwa wasipoonyesha ufundi wao siku ya kwanza basi mpenzi anaingia mitini (harudi tena), napenda tu nikwambie kuwa; Kwa bahati nzuri wenzetu wanaume (baadhi) huwa wanahofia zaidi utendaji wao siku hiyo, wao hufanya kila wawezalo kuhakikisha wamekufurahisha na umeridhika hiyo ndio hofu yao kuu hivyo huitaji kujituma sana siku hiyo.


Ikiwa anakufanya vizuri usione soo kushukuru kwa kutaja jina lake, kuguna na kuhangaika kwa raha (utamu ukikolea unajikuta unazunguusha tu kiuno) au kumwambia kuwa ni tamu, raha, ongeza n.k.


Mwanaume akijua amekufurahisha na umeridhika (sio kwa ku-fake lakini) huwa anafurahi (mambo ya Ego) na kama alikuwa na hisia za mapenzi dhidi yako ni wazi kuwa zitaongezeka.


Mwanaume ulieanza kurafikiana nae na kujenga hisia za mapenzi baina yenu kamwe hawezi kukukimbia kwa vile hukumonyesha ujuzi wako jana, kwamba anadhani ndivyo ulivyo kuwa hujui kitu……mwanaume huyo mwenye hekima ataelewa kuwa ni siku ya kwanza na pia kama kweli anania na wewe basi atakuwa tayari kujifunza na wewe……


Wanaume wengi watulivu (sio Players) hupenda kuwa in-control, huumia kwa ndani (emotionally) ikiwa utamuonyesha utundu siku hiyo na yeye akaonekana hajui kitu mbele yako “mwanamke”……unatakiwa ku-“play cool” sio mjuaji….as I said b4 just go with flow suikimbilie kubinuka-binuka.


Ila kwa wale washikaji zangu ambao akili hazijatulia, wabinafsi na hawajui nini maana ya mapenzi/kupenda (players) huwa wanataka siku hiyo ufanye yote ujuayo kwa vile anajua wazi kuwa hana muda na wewe na asipopata yote leo ndio basi tena…hawa huthubutu hata kuomba Tigo…u can imagine sasa hahahahaha!

Tukutane tena ukipata nafasi.

Ta-ta!

Sunday, 2 December 2007

Pole!

kwa usumbufu mpenzi msikilizajiw a BR.....kutokana na hali ya hewa kutokuwa njema, tunashindwa kutangaza moja-kwa moja.....IMESHINDIKANA KABISA....samahani kwa kujisikia unavyojisikia.

Ty.xx