Friday, 30 November 2007

Anal Sex (Ngono kinyume) na maumbile-Ukweli!


Sasa kama kawaida yangu mimi huwa sina tabia ya kutisha watu au kuwakataza bali najaribu kueleza ukweli kisha wewe kama mtu mzima utaamua nini cha kufanya kwani naamini kabisa kuwa sote ni watu wazima na tuna akili timamu na tunapoamua kufanya jambo sio kwamba tunafuata mkumbo au kulazimishwa bali ni our choice.

Kufanya ngono kusiko a.k.a Tigo “MWIKO” ktk jamii nyingi Ulimwenguni sio kwa vile tu inamaanika kuwa ni uchafu na inamadhara makubwa ya kimwili, kiakili na kiafya bali ni kinyume na mafundisho ya imani zetu za Dini.

Kinachofanyika chumbani ni uamuzi wenu ninyi wawili mnaopendana ikiwa tu mtakubaliana na kufanya hivo na pia ni siri yako wewe na mpenzi wako, kuna wapenzi wengi tunafanya mambo ya ajabu sana na watu tunaowapenda na tunafurahia na tunazidi kupendana na kutakana zaidi na zaidi kila siku….lakini mambo hayo ni “taboo” ktk jamii kama ilivyo kwa Tigo au Ukware/uzinzi.

Kuna baadhi ya watu (wake kwa waume) hujaribu na kisha wanajikuta wanafurahia na hivyo wanaendelea na kuna wengine hutaka kujua “unajisikiaje” lakini wanajikuta hawafurahii au mmoja wao hafurahii na hivyo wanaacha na kutorudia tena tendo hilo la mugongo-mugongo.

Inasemekana kuwa wanawake hatuna hisia za utamu au raha ndani ya mkundu bali wanaume wanahisia Fulani na unono huko kunako “O” na baadhi husimamisha zaidi ikiwa watabonyezwa katikati ya mapumbu na sehemu ya kunyea au kuchuliwa/shikwa/kandwa/lambwa kwa vile kuna vijimishipa ambavyo ni “most sensitive”na hupelekea wapate utamu ule tunaoupata sisi wanawake tunapotandikwa kwenye “kipele G”. ……

Lakini kutokana na miiko wanaume wengi huwa hawaruhusu hii kwa vile wanahisi kuwa hakuna tofauti na kuwa shoga au wanadhani watazoea na kuwa “watoto wa watu” (Ushoga ni hali/hisia ya kuvutiwa/kutamani mtu wa jinsia yako sio kushikwa au kufurahia sehemu ya mwili wako).

Pamoja na kuwa watu kuheshimu miiko ya dini zao, kupinga na kulisema vibaya tendo hili wachunguzi wa mambo ya Tigo wanadai kuwa mwanamke mmoja kati ya wanne anashiriki ngono ya nyuma (sasa hii sijui ni kuridhisha wapenzi au ni wao wanafurahia)…….wazoefu watusaidie hapa.

Ukweli kuhusu Tigo.- Sio tendo asilia ktk swala zima la ngono na mapenzi hivyo kumbuka unapoamua kugawa tako kuwa na uhakika ndio kitu unataka kukifanya na sio kukifanya wa vile “mchumba” kaomba/anataka…..wewe ndio mwenye maamuzi makuu ya nini unataka kifanyike mwilini mwako. Kama unahisi unachokwenda kukifanya sio “natural” na hujisikii vema kushiriki ngono Tigo basi acha/kataa kufanya hivyo.

-Mkundu hauna ute asilia wa kuisaidia mboo kuingia bila “kwere” hivyo unahitaji vilainisho maalumu ili kurahisisha hilo.


- Hakikisha mnatumia Condom zenye “polyurethane” hizi inasemekana ni imara na zinahimili joto la huko kumavi kuliko zenye “spermicides” kwani husababisha muwasho utakaoweza kukusababishia maambukizo menine yayokanayo na wadudu asilia walioko sehemu hiyo ya kunyea.


-Mara mishipa ya mkundu ikitanuka kutokana na kufanywa huko mara kwa mara huwa haijirudi kama ilivyo kwenye uke kwa vile haikuumbwa kwa ajili ya shughuli hiyo.


-Hakikisha uume ukitoka Mkunduni haugusi au kuingizwa tena ukeni ili kuepuka maambukizo kwani sote tunatambua kuwa huko mahala kuna vijidudu asilia ambavyo ukivikanganya tu unaibuka na gonjwa la ajabu(unakumbuka hadithi ya AIDS?).


-Wengi tunaamini kuwa kufanywa nyuma ni kwa mashoga tu lakini kuna wanawake wanafurahia kama ilivyo ngono ya mdomo na baadhi hujigeuza kama njia mbadala ya kuzuia mimba au kulinda bikira (zaidi ni ktk jamii ya waarabu).


-Kuingiziwa ndude huko kumugongo kunauma (kunakupa maumivu)…..fikilia unapokunya kimba gumu tena baada ya kumeza mbegu za matunda Fulani yanaitwa “mabungo”…tunda lenyewe ni mbegu na mbegu hizo zinatabia ya kutereza bila taarifa…..sasa rafiki yangu sikilizia wakati wa kutoa kimba…utalia basi nasikia Tigo pia inauma sana lakini wasogo wake wanatumia mafuta au Jelly kutimiza haja zao.


-Ukizoea sana kupigwa nyuma na mishipa ya huko kutanuka, basi inasemekana kuwa utatatizwa wakati wa kujifungua/kuzaa, si hivyo tu bali unaweza ukawa na tatizo la kuvuja mkojo kwani hutoweza kukaza tena misuli yako ukeni ambayo hulegea baada ya kuzaa.
Swala muhimu sio kutisha watu bali kuwaelimisha na kuwaachia wao wachague mchele upi na pumba zipi. Ukiangalia yale yote yanayokatazwa au kuitwa miiko ndiyo yanayofanywa zaidi kuliko yale tunayoruhusiwa kuyazungumzia na kuyatenda.


*Mimi binafsi napinga kwa nguvu zangu zote swala la Ngono kusiko (tigo) ila na heshimu chaguo/uamuzi wako…..wewe ndio mweye mwili na unafanya vile utakavyo.

Ushuri wa bure-Jiheshimu na thamini mwili wako…..usitoe tako lako kama dawa ya kumfanya mume asitoke nje au akupende zaidi…..ni aibu mumeo akikuta nyuma jamaa waliwahi pia.

Tafadhali shirikiana nami kwa kushusha madhara ya Tigo au faida kama zipo.

Asanteni sana.

Thursday, 29 November 2007

Kufanya ngono kusiko....

Siku hizi wanaita Tigo, wakati nakuwa walikuwa wakiita kuruka ukuta, kupitia mlango wa nyuma na samaki huliwa pande zote (ilikuwa ngumu kuelewa walikuwa wakimaanisha nini wanapozungumzia hilo).

Jinsi miaka ilivyozidi kusonga mbele na vitendo viovu vya kungonoka na watoto wadogo wa kiume kuzidi/kuwa wazi ndio nikaanza kusikia "kufanya ngono kinyume na maumbile" na kwa wale washikaji zangu ndio kufira.(Nakumbuka enzi hizo mwanaume ukimtukana kwa kutumia hilo neno anakudunda, lakini siku hizi naona wamezoea au...au...


Watu wengi hukwepa kulizungumzia hili swala kwa uwazi isipokuwa ile jamii mpya ya "mashoga" au kwa kiswahili fasaha wanajulikana kama wasenge.

Kama ilivyo ktk maswala mengine kwenye jamii yetu ya kitanzania huwa tunatisha watu na kuwakataza badala ya kuwaeleza ili wajue ni nini watarajie ikiwa wataamua kufanya hivyo, faida kama zipo, hasara kama zinapatikana nakadhalika.

Pamoja na kutishwa au kupigwa marufuku huko bado sehemu kubwa ya jamii inafanya ngono ya kusiko husika. Hivyo basi swala sio kutishana bali kuelimishana.

Boss ananipiga jicho la husda....ngoja niache, nakuja mida-mida.

Sexy!


Sina hakika neno “sexy” kwa kiswahili ni nini hasa, je ni kuvutia in sensual way kwamba watu wanakuona uko kingono-ngono (picha wanaipata wanapokuona ni unavyokuwa juu ya vitanda vyao)? Mimi sijui nisaidie basi ei!


Huitaji kuwa mzuri wa asili, mrembo, mwenye umbo zuri au Tajiri ili kuwa “sexy”, huitaji kwenda na wakati ktk uvaaji wako, huitaji kuwa mnene au mwembamba ili uwe “sexy” bali ni jinsi hivyo ulivyo, jitihada zako za kuwa ulivyo hasa kwa kufanya vile vitu unavyopenda kuvifanya bila kuhofia wengine watakufikiriaje na bila kusahau swala zima la kujiamini wewe kama wewe.


Baadhi ya watu huchanganya swala la kujiamni na badala yake wanakuwa na viburi mbele za watu wakidhani kuwa huko ndio kuwa- “sexy”.Pia kumbuka kuwa kuna vitu vingine tunavifanya kila siku lakini kwa watu wengine wanaviona ni “sexy” kama vile sauti, jinsi unavyoongea na kulamba midomo yako, jinsi unavyoona aibu kujieleza, miondoko yako, unavyotazama, unavyotafuna, unapokuwa jikoni unasonga ugali n.k.


Kuona/kudhani kuwa Dinah (I’m kind sexy u know hahahaha) hakufanyi kila mtu aone au adhani kuwa mimi ni “sexy” bali inategemeana na mtu mwenyewe kama ilivyo uzuri……kwamba uzuri uko machoni mwa mtazamaji.


Wakati mwingine kuwa “sexy” ni hisia zako mweyewe kwamba unahisi kuwa uko hivyo kutokana na ulivyo vaa siku hizyo au kwa vile umenenepa au umepunguza uzito (nyama uzembe)….
Lakini huwezi kukurupuka tu ukaanza kujihisi kuwa uko “sexy” unahitaji kufanya jitihada fulani sio.
Mwanamke
1-Sote tunatambua kuwa lazima tuwe wasafi na tunukie vizuri, sasa basi kuoga mara tatu kwa siku ni muhimu ili kufanya ngozi yako ipendeze na kuboreka kutokanana kufungua vijitundu vya kupitisha hewa.
Kunikia ninakokuzungumzia sio lazima kuwe kwa manukato ghali unaweza ukawekeza kwenye “vikausha kwapa” (dedorodant) nakisha ukamalizia na mafuta yako ya “Rays” hahahahaha (Naila upo?) well tumia aina yoyote ya mafuta/lotion inayopata na aina ya ngozi yako na ambayo haitochukua/badilisha harufu yako asilia ya mwili.


2-Hakikisha unaondoa nywele zisizotakiwa au zile ambazo hupenzi kuziona, yaani zinakuogofya kama vile kwapani, kwenye mstari wa ikweta, sehemu ya tumboni/kifuani (mwanamke huitaji nywele sehemu zizo hih!), miguuni, mikononi, kwenye vifundo vya vidole miguuni, yetini, kidevuni na mustachi (kama unazo sehemu hizo zifanyie utaratibu tafadhali....utakuwa kama baba).


3-Vaa vizuri najitahidi kuwa na mtindo wako mmoja wa uvaaji na pia jaribu kuwa mbunifu na ulijue umbile lako…..kwamva vaa kutokana na umbile lako ili kuepuka vazi kukuvaa wewe Mfano:Kila vazi unalovaa lazima liwe na rangi inafanana na kidani cha mkufu wako, rangi za mavazi yako ni zile zilizopoa tu au kila kiatu unachovaa lazima kiwe na kisigino kirefu (nadhani umenielewa nina maana gani), hali hiyo itakufanya ujiamini zaidi ktk uvaaji wako, vilevile siku ukibadilisha na kuvaa tofauti na mtindo wako unaweza ukahisi kuwa uko-Sexy…….ukipata hisia hiyo utajiamini na wengine watakuona vile unavyohisi kwa ndani.


Ukishindwa kabisa basi wewe wekeza kwenye Jeans…..wanasema Jeans ni “ultimate sexy accessory” chagua ile itakayo shikilia vema makalio yako na kuchonga vema umbile lako….Hakikisha hutolei macho sana “trends” kama skinny jeans au hipster badala yake wekeza kwenye ubora na wakati huohuo usisahau kuwa lazima iwe “classic” kwamba utaweza kuvaa vazi hilo kwa miaka mingine 5 ijayo bila kuhisi umepitwa na wakati.


4-Jifunze sanaa ya urembo, sio lazima ukandike poda na mirangi ya ajabu ajabu bali unaweza ukawa unatumia “foundation” kwenye T-zone zako kisha ukaongeza uwanja na lipgloss au mafuta ya “Rays” ili midomo yako isikaukiane, hakikisha unatengeneza nyusi zako kufuatana na uwingi wake au ukubwa wa macho yako....kwa wale ambao hamna kabisa nendeni kwa Ash VIPODOZI atawafunda.


5-Hakikisha kila kona ya mwili wako inatoa pumzi nzuri (isipokuwa pale utakapo ponyokwa na ushuzi ofcoz). Hakikisha ukicheka/ongea/nong’oneza, tabasamu harufu inayotoka hapo ni safi na inaita hivyo ni vema kabisa ikiwa utasafisha kinywa chako hasa ulimu (ulimi ndio kianzilishi cha harufu mbaya ya mdomo na sio meno)……jaribu kusugua ulimi alafu acha meno kisha mpumulie mtu usikie atakwambiaje?


6-Jifunze kuwekeza kwenye nguo za ndani, jitahidi kuwa na chupi/sidiria/gagulo nzuri na zenye ubora…..kumbuka matiti yakiwekwa vizuri kwenye sidiria utakachokiweka juu pia kitakaa vema, hali kadhalika chupi ukikosea rangi au aina basi unakuwa umeharibu kila kitu.


7-Hakikisha unafanyia kazi yale maeneo ambayo unadhani yanakufanya une noma/ovyo kuyaonyesha mbele ya mpenzi wako hali inayofanya mfanye mapenzi mkiwa mmejifunika au gizani(once ina while sio mbaya lakini kila siku mmmh).


Unaweza kwa kufanikiwa kwa kufanya mazoezi au kwa sababu zozote unadhani huwezi basi tafuta aina ya viwalo ambavyo vijana kwa wazee wengi siku hizi wanaviona kuwa ni “sexy” kama ilivyo shanga ikiwa wapenzi wao watavitinga kwa kufanya hivyo kutafanya mpenzi wako aone vizuri umbile lako, alizoee na kulipenda vile lilivyo.


Nitarudi ktk muda mfupi………..

Wednesday, 28 November 2007

Oops!

Asante Michuzi JR kutokana na kuheshimu kwangu haki miliki sitoweza ku-post ile makala bila kujua ni mmiliki ni nani.

Pia asante Mkandamizaji kwa ushauri wako.

Samahani kwa usumbufu mlioupata wasomaji wangu wampenzi....

Monday, 26 November 2007

Utajuaje kama unafanya Ngono salama?

Ilikuwa somo la J'2 live BR......asanteni kwa ushirikiano wenu.

KILA mmoja wetu anahusika kwa namna moja au nyingine kuhusiana na swala la UKIMWI (unavirusi, unaugua, ndugu, jirani, rafiki na jamaa wamekufa via HIV).

Utafiti unaonyesha kuwa kila mwananchi anajua nini maana ya gonjwa hili, jinsi ya kujikinga, kuepuka na kuishi na mtu mwenye virusi na anaumwa na yule mwenye virusi lakini hajaanza kuumwa.


Lakini watu wanajiuliza kulikoni mbona watu wanazidi kuambukizwa? Well kwa nchi kama Uingereza watu wengi wa Uswahilini (mtaani a.k.a low class) wengi hawajui AIDS ni nini na inaambukizwaje……ukishiriki kwenye mikutano ya kuelimisha vijana kuhusiana na HIV unaweza ukabaki mdomo wazi kwa mshangao kutokana na maswali wanayouliza kuhusiana na NGOMA…..hivyo elimu inahitajika sio kwa Bongo pekee bali Dunia nzima.ANY Who….Mimi nafikiri (1)-Watu wengi hawatambui nini maana ya kufanya Ngono salama, wengi wanadhani kutumia mipira(Condoms) ndio Ngono salama.


Matangazo mengi kupitia vyombo vya Habari husisitiza kufanya ngono salama lakini hawaelezi wazi ni vipi mtu atajua kuwa alifanya/anafanya/afanye ngono salama.


(2)-Kutokulielewa vema swala zima la ngono, kwamba ili kuifurahia ngono sio lazima uifanye na watu wengi tofauti bali unaweza ukafanya yote utakayo na mpenzi wako huyo uliyenae……..swala muhimu ni mawasiliano na uwazi wa kile unachokitaka kutoka kwa mwanamke/mwanaume.


(4)-Kutokuelewa vema tofauti za maumbile yetu hasa pale tunapoambiwa mwanamke huambukizwa/ambukiza kirahisi kutokana na maumbile yake…..ikimaanisha kutokana na uke ulivyo basi mwanamke yuko hatarini zaidi kuliko mwanaume.

Sasa kwa vile haliwekwi wazi, baadhi ya watu wanadhani kwa vile uke ni mwekundu au pinki basi ni kama jeraha kwamba mwanaume mwenye virusi akigusa tu kitu na box…..la hasha,
.........nadhani inamaana kuwa uke ni rahisi kuchubuka/kwaruzika hasa kama unatumia bidhaa za kufanya uke unukie kimanukato,

-Kufanya mapenzi ukiwa hauko tayari

-Kuishiwa hamu ya kufanya mapenzi katikati yakufanya mapenzi na kusababisha ukavu ukeni.

-Kujisafisha na kuruhusu sabuni kuingia ukeni,

-Utumiaji wa vifaa vya kuzuia damu ya hedhi kama vile tampax n.k.Ili kupunguza maambukizo na hatimae kutokomeza kabisa “maambukizo mapya” UKIMWI ni vyema basi sote tushirikiane na kuzungumzia swala hili kwa uwazi zaidi, hakuna haja ya kufichaficha, kwani kila mtu anafahamu kuwa kwa asilimia kubwa ngonjwa hili linaenea kwa kufanya ngono isiyo salama.

Watu wanapoamua kufanya ngono hawaendi moja kwa moja kukutanisha miili yao, huenda hatua kwa hatua (kuandaana/chezeana) na hatimae kukutanisha miili yao. Lakini je! hatua hizo za awali kabla ya kufanya tendo lenyewe ni salama?

Hapana, si salama japokuwa watu hudhani kuwa ni salama.

Vilevile baadhi ya watu wanaamini kuwa kuingiliani kimwili (kukutanisha Uume na Uke) ndio pekee kunakopelekea maambukizo na badala yake huridhika kwa kutumia mikono/kuchezeana/kupigana nyeto kitu ambacho ni kizuri lakini je unaposhika nyeti ya mwenzio unauhakika vidole/mikono yako na nyeti zenu hazina mikwaruzo/cuts?

Hapa pia tunaona kuwa hata hand job sio salama japo it sounds salama.


JE UTATAMBUA VIPI KUWA ULIFANYA/UNAFANYA NGONO SALAMA?

Mosi,-Kushikanashikana sehemu mbalimbali za mwili kunaweza kupelekea maambukizo ya Ukimwi, Mfano mwanaume anapopeleka vidole vyake kwenye uke na kugusa majimaji(Vaginal Fluid) alafu baadaye akagusa Uume wake ili kuvaa kondom ni moja kwa moja yuko kwenye hatari ya kupata virusi vya Ukimwi.


Mwanamke pia yuko hatarini ikiwa atagusa Manii (Semen) kwa mikono yake na kisha kujishika/kujigusa kwenye Uke wake. Mwanamke pia atakuwa kwenye hatari ikiwa ameondoa nywele sehemu nyeti kwa mtindo huu kunyofoa (pluck Brazilian style) ambao huacha vijitudu vilivyo wazi ambavyo vitapelekea Manii kupenya na kusababisha maambukizo.


Kupena mapusu ya mate, tafuta mtindo tofauti wa kubusu ili usipate mate kwani huwezi jua kama mpenzi anamikwaruzo kooni au sehemu yoyote ndani ya mdomo wake.


STAY SAFE-Kondom ivaliwe haraka sana baada ya kuvua nguo ya ndani, haijalishi kama utafanya ngono au la!. Pia hakikisha huingizi ulimi wako ndani san aya mdomo wake na hakikisha hupati kabisa mate kutoka kinywani kwake……tafuta njia mbadala ya kuibua nyege zake kuliko kubusu kwa mate.

Pili, “Withdrawal” (kukojolea nje) baadhi ya watu wanaamini kuwa kufanya hivyo huepusha mimba zisizotarajiwa na maambukizo ya Ukimwi(wakidhani kuwa ni manii pekee ndio hubeba virusi), lakini ifahamike kuwa jinsi tendo linavyoendelea kabla (mwanaume) kufikia kileleni na “kuwithdrawal”ndivyo Manii yanavyobaki ndani ya Uke na kujikuta umeambukizwa bila wewe kujijua.

STAY SAFE-kamwe usikubari kufanya ngono bila kinga (skinny dipping) hata kidogo, wakati wote angalia kuwa Kondom inayotumika haina mipasuko n.k.

Tatu, “Going Down” wataalam wa magojwa ya zinaa wanakili kuwa mtindo huu wa kutumia mdomo si hatari sana ikiwa tu, hakutakuwa na michubuko nje/ndani ya mdomo, matatizo ya koo, kuvuja damu kwa fidhi n.k.

STAY SAFE-Kamwe usijaribu kufanya hivi wakati ukijua kwa unamatatizo ya fidhi, koo, ulimi n.k, lakini ni vyema ikafahamika kuwa ni vigumu sana kugundua kuwa unamichubuko kwenye mdomo, ulimi na hasa koo.

Kumbuka chochote kinacho husisha ngono kinahusisha maambukizo ya virusi vya UKIMWI.

Ty.

Thursday, 22 November 2007

Wanaume wanatutumiaHivi ni kweli kuwa tunatumiwa? Sio kwamba tunatumiana?

Hembu tusaidiane kuondoa hii zana ambayo kwangu mimi naona ni ya kizamani hasa ukitilia maanani swala la usawa ambao wanawake tumekuja juu kweli kweli karne hii.


Unapoanza uhusiano wa kimapenzi na mtu ni wazi kuwa mnakwenda ku-share kila kitu kuanzia pumzi, mapigo ya mioyo, mwili na ikikaa vema basi mpaka maswala la uchumi na kila kitu kinachohusu UHUSIANO wa KIMAPENZI.

Kwa wanawake wengi tunapokuwa ndani ya mahusiano na kwa bahati mbaya uhusiano huo ukafa kwa sababu zozote zile iwe ni mapungufu uliyoshindwa kuyavumilia au yeye kashindwa kuvumilia mapungufu yako n.k. utakuta jamii au mwanamke mwenyewe anadai kuwa "Hashim" alikuwa namtumia/ananitumia.


Kwanini basi isiwe "tulikuwa tunatumiana", manake kama ni swala la kufanya mapenzi nyote wawili mlifanya kwa kukubaliana na bila shaka nyote mkafurahia.


Ikiwa ni kusaidia shughuli za ndani au kiuchumi hiyo ilikuwa "choice" yako kwamba hukulazimishwa kufanya hivyo bali ulifanya kama sehemu ya mapenzi yako kwake......sasa swala la "alikuwa nanitumia" huwa linatoka wapi?


Nimejaribu kufanya uchunguzi wangu wa kienyeji na nimegundua kuwa hii inatokana na jamii ya wanawake kutegemea mambo fulani kutoka kwa mpenzi wa kiume na mambo hayo ya sipotimizwa basi anahisi "katumiwa".


Tujadili hili tafadhali.
ty.

Tuesday, 20 November 2007

Nyeto kwa Wanawake

Leo hebu tuzungumzie swala la kujichua, kuna wasomaji wangu walikuwa wakitaka kujua na baadhi wakauliza jinsi ya kujichua.

Kujichua a.k.a kujichezea a.k.a “a little help from ur hand” (kupiga puri au punyeto sounds manly) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake tufanya hivyo ila wengi wetu huwa hatuko “comfortable” kulizungumzia au kukili kuwa tukizidiwa huwa tunajisaidia…….wakati mwingine mtu unashindwa kabisa kupata usingizi mpaka upige moja-mbili ndio usingizi unakuja au asubuhi unajisikia mzito kuamka kitandani mapaka upige moja ndio nguvu zinakuja…hasa kama umezoea dozi za maana lakini sasa mpenzi hayupo karibu.


Kujichua au kujichezea ni njia pekee ya kujifunza kufika kileleni, kuujua na kuuelewa mwili wako na kujua utamu wa ngono ukoje(incase hujui utamu huo ukoje). Kwa kujichua utajua jinsi kutoa na kupokea raha ya kufanya mapenzi na mpenzi wako, utasaidia ngozi yako kuwa nzuri na laini (mambo ya Urembo hayo) na vilevile utajua jinsi ya kuzuia (kuchelewa kwa makusudi kufikia mshindo) au kumsubiri mwenzio ili mfike pamoja, hakuna raha ya kufanya mapenzi kama kufika kwa wakati mmoja.


Unajua kuwa kujichua ni njia pekee itakao kufanya uujue mwili wako na hivyo itakuwa rahisi kwako wewe kumuongoza mpenzi wako afanyie kazi mahali gani wakati mnashughulikiana.


Kumbuka tu kuwa hakuna kanuni ktk kufanya mapenzi kana ambavyo baadhi ya watu hudhani kuwa unaanza na kubusu, unalamba masikio, unabusu shingo kisha unanyonya chuchu…akilegea kitu na box……hapana kila mtu ananamba zake na huanza kuzihesabu kutokana na alivyo sio lazima uanze mwanzo 0, 1,2,3 ili kufika namba 10, unaweza ukaanza kati ukamalizia kati kwamba unaaza na 4 ukaishia na 6.


Huenda tayari wewe unajua jinsi ya kujichua bila kuelekezwa na mtu “thumb up 2 u” lakini kumbuka kuwa kuna watu hawajui au wanaogopa kutokana na sababu zao tofauti kama vile kuwa bikira, Uoga kutokana na imani kuwa ukizoea unahishiwa na hamu, unapata Saratani, n.k.


Kujichua kwa wanawake ni kitu kigeni kwa baadhi yetu tofauti na wanaume, huenda ni kutokana na swala zima la kulinda “utandu” a.k.a bikira kwamba tulikuwa tukifundishwa kujimwagia maji ili kuondoa shombo ya mkojo na sio kujishika-shika huko kunako Uke.


Wanawake huwa tunajifunza kuijua miili yetu pale tunapoanza mahusiano ya kimapenzi au kushiriki ngono, kwamba baada ya kushikwa titi ndio unajua alaa kumba nikishikwa chuchu huku chini nako kunaitikia (pata unyevu)


Lakini kwa wanaume ni jambo la kawaida na wao huanza mapema sana kuijua miili yao, nadhani hujua hata utamu wa ngono kabla hawajaanza manaa’ke wenzetu huanza kumwaga wakiwa wanaelekea balehe au ktk kipindi hicho (Kaka zangu nikosoeni kama nimetereza hapo).

Tofauti za kujichua kwa wanawake walio kwenye mahusiano au tayari wamenza kushiriki ngono.

1)-Kwa kutumia kidole kuchezea kisimi na maeneo mengine ya Uke wako (kwa wale wanaoshiriki ngono sio bikira)

2)-Kusugua kisimi ukiwa umelalalia tumbo, ikiwa kisimi chako kimejitokeza it works better na unaweza kujichua ukiwa na nguo zako….vinginevyo unaweza kuweka kifundo cha chupi yako au aina yoyote ya kitambaa laini juu ya ikisimi chako kisha ukaanza kujichua kwa kuzunguusha kiuno au ku-move huku na huku.

3)-Kwa kutumia sanamu….

Jinsi ya kujichua kwa kutumia kidole(sina uzoefu na dildos);

Ili kuondoa uoga na kujua ni kitu gani unaenda kukichezea ni vema basi ukatafuta muda na kukaa mbele ya kioo kisha anza kujiangalia huko chini….ndio jichungulia uone mashavu yalipo, kisimi kilivyo, rangi yanje na ndani, sura ya uke wako kwa ujumla, jaribu kukaza kisuli ya uke uone uke wako unavyoitikia n.k.

Sasa jilaze chali, anza kujishika-shika (akilini ukifikiria Bwana Feruzi anakushika), nenda kwenye matiti yashike vile unapenda ushikwe, taratibu fikicha na kupitishakidole chako kwa “speed” juu chuchu zako mpaka utakapo hisi zimesimama na kuwa ngumu……kwa vile mishipa ya kwenye matiti iko-connected na viungo vya uzazi basi utahisi unyevu huko chini na nyege zitaanza kuibuka polepole.

Relax misuli ya uke wako na taratibu gusa kisimi chako kwa kidole cha kati (kile kirefu kuliko vyote), kizunguushe kidole hicho pale juu ya kisimi kwa muda kisha shuka chini na utaguza ule unyevu…..rudi tena kwenye kisimi na endelea kukichua taratibu na utaanza kuhisi kautamu Fulani hivi hali itakayo kufanya uanze kukaza misuli ya miguu na matako.

Pia utahisi unataka kuongeza mwendo (speed ya kidole chako) ili kufurahia zaidi endelea na speed yako, kaza misuli wee huku ukimfikiria mpenzi wako umpendae mpaka utakapo fika kileleni (kilele cha kisimi).


Jinsi unavyozidi kujichua ndivyo utakapo kuwa na hamu ya kuujua zaidi mwili wako na siku nyingine basi anza kama nilivyoeleza kisha ingiza kidole ndani ya uke, jichue huko ndani….jaribu kubana misuli ya uke wako na utahisi kama kidole kinanyonywa na uke (wanaita K mnato) sasa mnato huo utakao uhisi kwenye kidole chako ndio mpenzi wako huwa anahisi ikiwa utabana misuli ya uke wakati mnafanya mapenzi.


Faida za kujichua/chezea:-
1)Kuujua mwili wako na kujiamini zaidi linapokuja swala la kungonoka(fanya mapenzi)
2)Kuongezeka kwa hamu ya kufanyamapenzi kwa vile utakuwa unajua utamu wake.
3)Kujua “vipele vyako viliko”.
4)Kutokuusaulisha mwili wako ikiwa uko nje ya uhusiano au umeamua kuwa single kwa muda.
5)Kuepuka mimba na maambukizo ya virusi vya UKIMWI na magonjwa mengine.

*Kama kuna faida nyingine unaijua basi si mbaya kama utachangia hapa.

Madhara ya kujichua/chezea:-
1)Sijawahi kushuhudia wala kusikia tatizo lolote kutokana na kujichaua kiasili.

2)Kujichua kwa kutumia sanamu a.k.a Dildos ni kusamburuka kwa nyama za nyeti zako(inategemea na aina ya sanamu), kupoteza hisia za uume halisi kutokana na kuzoea “dubwana” hizo, kifo kutokana na “shock” ikiwa unatumia ya umeme, vilevile saratani ikiwa unatumia vilainishio ili kurahisisha “dubwana a.k.a toy a.k.a Dildo” kuingia.

Ikiwa kuna madhara mengine unayajua kuhusiana basi ni vema ukachangia hapa

Ty.

Sunday, 18 November 2007

Kumradhi!

Kutokana na matatizo yaliyo juu ya uwezo wa BR tumeshindwa kurusha matangazo ya moja kwa moja. Tutaangalia utaratibu wa kufanya hivyo ktkt ya wiki na hopefully mambo yatakuwa poa.

Pole kwa usumbufu ulioupata.

Bofya hapa uburudike kwa sasa ei,
Stay tuned.
Lots of love!

Thursday, 15 November 2007

Ufanyaji wa 1-10

Kama unakumbuka ktk moja ya makala yangu huko nyuma (awali) niliwahi kugusia "style" (mtindo) ya 1-10. Hii ni maalumu kabisa kumtesa mpenzi wako "in good way" mpaka atoe machozi ikiwezekana. Pia inasaidi wewe mwanamke kuusikilizia ule utamu wa mwanzo wa uke na wakati huohuo ule kipele G kama unacho na unajua kukilingesha.

Huwa inanoga (tamu zaidi) ikiwa hamjaonana kwa muda mrefu, ulikuwa au alikuwa safari sasa wote mnaminyege lundo.

Jinsi yakufanya.
Baada ya kulambana na kilakitu kinachohusu kinachofanyika awali......Mlaze mpenzi wako (mwanaume) chali kisha hamia juu yake, usiruhusu uume uingie na badala yake tumia sehemu yako ya nje ya uke a.k.a lips/mashavu kupitisha (kulamba) mboo ya mpenzi wako.

Mpenzi wako atajiinua akitaka kuingiza, akifanya hivyo mkwepe kwa kuinuka juu zaidi na wakati huohuo mnong'oneze atulie kwani wewe ndio mtendaji mkuu wa siku hiyo.

Baada ya kuridhika na "mlambo" kwa kutumia sehemu ya uke wako, sasa jiweke kama vile utataka kumpa "ride" na ingiza uume wa mpenzi wako lakini hakikisha kichwa tu ndio kinaingia.

baada ya kichwa kuingia, jipeleke juu kiasi na kurudi chini bila kuruhusu uume kuingia zaidi yakichwa...fanya hivyo huku unahesabu 1, 2,3,4,5,6,7,8,9 na ya kumi ukalie wote (ruhusu uume uingie wote) mpaka mwisho.

Alafu rudi tena juu na ishia kwenye kichwa kama nilivyosema awali lakini sasa nenda juu mara 8 na kuruhusu mboo iingie mpaka mwisho mara mbili(yaani nenda mpaka mwisho mara ya tisa rudi juu then nenda mapaka mwisho mara ya kumi).

Enedelea kufanya hivyo mpaka utakapo fika mahali unaingia mpaka mwisho mara kumi.....kitu ambacho sidhani kama utakumbuka kutokana na utamu au utakatishwa na mwenzio kumaliza haraka.

Kila la kheri.

Condoms!

Inaonyesha watu wengi ama ni wavivu au hawatilii maanani matumizi ya Condom. Tukizungumzia kinga bora ya magonjwa ya ngono na mimba sizizotarajiwa hii bidhaa inashika namba moja.

Condom haidhuru mtu yeyote kama zilivyo kinga nyingine za kuzuia mimba ambazo huwasababishia mateso makubwa sana wanawake na wakati mwingine kuwabadilisha kabisa kiakili na kimwili.

Sikatai kila kitu kina side effects zake, lakini jamani nani amewahi kuugua kwa sababu tu katumia Condom?

Tatizo ni kwamba baadhi yetu tunapenda kuifikiria Condom in negative way lakini kama tukiifikiria in possitive way hakika hakuta kuwa na Watoto walizaliwa "kwa bahati mbaya" na maambukizo ya UKIMWI yangepungua kama sio kuisha kabisa.

Unatakiwa kujaribu aina tofauti za Condom ili kujua ipi inakufurahisha(tamu) zaidi....n.k.

Kuna tofauti ya rangi, radha, ulaini(hizi mpya ukivaa ni kama hujavaa kitu vile), kuna za vipele, kuna nzito zaidi kwa wale wanaotoka na wadada/kaka walioathirika (lakini hawajui) au kwa mara ya kwanza(hamfahamiani vema) n.k.......so hakuna kisingizo cha kutotumia Ndomu hapo ei.....

Test! (kuna kitu nilikuwa najaribu tu)

Seriously; nikija nitaelezea hili kwa urefu na mapana.......

Monday, 12 November 2007

Haki yako katika kufanya mapenzi.


WATU wengi (hasa baadhi ya wanaume) ama hawajui au hawajali ni kitu gani wenza/mwenza wake anataka kufanyiwa au akifanyiwa kitamsisimua (Turn on) hata kama amechoka sana.

Uchunguzi unaonyesha kuwa Wanaume wengi hasa kutoka nchi za Kiafrika hujali zaidi kumaliza hamu zao za mwili na kamwe hawajali kama wenza/Mwenza wake yuko tayari au la!.


Mf: Inasemekama baadhi ya Wanaume wa Kiafrika ambo ni wakubwa kiumri (wazamani), au wale ambao wanathamini sana jadi zao asilia ndani ya Afrika, kitu cha kwanza watakacho kuambia mkiwa chumbani ni “njoo hapa" au "vua nguo basi” na kisha utavamiwa kabla hata wewe mwenyewe hujawa tayari na unalazwa chini kama sio unawekewa uume mbele ya uso wako.......halafu watu mnashangaa kuambiwa "mume wangu alinibaka".


Mfano huo unaonyesha ni kwa jinsi gani baadhi ya wanaume wanavyojipendelea(wabinfsi), na mara zote huweka akilini mwao kuwa wanawake/mwanamke ni chombo cha kumridhisha / kumstarehesha/ kumfurahisha na kumliwaza yeye “mwanaume”.

Napenda kusema kuwa mwanamke kama mwanadamu pia anahaki ya kuridhishwa, kustareheshwa, kufurahishwa na kuliwazwa pia.

Dhana hiyo potofu (niliyoelezea hapo juu) imepelekea baadhi ya makabila kuendeleza mila za kuwakusanya wasichana ktk umri wa kuvunja ungo (mwali) na kuwafundisha jinsi ya kuwaridhisha mwanaume kimapenzi “ hao wana bahati”.

Lakini kwa wale (akina mimi) ambao hatufuati/hatuna/hatuzijui mila hizo tumekuwa tukifuatilia kwa makini na kuamini kila kinachoonyeshwa kwenye “Video” ailimradi tu kiwe kinahusu jinsi ya kumridhisha mwanaume kimapenzi.


Inasikitisha sana kuona pia baadhi hufuatilia hatua kwa hatua kila kinachoandikwa kwenye Magazeti na baadhi yao huamua kutafuta “Kungwi” na kulipishwa ili wapatiwe ujuzi wa kufanya mapenzi ili kuwaridhisha wapenzi wao.


Ninavyofahamu mimi ni kuwa , ujuzi, utundu katika kufanya mapenzi haufundishwi hata kidogo ila ni ubunifu wako, kujaribu, kuujua mwili wako na wa mpezni wako, ufurahiaji wa mwili wako, kujiamini kwako, uwazi na ushirikiano wa mpenzi wako.


Ni vema jadi ikabadilishwa na swala zima la kufundishwa/fundwa liwe kwa jinsia zote mbili. Wake kwa waume wafundishe jinsi ya kuridhishana, jinsi yakufurahia na yale mambo muhimu ya mahusiano ya kimapenzi iwe ni ndoa au maushiano ya kudumu nje ya ndoa.

Pia ni vizuri utambue kuwa unapoamua kufanya tendo la Ndoa au Ngono ni vyema ukajua mahitaji ya mwenzio iwe mwanaume/mwanamke, jaribu kufamnyia Mwenza wako kitu/vitu tofauti na alivyokuwa akitarajia/alivyozoea ni vizuri zaidi na kutamfanya aendelee kuwa na hamu ya kuwa na wewe kwa muda mrefu “usipigwe kibuti” kwa vile unamjulia.....yaani unajua vipele vilipo na unavikuna vilivyo.

Nakutakia mwanzo mzuri wa wiki.

PS: Ni mada niliyoizungumzia jana Live on Bongo Radio.
Ty.

Friday, 9 November 2007

Je uliyajua haya?
Kwenye somo la Historia tulijifunza mambo mengi yaliyopita ili kujua/kutambua tulipo sasa na wapi tunakwenda sio kung’ang’ania au kuamni yaliyofanyika huko nyuma (past)…Mfano mfupi ni kuwa ktk maisha yaliyopita (Historia) lazima kuna mambo ulifanya ukafanikiwa na mengine ulijaribu lakini hukufanikiwa au uligundua kuwa ni makosa(ktk mahusiano) hali itakayokufanya uumie, kasirike, kukosa raha na pengine kutoamini tena ktk mahusiano ya kimapenzi.


Unachotakiwa kufanya hapa ni kujifunza kutokanana makosa na sio kujilaumu pia kuna msemo wa kizungu unadai kuwa “Every single moment is a new opportunity for a fresh start”.


Kwenye somo la Sayansi tulijifuza Physics”, “Biology” na “Chemistry”….kwenye uhusiano wowote “Chemistry” (hisia zenu kulingana a.k.a chemical reaction) ni kitu muhimu sana, mkanganyiko wa hisia kati yenu (elements) zikiendana vema zinaweza kusababisha mlipuko wa penzi la kudumu yaani lile la kweli na lisilo na mwisho.


Tukio hili hutokea papo kwa hapo kwamba unakutana na tu, mnazungumza bila ninyi kujijua Sayansi inasababisha “ chemical reaction” ktk pembe zote muhimu kama mazingira mliopo kwa wakati huo, Imani zenu, malengo yenu ktk maisha, vitu mnavyopenda kufanya/furahi kuvifanya (interests), majukumu, Elimu, matarajio n.k.


Katika somo la sanaa tulijifunza matumizi ya “karamu ya mkaa” , kifutio na rangi. Pia tulijifunza jinsi ya kuwa wabunifu na kutumia vema akili yako ktk kufikiria ikiwa tunataka kutoka na mchoro bab-kubwa, vilevile tulijifuza kuchora bila kukandamiza ili iwe rahisi kufuta mara tu tunapokosea kuchora sio?


Hali kadhalika kwenye uhusiano wowote unatakiwa kuwa fanya hivyo kwamba ni lazima uwe utengeneze msingi kwanza (tumia karamu ya mkaa kabla hujapaka rangi) mbunifu(pangilia rangi ili mchoro wako upendeze), mwenye uwezo mzuri wa kufikiria (tumia akili kabla hujaamua nini cha kuchora) na kutokuwa muoga wa kujirekebisha ikiwa umekosea(matumizi ya kifutio)…..kwa kufanya hivyo utakuwa ktk nafasi nzuri ya kuishi na watu ktk mauhisano yoyote iwe ya kikazi, kifamilia au kimapenzi.


Somo la michezo ni muhimu sana, nakumbuka miaka ile nasoma tulikuwa tunakipindi cha masaa 2 kufanya michezo mbali-mbali kama vile kuruka kamba, kukimbia, mpira wa miguu n.k. Michezo hii ilikuwa inaboresha uhusiano wetu kama wanafuzi hasa linapokuja swala la mashindano ya Wilaya au Mkoa na shule yako inashiriki.


Lakini vilevile michezo (mazoezi) ni sehemu muhimu sana ktk kutuongezea kujiamini kwetu(kimuonekano),kujiamini kisaikolojia (self-esteem), kutupunguzia mawazo yatokanayo na ugumu wa masomo au ugumu wa maisha (stress), kutufanya tuwe na afya njema, kuwa wenye furaha na bila kusahau kukuongezea hamu, nguvu, kuondoa uchovu na kuwa “flexible” linapokuja swala la kufanya mapenzi.

Nakutakia mwisho mzuri wa wiki na asante kwa ushirikiano wako.


Monday, 5 November 2007

Somo la mapenzi ambalo mwalimu wako hakukufundisha!


Hivi unajua kuwa watu tunatumia muda mwingi kufikiria kuhusu mahusiano? kwamba unatamani ungekuwa kwenye uhusiano ikiwa huna mwenza, ungekuwa nje ya uhusiano ulio nao kwa sasa kwa vile huna raha, ungebaki kwenye uhusiano uliouacha kwa sababu bado unampenda mpenzi wako au kuboresha uhusiano ulio nao ambao unaelekea kubaya.


Mahusiano yanachukua/gharimu sehemu kubwa sana ya muda na nguvu zetu, mahusiano ni muhimu ktk maisha yetu, mafanikio yetu, furaha/raha zenu. Mahusiano yanagusa kila kona ya maisha yetu kuanzia kazini, nyumbani, familia na mapenzi.

Uhusiano wenyewe unamaana kuwepo pale kwa ajili ya mwenzio, kuchangia na kusheherekea undani wa furaha ya ajabu na ya kipekee mioyoni mwetu (nani anataka kuwa mpweke jamani eeeh?).


Nyumbani na kwenye familia uhusaino unamaana kufurahia ukuaji wenu, ukaribu wenu, kupena matumaini, kukosoana, kurekebishana, ushirikiano wenu n.k.


Kazini/Shuleni uhusiano unamaana kusaidiana, kurekebishana, kupena matumaini, kukosoana, kupongezana yanapookea mafanikio n.k.
Kwenye mapenzi uhusiano unamaana kusheherekea “u-mutual”(nipe- nikupe), kupeana mapenzi yasio na kikomo, kushirikiana kila kitu kuanzia mate mpaka miili yetu, kukosoana, saidiana, rekebishana, jifunza n.k.


Kitu kinachonigusa kuhusu mahusiano ni kuwa hatukufundishwa tulipokuwa shuleni japo kuwa tulihitaji sana kujua jinsi ya kuanzisha uhusiano mzuri na wakudumu kwa muda mrefu ktk maisha yetu, yaani kama vile tulivyofundishwa Kiingereza, Hisabati, Historia, Sayansi, Sanaa na Michezo (well wangefundishaje wakati wao wenyewe hawajui).


*Kwenye somo la lugha ya Kiingereza kuna neno "Elation" ambalo linamaanisha furaha na ni mzizi wa kile ninachokizungumza hapa ambacho ni uhusiano (rELATIONship).


*Kwenye somo la Hisabati tulijifuza “Eros Equation”….unakumbuka? Sasa basi maana nyingine ya neno Eros ni upendo/mapenzi, na mapenzi ndio kiungo kikubwa cha mahusiano yetu. Ngoja nikupe mfano wa somo hili ambalo nilikuwa sio mzuri sana,

Find solution;
Tukio(mapungufu yake)+Unalichukuliaje (unafikiria nini cha kufanya)= Suluhisho (uzoefu wako, mapenzi yako, uoga na furaha yako).


Hapa unachotakiwa kufanya ni kutafuta suluhisho kwa kutumia kanuni ya MAGAZIJUTO…..Ondoa mabano, gawanya, zidisha, jumlisha kisha toa…ili uweze kufurahia uhusiano wako na kuongeza mapenzi kwa mpenzi wako.


Nitakuja kumalizia swala la uhusiano kwenye somo la Historia, Sayansi, Michezo na Sanaa.....sinauhakika na somo la siasa.


Nakutakiwa mwanzoo mwema wa wiki.


Ty.