Hii ni kutokana na maombi mengi ya wasomaji wangu…..
Shanga ni topic tata sana kwangu kwa vile sina uzoefu nayo na kila ninapojaribu kuuliza watumiaji au wavaa huwa hawanipi majibu mazuri na yakuridhisha. Wanaume watakuambia wanapenda tu na wanawake watasema wanaume au wapenzi wao wanapenda wao wazivae.

Rafiki yangu wa Kighana alitoa maelezo ambayo nadhani yalikamilika japo hakugusua umuhimu wake kwenye ngono….aliniambia kuwa huko kwao Shanga ni muhimu kuonyesha kuwa wewe ni mwanamke wa shoka au uliyekamilika.
Ikiwa mwanamke huvai Shanga basi unaonekana hufai na hakuna mwanaume atataka kutoka na wewe/kuchumbia only kwa vile huna shanga kiuoni……hivyo wanawake wote wa Kighana wanavaa shanga no matter how beautiful, educated au westnized they are.
Turudi Nyumbani……nakumbuka niliwahi kumuuliza mama yangu (wao wanavaa shanga) faida ya shanga na yeye akanijibu kuwa ni kama sehemu ya “romance”….nikauliza ni sawa sawa na kubusu au kushikana?
Akajibu “ndio”…..nikauliza inawezekanaje mtu asisimke kutokana na kuziona shanga tu au kuzishika-shika tu? Akanijibu kuwa “mwanaume anapozichezea humpa mwanake mtekenyo furani ambao hufamfanya ajisikie raha na hamu ya kungonoka (nyege) huanza kumpanda”.
Mimi kama Dinah nikahisi kuwa mwanaume anaetegemea kuchezea shanga ili mwanamke “anyegeke” atakuwa hana utundu wa kutosha wa kutumia mikono na vidole vyake ktk kuuchezea mwili wa mwanamke hasa ukizingatia kuwa mwanamke “hanyegeki” kwakuchezewa na vidole kiunoni tu bali kona nyingi ktk mwili wake
Uvaaji wa shanga kiunoni ni moja kati ya tamaduni zetu waafrika, nakumbuka katika jamii ya Wanyamwezi (nadhani na Wasukuma pia as far as I remember miaka hiyo niliyoishi kona hizo za Tz ) shanga zilikuwa zikivishwa mtoto wa kike kiunoni na yule wa kiume alivalishwa kijikamba/uzi mweusi ambao huwa na vipande vidogo viwili au vinne vya mti akiwa mdogo.
Ssina hakika kwanini ilikuwa hivyo ila nakumbuka niliwahi kuambia kuwa vijiti vile ni kumlinda mtoto dhidi ya malaika wabaya (kama ilivyo kwa tamaduni nyingine kuwapaka watoto wanja ili watishe) na shanga ni kuonyesha kuwa mtoto ni wa kike.
Mtoto napofikia umri Fulani vikorokoro hivyo huondolewa na binti huvalishwa tena pale anapokua (vunja ungo/balehe), kule kwetu kila rangi ya shanga huwa na maana yake nikiwa na maana kama binti ni Bikira anavaa rangi Fulani, kama uliolewa ukaachika wavaa rangi Fulani, kama umeolewa wavalishwa rangi husika, kama siku hiyo wataka kufanywa (unanyege) basi wamvalia mumeo rangi husika,ikiwa ni mjamzito pia unapaswa kutuma ujumbe kwa kumvalia mumeo rangi fulani (ilikuwa mwiko kungonoka na mtoto tumboni) kama uko hedhini basi utalazimika kuongezea rangi nyekundu juu ya ile uliyonayo.

Itasaidia kama watakuja na rangi inayoashiria kuwa mtu kaukwaa a.k.a ana ngoma a.k.a UKIMWI.....wewe unaonaje?
Ilikuwa ni mwiko kuachia shanga hizo zionekane au zionwe na watu wengine ambao hauko karibu nao kama mzazi, mume, kungwi (shangazi au bibi) n.k. tofauti na sasa ambapo shanga huvaliwa kama mtindo na huning’inizwa hovyo bila kujali maana au ujumbe unaotumwa na rangi za shanga wazivaazo.
Ni wazi kuwa wanawake hawa wanaojivalia shanga hizo na kuzionyesha hovyo huwapa wakati mgumu watu au jamii ambayo inathamini nakutunza utamaduni halisi wa mwanamke kutilia shanga kiunoni na maana ya rangi husika.
Baadhi ya watu huwadhania wanawake wanaovaa shanga ovyo ni wapenda mambo ya ngono……hivi kuna mtu hapendi ngono hapa Duniani?
Bila ngono si dhani kama mimi na wewe tungekuwepo, ngono ni muhimu ktk maisha ya mwanadamu…..au jina lake ndio linawatisha watu? Haya basi tuseme kukutanisha na kuingiza uume ukeni…..bado halijakaa vema….kufanya mapenzi….aaah kufurahia utukufu na uumbaji wake mwenyezi Mungu.
Swala muhimu hapo sio kuwashutumu na kuwahukumu wavaaji hao wa shanga bali ni kuwaeleza kwa uwazi swala zima la shanga……tuache utamaduni wa kubana-bana yale tuyajuayo ili sote tubaki kwenye mstari na ikiwa moja kati yetu atatoka mstarini at least atakuwa anajua nini anafanya au niseme ujumbe gani anaufikisha kwa watamzamaji wa shanga hizo.
Hii yote inatokana na wakuwa (bibi, shangazi, mama) ktk jamii kujisahau na kung’ang’ania mijini na kushindwa kuwatambulisha watoto wao tamaduni za huko watokako (asili yao) hivyo wanakuwa hawajui au wanajifanya “wazungu” na kutofuata tamaduni na badala yake wanafanya watakavyo…..
Mimi nimezaliwa Jijini Dar ila kule kwetu (asili yangu) wanavaa shanga na ninajua mambo mengi kuhusu tamaduni ya kwetu ikiwa ni pamoja na kutambulishwa maana halisi ya shanga na rangi zake……lakini mimi kama mimi sivai shanga sio tu kutokana na mtindo wangu wa mavazi bali pia sivutiwi au sijisikii vema ikiwa nitavaa shanga au hata nikiziona (hasa lundo) zinaning’inia kwa mtu mwingine (kama hiyo picha hapo juu) huwa naona ka’ uchafu vile….kama ni kijiuzi kimoja cha shanga au cheni poa ili kuongezea/ziba "kizugaji" uwazi fulani wa vazi lako if u know what I mean.
Bofya hapa… kisha kong’oli kwenye “comments” utakutana na maelezo ya dada mmoja ambayo yanaweza kukusaidia.
*Wewe mwanaume kwanini unapenda mpenzi avae shanga kiunoni? Unazitumia vipi zikiwa kiunoni na zinakufanya ujisikie vipi?
*Na wewe mwanamke ikiwa unavaa shanga mpenzi wako huzitumia vipi wakati wa kufanya mapenzi?
Kumbuka hapa sote tunajifunza hivyo maelezo yako ya uwazi yatasaidia sana watu wengine hasa wale wasiojua utamaduni wa shanga na maana yake halisi.

Ty.

8 Wamechangia Mada, bonyeza hapa kwa mchango wako.:
Mimi ni mwanaume. Post yako kuhusu shanga imenigusa kwa namna moja ama nyingine. Kwanza najiuliza, kwa nini nitumie vitu artificial kumtia nyege mwanamke wangu? Shanga, dhakari za bandia nk, naona visipewe nafasi kwenye mapenzi na ngono. Kama watu wanashindwa kutiana nyege kwa asili inamaana kuwa hawapendani hivyo waache kujamiiana.
Mimi navaa shanga kwa vile ni sehemu ya utamaduni wangu na kwabahati nzuri nimeolewa na mwanaume ambae ni kabila moja na mimi. Nawashauri wanawake wanaopenda kuzivaa shanga wazivae kufuata maana na sio kurudika na kuyaonyesha mashanga nje nje inatia kinyaa kwa kweli na pia inashusha thamani na maana yake.Shanga zinafichwa kama tarehe au siku yako ya hedhi. Watu wengine hawapaswi kujua umevaa shanga isipokuwa mpenzi wako.
Kuna wakati nilikuwa nafikiria kuandika erotica based on the Swahili culture lakini nikaona kufanya research itanichukua muda. Sasa naona nimeshapata mwalimu ... lol ...
Tafadhali karibu uone hadithi zangu - http://saharasoulfood.wordpress.com/2007/08/04/tales-of-a-thousand-words/ - na pia kutoa maoni yako.
Nskutakia mwaka mpya mzuri.
Aksante sana!
Sandie.
I had a very very heated argument wit my mrs about hii ishu. Nilijaribu kumwelezea kwamba rangi inacheza sana ukiwa unavaa shanga. Kaniuliza nilijuaje (hivi akiniangalia na kijicho kwa upande). Mie nakumbuka when i was about 12 yrs i was at my neighbours, 4 ladies of very serious umbea ishus, discussing it. Did not know about the colour types and times they are worn and of course @ the time did not pay attention to what was being said. Thank you very much. ( Now im off to have another argument knowing very well i will win Lmao!! Lmao !! )
shanga ni poa kwa mimi mpenda dog style, mkono wangu wa kushoto huzishika, na wa kulia una smack kwenye tako,
am always feel like a dog owner...
mandingo in da house..
NOTHING SPECIAL ZAID YA KUWA CHACHANGU NI SAWA NA MT ANAPOKATA KACHUMBALIAU WENGINE WANATIA NDIMU KWENYE MCHUZI NK.....
Shanga ni namna ya kupeleka ujumbe kwa njia ya asili. Zamani wanawake hawakuwa open kama zama za hizi sasa, na kulikuwa na njia mbali mbali za kupeleka ujumbe kwa wanaume/mwanaume husika mojawapo ni shanga. Kulingana na rangi, kama kazi ya kanga vile, kwani nazo kwa wenye kujua maana rangi zake hufaliwa kulingana na ujumbe unaotaka kupelekwa. Mwanamke aliye kwenye hedhi atavaa shanga nyekundu ili kupeleka mesage kuwa she is not reachable siku hiyo! Tena atavaa na kanga yenye rangi nyekundu, siku ikiisha atavaa kanga zenye rangi nyeupe na kubadili shanga zake kuwa yuko tayari.
Vile vile kwa makabila mengine kama wamasai kuna shanga special ambazo mwanamke atamtengenezea mpenzi wake na kumpa azivae shingoni kuonyesha ishara ya mapenzi mara nyingi huwa fupi na zina rangi nyeupe zaidi, na mapenzi hayo huelekea kwenye ndoa. So tusidharau shanga kwa sababu hatujui maana yake. Hivi hamuoni wamasai wanaume wanavaa shanga??
Na nyingine ni urembo na kweli ukizivaa zinapendeza sana lakini pia kwa desturi na mila za kiafrika si vizuri kuzionyesha barabarani, imagine mtu anakuona msichana yule kavaa shanga nyekundu na anajua maana ya shanga nyekundu.
crap shanga zinaongeza fungus kiunoni na joto la dar, akuh
Post a Comment