Sunday, 28 October 2007

Tofauti za utamu wa ngono kwa wanawake.


Kama unakumbuka ktk moja ya makala zangu niligusia kuwa nitakueleza tofauti za utamu wa ngono/mapenzi.

Kwa bahati nzuri wanawake tuna maeneo 5 ambayo hutuwezesha kusikia utamu wa kufanya mapenzi/ngono tofauti na wanaume (nikosoeni kama mnaeneo zaidi ya moja kaka zangu).

Sehemu maarufu ni kisimi na G spot(mimi huita kipele G) lakini kuna eneo lingine linaitwa AFE ambalo liko mwishoni kabisa mwa uke na vile vile kuta za uke bila kusahau mwanzo wa uke.

Mwanamke unaweza kufurahi/kupata utamu wa tendo hili takatifu kwenye maeneo yote hayo ikiwa mpenzi wako anajua kuwajibika (sio kufanya kwa muda mrefu tu bali kujua kucheza na kiungo chake a.k.a uume) pamoja na utundu wake pia wewe mwanamke unatakiwa kuwa wazi na huru kumuelekeza ikiwa kagusa kusiko au kapatia kunako utamu.

Utamu wa maeneo yote hayo ni tofauti na unazidiana ikiwa umejaaliwa kuupata......mimi binafsi na mshukuru Mungu kuwa na pata raha sehemu zote hizo (huenda ni kwa sababu na penda tendo lenyewe au kwa vile niko huru/sina aibu mbele ya mpenzi).

Tofauti za Utamu wa ngono.

Kisimi-unapopata utamuwa kisimini kwa njia ya kusuguliwa/shikwa/chezewa kwa ulimi, kidole au kichwa cha uume. Utamu wa mahali hapa hupatikana haraka na hufanya usitamani tena tendo hilo kwa muda fulani (3-dk15) na kikiguswa tena hukupa maumivu fulani hivi (inakuwa sensitive) kwa baadhi ya wanawake ndio mpaka kesho tena.

Kipele G-Utamu wa mahali hapa ni wa nguvu sana mwanamke mara zote huzirai kwa muda (kuishiwa nguvu) huchukua muda wa dk20-45 kupatikana, na ukipatikana hamu haikuishii hivyo wakati wewe umezimia mpenzi anaweza kuendelea na mchezo na nguvu zikirudi basi na wewe unaendelea kutafuta goli lingine.

Ikiwa mpenzi anauwezo wa kumaliza lakini anabaki kasimama (dinda) au anajua kujizuia basi unaweza kutandika goli tatu ktk mzunguuko mmoja (hii ni kutokana na uzoefu).

Mwanzo wa uke, nadhani unakumbuka nilielezea siku chache zilizopita...pia utamu wa mahali hapa haukupotezei hamu kwani haufiki kileleni bali unasikia utamu fulani hivi....sasa ukitaka kufika kunako mwisho basi sisukumize ili uume uingie ndanizaidi ili aweze kugonga G au nguzo/kuta za uke...(kwa uzoefu)

Kuta za uke(kona zote kwa ndani), utamu wa eneo hili unapatikana toka mwamzno uume umeingizwa, na kadri mnavyoendelea kufanyana umoto unazidi na hatimae unamaliza(fika kileleni) ila sina uhakika kilele cha kuta za uke kina uhusiano gani na kufika kileleni.....utamu wa hapa haukumazii hamu kwani unaweza kuendelea mara baada ya kufika kileleni as long as mpenzi bado mgumu (kadinda)....(kwa uzoefu)

Mwisho wa uke(ni karibu na njia ya uzazi.....umewahi kufanya mapenzi/ngono na mpenzi wako akagonga mwishowa uke na ukasikia maumivu fulani lakini bado unapenda aendelee na wakati mwingine unaomba afanye kwa nguvu (ili usikilizie maumivu hayo)? Je umewahi kubahatika kufika kileleni (sikia utamu) ikiwa anakufanya kwa nguvu huku ukisikia maumivu?

Kama jibu ni ndio basi huko ndio eneo la "mwisho wa uke", utamu wa huko azimii mtu bali unaweza kutokwa na machozi kama sio kulia kilio cha furaha na maumivu, vilevile lazima utatoa ukelele wa maana sio ule wa kujifanya kumridhisha mwanaume....ukelele wa huko ni "INAUMA lakini TAMU" if u know what I mean.....pia unaweza kutokwa na damu(ni kwa uzoefu).

Utamu wa mahali hapa utakufanya utake zaidi LAKINI hakikisha unamruhusu mpenzi wako kufika huko ikiwa mnaaminiana (mko kwenye uhusiano wa kudumu na msafi kiafya) na uko tayari kuwa mama ikiwa jamaa atatereza na kuachia kidogo kwani ni mlangoni kabisa mwa njia ya uzazi.

Kama ujuavyo huwa naandika on spot(papo kwa hapo), sasa kama nimetereza samahani....nitakuja edit mida mida.

Jali, penda, tunza na thamini utu wako.....tumia condom
Ty.

18 comments:

SIMON KITURURU said...

@Dinah:
Duh!

Anonymous said...

Wewe ni zaidi ya kungwi dinah unajua watu unyagoni tunafundishwa kufurahisha wanaume na wanasahau kuwa na sisi tunahitaji kujijua na kufurahia kama unavyojisemea mwenyewe utukufu.

Dada nakunyooshea mikono na hongera sana kwa hii blog.

Anonymous said...

huu,ni ushauri tu!nadhani ingekuwa vizuri kama mada zako zingefuatana kutokana na jinsia(for both man and woman)mfano mada ya chumvini ingefuatiwa na mada ya kunyonya uume!ili wadau wasisahau,kwani yanaendana kwa wakati mmoja!
keep it up!!

visitor said...

dada nimekubali...
we ni mtaalam nahisi mpenzi wako anainjoy kama invyotakiwa
big up...more articles please

Anonymous said...

kweli kabisa nafurahi sana kwa mafundisho yako yanatusaidia. Jana mpenzi wangu alinicheea kisimi yani nilisikia raha ajabu mpka nikakojoa ni raha!!. Sasa Dinah kama alivyosema mchangiajia hapo juu tupe darasa la kuwastarehesha na sisi wapenzi wetu kama jinsi ya kunyonya uume wao na mengineyo. Thanks.

Anonymous said...

Yani kuchezewa kisimi kwa kweli ni raha sana asikwambie mtu. Tuelekeze mengine ya kuwafanyia wapenzi/waume zetu. Bravo Dinnah!

Betty said...

Dina nimekukubali!Hongera sana na mada zako, Jamani sisi tusioenda unyagoni unatusaidia sanaaaa.Ubarikiwe

EDWIN NDAKI said...

Nimepita..mwaga shule Dinah..

Unadhihirisha bibi alikuwa na ka pihechi diii ka kufunda..

Tupo pamoja..

Anonymous said...

habari dada dina...nakupongeza kwa kazi yako nzuri mada zimetulia ihope km watu wanayatilia maanani ushauri wako basi watakua wanafurahi mapenzi yao..nwy..mi naomba nitoke nje ya mada nina swali naomba unieleze kwa undanii..ni hivi mimi ni binti wa miaka 25 nipo mbali na mchumba wangu ambaye tunapenda sanaa na hatujaonana km 2yrs na huku nilipo sitaki kuwa na mtu mwingine kwa sababu tuu cjatokea kumpenda mtu mwingine hlf sipendi kutangatanga na wapenzi wengi na pia sitaki kumcheat mpenzi wangu ninayempenda na anayenijali sasa kutokana na hivyo nimeanza katabia sometimes nikisikia nyegee huwa naenda bafuni wkt naoga nakua najimwagia maji ya moto kiasi kwenye uuke wangu na kwenye kiharagee hadi nyege zinapopungua..sasa je?kuna madhara yoyote ambayo naweza kuyapata hapo badae kwenye uzazi au sehemu za siri??au ninaweza ikanisababishia hamu ya kufanya mapenzi na mwanaume kupungua?mana nimeanza kuingiwa na uwoga..ni hayoa tuu nitashukuru sana mkinisaidia kwa hilo..
kazi njema!!

KIDUME said...

Dina na mimi ninatatizo kama la huyo dada yaani mimi kila siku lazima nipige musterbation ndio nilale...

Vipi hapo kuna mazara gani kwangu

Dinah said...

Asanteni wote kwa ushirikiano wenu, maoni nitayafanyia kazi na maswali hayo 2 nitayajibu hapa chap-chap.

Hakuna tatizo ikiwa unajisaidia ili kuondoa stress, mawazo na hamu ya kungonoana.

Kutokana na uzoefu wangu, kujichua ni njia nzuri sana ya kukufanya uujue mwili wako na vilevile kuufanya mwili wako kutosahau utamu wa ngono.

Wanawake wengi hujichua ila hawasemi/hawako wazi ikiwa utawauliza swali hili, wanadhani kujichua ni kwa wanaume tu kitu ambacho si kweli kwani sote wake kwa waume tunapata hamu za ngono.

Kujichua hakuna madhala yoyote unless unajiingiza madubwana/sanamu ua umeme na yenye -shape za ajabu huko Ukeni lakini kama unatumia kidole tu utakuwa sawa.

Kujichua ni njia nzuri sana ya kuepuka maginjwa ya zinaa hasa UKIMWI.

Sio lazima ukimbilie bafuni, unaweza kubaki chumbani kwako na ukawa kwenye simu na mapenzi wako na mkafurahia kabisa ukaribu wenu....mihemo, sauti, vicheko n.k.

Nawapongeza kwa kuwa wanawake safi ambao hampendi kujiachia na kuwa na washiriki wengi wa ngono.

Keep on playing mpaka mpenzi atakaporudi/kuwepo karibu.....safi sana.

Anonymous said...

dahh nashukuru sanaaa..dinah..nimekupataaa..hapo umenenaa ulisomea nini au utundu tuu??just kiddin..yeah nikweli mi iyo mitoy sitaki ht kusikiaaa..maana nasikia unaweza kuaddicted nayo..na pili sipendi tuuu..hainibariki....bora niendelee na shower yangu..hehe..great job dina!!

Anonymous said...

kama ni BSS basi mi ni RITA ningesema wewe unaweza na una kipaj cha ajabu natumaini mumeo kama si hawara yako unampa haki yake mama ,,mi sisemi jinsi anavyoumia

Mroki said...

Ninatoa shukrani kwa muandazi wa blog hii maana nilikuwa sijawahi kuipitia.
Hongera kazi nzuri jitahidi ukitaka vitu flani zaidi tuwasiliane nitachangia hasa katika mada za kina bab kuwastarehesha wake zao. By Father Kidevu

kelvin said...

asante sana dada dina unanibaliki mimi nina swali moja ninachoshindwa kuelewa ni hicho kipele G ni nini hicho unaweza kunifafanulia hata kwa mchoro basi ili nielewe napenda sana kuelewa asante big up b shost

Anonymous said...

du mimi sina la kusema du watu kumbe mnejua mambo hivi.

Anonymous said...

kwa kweli dada wewe ni mtaalam wa kweli,kadiri nilivyo soma,nimeona ya kuwa wewe unasaidia jamii,na kama ninge weza kuwasiliana nnawewe basi,ninge weza kukutumia zawadi,na pia naomba unieleweshe-
hicho kipele(G)na kinapatikana wapi
au kina gani?thanks

Anonymous said...

Mm ni mwanaume nina miaka 25. Daaa! Aisee kwa kweli nimekukubali dada'ngu Dinah! Maana kiukweli kuna watu huwa wanapata shida sana kwenye suala la mapenzi na pia mm najua kwamba chanzo kikubwa cha watu kutoka nje ya ndoa zao ni kutokana na kutokuwa na ujuz ktk suala la mapenz kwani watu wengi sana huwa wanadhani kuongelea/kujadiliana kuhusu hili jambo ni dhambi au ni aibu kwa hiyo watu wengi sana huwa wanajifanya hawapendi kabisa kuzungumzia hili suala hadharani hivyo wanabaki kuwa wajinga kiasi kwamba baadae wanapokuja kuingia kwenye ndoa au mahusiano wanaingia na ujinga huo huo na pia wanakuwa wan woga fulani hivi kiasi kwamba wanashindwa hata kuwa wazi kwa wenzi wao!

Ila USHAURI WANGU: Ninaomba watu tubadilike tusipende sana kuwa conservetists, ebu jitahidi kudadisi mambo yahusuyo mapenzi/ngono kwani hili tendo bana ni Mungu mwenyewe aliliweka na tena kwa makusudi na ndio sababu ya kuwa na UTAMU wote huo! (cha msingi tu kwamba ulifanye hilo tendo kwa wakat sahihi, mahali, namna, mtu na sababu sahihi km jinsi maandiko matakatifu (Koroani na Biblia) yanavyotuagiza).
Mm napenda sana hilo tendo ila ndo hivyo bado sijampata wa kuishi nae ila nina IMANI Mungu akijalia nitampata na nina UHAKIKA yani kufikia sasa ninafahamu mambo mengi sana kwani mm huwa ni mdadisi sana. Na pia ninatamani nkimpata ntajitahidi sana kuwa wazi kwake na ntamsihi na yeye pia awe wazi kwangu kwa makusudi mahususi ya kuweza kuhakikisha kila mmoja anafurahia.

Asanteni sana!