Jinsi ya kukata kiuno!

Zeze aliahidi kisha akaingia mitini, sasa mimi nitawapa "basic" ikiwahuwezi/hujui kukizunguusha a.k.a gogos.

Endelea kuwepo!

Comments

NDAKI GOMBERA said…
Zeze katukimbia,naona bora Dinah utupakulie ilo limsosi tucheki kama tutashiba
Anonymous said…
nakuaminia D lete mambo watu tujifunze alafu eti ni lazima kukatika kila unapofanya mapenzi?
NDAKI GOMBERA said…
Eti Dina na wanaume wanakatika au wanasugua na kusukuma tu?


...Naomba kuwasilisha
Anonymous said…
Mmmh hio topic hata mi naivizia kimtindo!Dinah tupe mambo!
KKMie said…
Asanteni nyote kwa ushirikiano wenu. Kila la kheri ktk ukatikaji.
Samahanini ni kazi zilibana tu sasa wacha niwape somo

kujifunza kukatika

kila siku au kila upatapo muda kaa kitandani lala chali kwa kutumia kiuno chako chora namba 1...2...3....4...5....6 hadi 10 mwanzoni itakuwa ngumu so waweza anza kwa kuchora namba 1-4 baada ya hapo kiuno chenyewe kitakuwa chepesi kiasi kwanza hata ukibeba mzigo juu kitakuwa kinaenda

try this then mlete feed back hapahapa kwa mama malavidadavi
Anonymous said…
Shamim.....Nimesha jaribu hiyo baada ya hapo kinafuatia nini