Hii hali hutokea sababu mwanaume unakuta hatambui kwamba amekaribia kupizi.. na hata kama akigundua inakua ameshakaribia kupizi, kafikia point of no return/point of inevitability ambapo huwezi tena ku-control ile delay ya ejaculation...!
Kupizi ni reflex action ambapo inatakiwa utambue kua unakaribia kupizi ili upunguze stimulation itayokupelekea upizi mapema.. hapa ndio unakuta kila mmoja na ujanja wake, unaweza kutoa mawazo ya ngono ukapelekea kwenye masuala mengine kama vile upo vitani, au umechomwa kisu, au mboro inakatika n.k.. kitu chochote kitachofanya utokwe na midadi ya utamu wa ngono...!
Au kama ni mfanya mazoezi basi fanya ngono itayokushughulisha.. mfano. una-sex huku umeweka mikono yako mithili ya kufanya push ups... au kumkunja binti na ku-control mtombo kwa balance ya mikono,tumbo na sometimes kwa miguu yako...ambapo utakua unaskia utamu na vile vile uchovu wa zoezi na hivyo ile stimulation ya ejaculation itapunguzwa automatically...! (kuna siku nilishashikwa msuli wa tumbo kwa kujikunja, ha ha ha haaaa... ).
Wanaume wenye premature ejaculation hua wanajiuliza ni kwa nini hawawezi kuvuta vuta vidakika mbele maskini weeee na mara nyingi wanakua inferior kwenye swala la ngono..
Maelezo haya ni kwa hisani ya Mshikaji wangu wa karibu sana....ty Spoiler.
Oyaa natambua wanaume mnapitia hapa tafadhali naombeni michango yenu (nyongeza) ya kukabiliana na hili kwani linatutesa sana wanawake, Cheers!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



19 Wamechangia Mada, bonyeza hapa kwa mchango wako.:
*Mbinu nyingine ni ku-relax kabla ya kuanza shughuli ya kufanya ngono, anza kwa kuoga (atumie muda mrefu) na wakati huohuo kuvuta pumzi kwa dk mbili na ku-hold kuitoa afanye hivyo kwa dakika kumi.
*Jifunze kujizuia kumwaga kwa kuhamisha mawazo yako li ufanikiwe basi fanya ukiwa peke yako a.k.a punyeto. Piga punyeto na kila unapojisikia kumwaga unahamisha mawazo yako au unaachia mboo haraka (sawa nakutoa kumani) kisha unaanza tena, fanya hivyo mara tatu na ya nne achie utamu uendelee.
*Kama mnamatatizo kwenye uhusiano wenu au anahasira na wewe ni vema kuyamaliza hali itakayomsaidia kuwa na “clear mind” na kuwa kwenye mood ya kufanya mapenzi na sio kungonoana (kind ubinafsi).
*Kukaza misuli ya tumbo au misuli ile inayokusaidia kukata kimba wakati unakunya, sasa fanya hivyo wakati uko kiunoni (unatomba).
*Jaribu kujitoa kumani kila ukijisikia kama unataka kumaliza nafanya hivyo mpaka mwenzako amalize. Kwa kuanzia ni vema kumwambia mpenzi wako kuwa unataka kujaribu binu mpya ili uweze kuzoea mbini hii, hii ni kuepuka malalamiko kutoka kwa mamaa.
*Mbinu nyingine ni kubadili mikao au mwendo, ikiwa mwendo wa haraka unakufikisha haraka(wanaume wengi humwaga haraka kiwa wanaenda haraka-haraka), basi punguza mwendo au tulia kabisa kisha anza tena n.k.
Maelezo haya ni kwa hisani ya Mpenzi wangu! Thanks baby.
Dinah mimi ni mwanaume na nimefurahishwa na kazi yako na ningependa kuongezea kidogo kuwa hili swala huwa linatufanya sisi wanaume tujisikie vibaya na ni aibu sana kumuacha mwanamke njia panda, baadhi yetu huwa hatujihusishi na mahusiano ya kimapenzi na badala yake huwa tunaruka-ruka tu ili kuepuka aibu.
Maelezo uliyoweka hapa yakifuatawa na kufanyiwa kazi kwa makini mwanaume anafanikiwa na atakuwa anauwezo wa kwenda mzunguuko mzima mapaka dame amalize.
Kama akishindwa ni borakwenda hospitali nahuko atapatia vidonge ambavyo husaidia sana hata mimi vilinisaidia na sasa najiona ni mwanume kamili.
Hili swala kwa wanaume ni nyeti sana na hatupendi kulizungumzia hata kwa madaktari lakini kama unampenda mpenzi wako kwanini usitafute mbinu ili muweze kufurahia uhusiano wenu nakuwa karibu kwa kufanya mapenzi na sio ngono(Quickies).
Ni hayo tu Dinah.
Daniel.
Shukraniiiiii,asante sanaaaa,nafanyia kazi mambo yooote uloeleze .kazi njemaaa asante kwa kushare.(One minute man).Cheers.
Asante kwa darasa lako, naomba kukuuliza eti ndimu wanatumiaje kuweka huko kwenye k ili kuonekane kumebana kama vile bikira.
Bikira haibani na sina uhakika kama ndimu inarudisha miusuli ya uke wako na kuwa imebana kama awali bali najua kuwa maji ya ndimu hutumiwa kukata damu ya hedhi (kwa wale wanawake ambao wapenzi wao hawawezi kufanya wakati wa hedhi au hedhi yao ni nzito).
Bikira ni kitendo chakutoguswa/kufanya ngono na mwanaume/mwanamke lakini kwa maana halisi ninayoijua mimi bikira ni utandu mwepesi unaokuwa juu ya tundu la uke pale ambapo mtoto anapita wakatiwa kuzaa au unapoingia uume.
Unaweza usiwe na utandu huo lakini ukawa bikira(kwa vile hujawahi fanywa sio), vilevile unaweza ukawa na tundu la uke pana na wakati huohuo ni bikira inategemeana zaidi na mitindo wa maisha yako.
Ndimu hairudushi udogo wa uke, kama nakumbuka vizuri biology nadhani ndimu ni tindikali hivyo itasababisha uakavu sehemu ya juu ya uke lakini si kubana uke wako kule ndani.....what matters ni misuli ya uke kule ndani na si juu/mlangoni.
Nakushauri ufanye mazoezi ya kukaza misuli ya uke na mazoezi mengine kama sit-ups husaidia sana kuimarisha mishuli ya uke.
Natumaini nimekujibu vilivyo, kama hujanielewa usisite kuniuliza tena.
Karibu sana.
Asante kwa ushurikiano na mchango wako Daniel.
Karibu tena.
dada dinah aksante kwa maada hii so ukifanya sit ups inasaidia kukaza misuli ya uke?hahaha kama ni hivo wacha nianze leo....
samahani dinah naomba unifafanule mazoezi ya kukaza misuli ya uke ni kama yepi?maana ni ni nzuri kuliko kutumia vitu vya hatari kama hizo ndimu tulikua tunajidangaya...
Ndimu ni hatari sana kwenye uke kwa sababu inabadilisha kemiko balansi ya kwenye kuma na hivyo inafanya uke uwe rahisi sana kupata magonjwa. Kaa mbali na ndimu kwani haitaleta ladha yoyote ile kwenye kuma. Samahani kwa lugha hii kali, Kuma ni kama mpira wa chupi ikifika muda huwa inakaa bwetereeeeeeee. Tunzeni hizo kuma
Stella nitafafanua mazoezi hayo mida-mida, kuwa mvumilivi kiduchu sio.
Nashukuru kwa ushirikiano wako.
Anony wa saa nane na dk 51, hakika sit ups inasaidia sana kukaza misuli yako ya uke na wakati huohuo kulifanya tumbo kutokuwa kubwa...hivyo unapata 2 in one...go 4 it gal!
Wapendwa nashukuru sana kuhusu mada ya ndimu niliuliza kwa vile kuna mtu alikua anamshauri rafiki yake eti atumie ndimu, ndio hapo nilitaka kujua, kumbe ni hatari Asante sana Dina kwa ushauri wako.
Anony wa saa mbili na dk 34,nashukuru kwa mchango wako kuhusu ndimu ila napenda tu kusema kuwa ndimu haichanganyi kemikali bali inachubua uke hali itakayofanya mtumiaji kupata maambukizo ya zinaa ikiwemo ngoma (UKIMWI).
Swala la misuli ya uke kulegea ni kweli kabisa(ila ulivyoelezea utafikiri sijui ni likitu gani mwee, heshimu sehemu hiyo imekupatia uhai sio).
Kuma sio kama mpira wa chupi aisee, mpira wa chupi ukilegea inabidi ufunge pini au fundo na mpira wa chupi hukatika sio?
Kuma hutanuka na kujirudia ila tatizo ni kuwa wanawake wengi huwa wazembe ama hawajui wafanye nini mara baada kujifungua au mara baada ya kukutana na wanaume wenye mizigo ya mizito (uume mkubwa na mnene) kwa muda mrefu.
Kulegea huko kwa misuli ya uke hutokana na upungufu wa homono ambao hutokea jinsi mwanamke anavyokua/zeeka na hii huanzia miaka 60 na kuendelea.
Siku hizi kuna vidonge vya kuongeza homono hizo na hivyo mwanamke anakuwa na homono zake kama kawaida japokuwa umri umeenda.
Ty.
Dina
Ndimu pekeyake haichubui kuma ila inaifanya kuma kuwa laini kiasi kwamba msuguano kidogo utasababisha ichubuke na kumfanya mwenye kuma kuwa kwenye hali ya hatari ya kuambukizwa magonjwa ya zinaa.
Kuhusu kutumia lugha kali kama nilivyoanza niliomba msamaha kwa sababu nitatumia lugha kali. Ninaeshimu kuma na sitoweza kuitukana. Kama ulivyosema kuwa chupi ikipwaya utatumia fundo basi kuma ikipwaya utatumia mazoezi ya kukaa "sit ups" na mengineyo ili urudishe ule mnato. Pamoja na yote hayo kuma hitorudi kwenye ile hali yake ya zamani na ni vivyo hivyo kwamba hiyo chupi ikipigwa fundo haitokuwa kama hapo awali.
asante sana dinah kwa kunijibu nasubiri kwa hamu saana nijue na ninafurahia sana blog yako maana kunamaboo mengi nilikua siyajui nnayajulia hapa na yananisaidia vilivyoo Mungu akupe nini jamani?
STELLA CANADA
ndimu inachubua ina-asidi kali sana sijui tindikali wanaita. Bora mazoezi tu mandimu jamani mtapata effections !!!!!
Anony wa saa kumi karibu na nusu, nafurahi kuona maelezo yako na nimekuelewa, karibu tena mahali hapa!
Stella asante sana kwa kutembelea hapa na kupenda unachokisoma, hakika nafurahishwa sana na maswali pia michango ya watu wanaopitia mahali hapa.
Hii blog ni ya wanawake wote wa kibongo...hivyo karibuni sana.
Anony wa saa tisa na ushehe hakika mazoezi, kutoanza ngono mapema, kuangalia lishe na kutokutumia madawa yakuzia mimba na kutokuwa na wapenzi wengi ni muhimu ktk kulinda na kutunza maumbile yanayozunguuka kiungo K na K yenyewe.....
asante kwa uhsirikiano wako na karibu tena.
Post a Comment